wateja elfu 5 wahama AIRTEL ONYOOOO

wateja elfu 5 wahama AIRTEL ONYOOOO

Tupeni detail ile bundle ya 500mb ni shilingi ngapi? Maana hata bei hawajatoa
 
Hodi hodi Voda. nimewa miss ghafla baada ya kuachana nanyi 2004. Nilijua tu kuna siku nitajuta kujiunga celtel, zain, airtel na baadaye nightmaretel
 
Ningeushauri uongozo wa JF wawasiliane na Airtel ili kutoa ufafanuzi na kuondowa huu mkanganyiko, maana Airtel ni mmoja wa wadhamini wa JF. PLS JF Administration tunaomba mlifanye hili, maana tuko serious kuhama Airtel this is not a joke.
Na personal nimejitolea kuongoza kampeni ya Boycott Airtel ndani ya JF.
 
Airtel kampuni inaheshimika ila kwa siku mbili wameanza kuzingua internet.
kwanza huduma ya 2500 ya net wamefunga hii imepelekea wateja elfu tano kuhama kwa siku je wiki
pili siku nzima internet yenunazingua hebu fanyani mambo
onyoo mkishindwa kutupa huduma nzuri tutahama na tutaenda TCRA

Cha kushangaza kulipa kodi mnashindwa na Kampuni ya Kibuku yenye wateja ambao hawazidi hata laki 5
 
Kwa mshahara wa 150,000/= hii huduma ni very expensive.

Umeona ee!sijui tuende wapi,sehemu iliyokuwa ahueni sasa ndo balaa zaidi!naombeni nishuke kwe basi,nipande bajaji au bito!labda nauli zitakuwa nafuu.
 
kweli bora bito na bajaji
afadhali nilisita kuuza kamodem kangu ka zantel... ningeumbuka thatha
ngoja nirudi zantel...pia anayehitaji modem ya airtel aje achukue
 
Kwa mshahara wa 150,000/= hii huduma ni very expensive.
gharama za zantel kwa sasa ni 500mb kwa 10,000 kwa mwezi, but wana proposal ya 750mb kwa 15,000
kwa mwezi, ukiwapigia customer care wao kwa 100 wanakupa ushirikiano 100%.na speed ni 3.1mbp/sec
tofauti na akina hamia kwetu speed ni 236.8kb/sec.
 
hii kaulimbiu yao ya HAMIA KWETU kumbe ni danganya toto, ni kama ile ya magamba
MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, watu wakaingia mazimamazima...sasa wanajuta
 
mi nimehama rasmi jana,nishavuta line yangu ya zantel nakula net,acha wabaki na internet yao,soko huria bana!nawasihi na nyie muhame ili wapate somo

Hiyo moderm yao nimeshagawa longtime nimebaki na BB service tu kwa package ya uhakika na cheap bora zantel ila sasa sijui zantel ukiwa maswekeni
 
Hiyo moderm yao nimeshagawa longtime nimebaki na BB service tu kwa package ya uhakika na cheap bora zantel ila sasa sijui zantel ukiwa maswekeni
Smartphone na laptop ni vitu viwili tofauti mkuu, huwezi kulinganisha nguvu ya vitts na Land cruiser v8. nina Blackberry version 9800 lakini huwezi kunishawiki kwamba niitegemee simu hii kwa matumizi ya Internet, hapana mkuu hapo umepotoka hii naitumia nikiwa away from home. yaani ni mobile zaidi.
 
nina mpango wa kuhama airtel lakini sijui mtandao gani unafaa maana voda nao huo ni matatizo tupu
 
mi natumia banjuka ya ttcl kuanzia saa 12 asubui hadi 12 jioni buku lisaa, kuanzia 12 jioni hadi 3 usiku 800 lisaa ,kuanzia 3 usiku hadi asubui 500 na speed ni 3.1mbps safi kabisa
 
airtel kampuni inaheshimika ila kwa siku mbili wameanza kuzingua internet.
Kwanza huduma ya 2500 ya net wamefunga hii imepelekea wateja elfu tano kuhama kwa siku je wiki
pili siku nzima internet yenunazingua hebu fanyani mambo
onyoo mkishindwa kutupa huduma nzuri tutahama na tutaenda tcra
kulikoni? Sielewi kwa nini watu wanahama?na tcra ndp wapi huko?
 
Back
Top Bottom