Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Imezama sehem yote ya watu kuweza kukaa limebak eneo la chin ambapo Huko hakuna nafasi
Sie tunaona kwa nje kwa ndani sio padogo pale.

Pia, ukitaka kuelewa pindua bakuli/transparent kwenye beseni kabla haijazama yote kuna nafasi na hewa kidogo inakuwepo.
 
Kitengo Cha uokoaji kipo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu Na Mwenye gari alifuta Bajeti ya Maafa tangu kashika sterling Kwa hoja Kuwa enzi zile Za Mkwere watu walikuwa wanapiga hizo hela

Ajali kubwa Kama ile cordination yake haiwezi Kuwa chini ofisi ya RC
Alifuta labda sababu si yeye aletae majanga,wangefuta na cha kupokea rambirambi
 
meli ilikuwa imezama,katika harakati za kuokoa wahanga,waokoaji wakafikia maamuzi ya kuitoboa meli ili wawatoe wahanga,maana walikuwa hai ndani ya meli wakati meli iko ndani ya maji.sasa ilipotobolewa ili kuokoa watu,na maji nayo yakapata pa kuingilia ndani ya meli Na meli ikazama zaidi Na kusababisha wote walionaswa kufa.
Maji yaliingia vipi wakati utoboaji ulifanyika juu ambapo ni zaidi ya usawa wa ziwa
 
Wamesema walikuwa.400 hivyo ukichukua hao 163 waliofariki na kujulimshawaliookolewa hai unaweza ukajua idadi ya ambao bado wapo majini
 
Msanii sana huyu engineer majalala.

Hizo calculations zake dhaifu haziwezi kumuondolea hatia ya uhalifu alioufanya.
 
Mongela you need to be proactive.
Ungeanza kujipanga mapema na mahema. Majenereta. Bulbu.fedha kidogo na chakula kwa waokoaji. Huyu aliyeokolewa hai leo angetoka na wengine wengi wasio na hatia.
Mongela alifika eneo na tukio na smart phone minus washauri wake na hakua na mkakati wowote zaidi ya kupigwa picha.
Labda angetoa za kwake mfukoni,sidhani kama ule mfuko wa maafa kama upo, nadhani ulifutwa sababu ya wapiga dili.
 
tunanunua midege lakini vifaa vya uokoaji tunashindwa
tumeua watu waliokuwa hai kwa kusitisha zoezi la uokoaji
 
What ever the case, alifanya cha maana kuhakikisha usalama wa waokozi kutokana na kutokuwepo kwa mazingira salama ya kufanyia kazi. There was no point of risking the lives of people which u r sure are well and alive for the 'lives' of peple u r unsure if they are well and alive!
 
Picha yake iko wapi? Sasa Mkuu wa mkoa bado yuko ofisini? Jamani Tanzania!!! ndo viongozi wetu. Hata kutafuta jenereta likawashwa uokozi ukaendelea walishindwa?? Hatuna viongozi nchi hii. eti " tunasitisha uokoaji kwasababu ya giza"
Yuko hoi mkuu tunamwahisha hospital kwanza
 
Back
Top Bottom