Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.

Status
Not open for further replies.
Up Date 1!.
Very Unfortunately Kipindi hiki hajitakuwepo due to "un avoudable circumstances"!.

Kipindi kilirekodiwa tarehe 08/07/2012 na kilikuwa kitoke ile ile tarehe 8, kukatokea "technical problem" kipindi hakikwenda!.

Jana tarehe 9 kilikuwa kiende, lakini kukatokea " Technical problem" hakikwenda!.

Leo tena kilikuwa kiruke kuanzia saa 4:00 usiku huu lakini kumetokea tena a " technical problem" kipindi hakijarushwa!. na kwa vile the "theme" was "Vox Pop" ya " mrejesho" wa maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam!.

Kwa vile maonyesho yamenalizika toka Jumapili, ladha ya mrejesho ni sponteneity ya pale kwa pale!. Mrejesho wa 3 days after is pointless hivyo sidhani kama kipindi hicho kitakuja rushwa!.

Sorry for a all inconveniences caused!.

Pascal.
 
Pascal, achana na watu wasiojua wanafanya nini. Wanahangaika mlango huu mara ule lakini hawana jipya la kuiletea Tanzania zaidi ya kuvimbisha matumbo yao....time will tell
 
Hahahaha hehehehehhee kwi kwi kwi iji ihi ihi ihi ihi lowassa amewaambia kisirushwe imekula kwenu gari la maji washa washa haliogopi mawe tehe the the pole mayala sasa rudisha dolar za msela hhaahahahahaha ti ti ti ti kwi kwi mbavu zangu mie
 
Nonsence
Up Date 1!.
Very Unfortunately Kipindi hiki hajitakuwepo due to "un avoudable circumstances"!.

Kipindi kilirekodiwa tarehe 08/07/2012 na kilikuwa kitoke ile ile tarehe 8, kukatokea "technical problem" kipindi hakikwenda!.

Jana tarehe 9 kilikuwa kiende, lakini kukatokea " Technical problem" hakikwenda!.

Leo tena kilikuwa kiruke kuanzia saa 4:00 usiku huu lakini kumetokea tena a " technical problem" kipindi hakijarushwa!. na kwa vile the "theme" was "Vox Pop" ya " mrejesho" wa maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam!.

Kwa vile maonyesho yamenalizika toka Jumapili, ladha ya mrejesho ni sponteneity ya pale kwa pale!. Mrejesho wa 3 days after is pointless hivyo sidhani kama kipindi hicho kitakuja rushwa!.

Sorry for a all inconveniences caused!.

Pascal.
 
Pasco Mayala, fahamu kwamba tunapinga mbegu yoyote toka uzao wa CCM! wameruin nchi, rejea usemi maarufu wa mh Msigwa bungeni, kwamba matatizo hayawezi tatuliwa na level ile ile ya watu walioyasababisha. Pasco i wish ungejua how much i and i hate CCM na si mimi tu ni wengi hatutaki tena kusikia ccm.
 
pascal Mayalla amesema yeye hana chama na pia rafiki yake wa jf ambaye anaitwa pacso naye hana chama....nashangaa anamsemea pasco wa jf wakati inaeleweka ni mtu wa lowassa yaani ccm.
 
Wanabodi,

Please watch TBC-leo saa 4:00 usiku (not exactly!) Mwana JF mwenzetu, William Malecela atazungunzia kuhusu
1. Baada ya CCM kutawala kwa miaka 50, wish yake ni CCM itawale kwa miaka 50 mingine ijayo!.
2. Majukumu ya JF as Social Media!.
3. Kwa nini JF ni watu wa kulaumu tuu serikaki na sio kuisifia!.
4. William Anaamini CCM inapendwa na Watanzania na CCM kama chama hakina, matatizo na watu bali matatizo ya CCM ni personalities za baadhi ya viongozi only!.
5. Pia amefanya ukosoaji wa CCM ili iweze kutawala miaka 50 Ijayo!.

NB. Wana JF wenzangu, nawaombeni sana tujenge utamaduni wa "Political Tolerance" kwa kuvumiliana, kustahamiliana na kupingana bila kugombana kati kati ya watu wenye milengo tofauti ya kisiasa.

NB. Sio kipindi kuhusu jf bali ni "wrap up" ya 10 series zangu ziitwazo " Saba Saba na PPR" na nilipokutana na William nilim beg for his comments na akakubali!. I thank him for that!.

My Take:
Wana jf wengi ni watu wa maneno marefu na matendo mafupi!. Nilipokutana kwa mara ya kwanza na William pale Dodoma, nilimpongeza kwa kuwa ni miongoni mwa wana jf wacheche wenye "guts na waliotake that "extra step" to move toka kwenye maneno hadi kwenye vitendo kwakuingia kwenye kwenye "ground zero" ya "active politics" ndani ya uwanja wa mapambano!. Anastahili a big "Big UP!" and not a subject of ridicule!.

Please take time to watch him, listen to him in "betwen the lines", mtakubaliana na mimi kuwa huyu Mkuu William sio mtu wa kubezwa hata kidogo!. Japo I personally don't share with him comments za " Le Grand Mutus", " The Big Show!" and the like!.

" Please lets take him for "Who he is" not for "What he is"!.

Thanks.

Pascal.
Up Date 1!.
Very Unfortunately Kipindi hiki hajitakuwepo due to "un avoidable circumstances"!.

Kipindi kilirekodiwa tarehe 08/07/2012 na kilikuwa kitoke ile ile tarehe 8, kukatokea "technical problem" kipindi hakikwenda!.

Jana tarehe 9 kilikuwa kiende, lakini kukatokea " Technical problem" hakikwenda!.

Leo tena kilikuwa kiruke kuanzia saa 4:00 usiku huu lakini kumetokea tena a " technical problem" kipindi hakijarushwa!. na kwa vile the "theme" was "Vox Pop" ya " mrejesho" wa maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam!.

Kwa vile maonyesho yamenalizika toka Jumapili, ladha ya mrejesho ni sponteneity ya pale kwa pale!. Mrejesho wa 3 days after is pointless hivyo sidhani kama kipindi hicho kitakuja rushwa!.

Sorry for a all inconveniences caused!.

Pascal.

Weka youtube tumuone akitiririka!
 
ha ha ha kimerushwa at last....le mutuz hamna kitu anatetemeka mbele ya mic yako kama umemwahidi nafasi ya ubunge viti maalum ha ha ha.....ivi JK si bado ana nafasi zake zile ampe basi huyu the big show Kivukoni zamani NYC
 
Last edited by a moderator:
Update 2.
Ni kweli program ina technical problem yaku stuck stuck ila inarushwa na clip ya William imeruka!.
 
ha ha ha kimerushwa at last....le mutuz hamna kitu anatetemeka mbele ya mic yako kama umemwahidi nafasi ya ubunge viti maalum ha ha ha.....ivi JK si bado ana nafasi zake zile ampe basi huyu the big show Kivukoni zamani NYC
Lakini ndio yuko ktk TV Tanzania nzima wanamshangaa na kipindi maalum,wewe na mimi tutasema wee jamaa ndio anasikilizwa hivo kwa hayo hayo mnayoyaona hayafai..
 
Wanabodi,

Please watch TBC-leo saa 4:00 usiku (not exactly!) Mwana JF mwenzetu, William Malecela atazungunzia kuhusu
1. Baada ya CCM kutawala kwa miaka 50, wish yake ni CCM itawale kwa miaka 50 mingine ijayo!.
2. Majukumu ya JF as Social Media!.
3. Kwa nini JF ni watu wa kulaumu tuu serikaki na sio kuisifia!.
4. William Anaamini CCM inapendwa na Watanzania na CCM kama chama hakina, matatizo na watu bali matatizo ya CCM ni personalities za baadhi ya viongozi only!.
5. Pia amefanya ukosoaji wa CCM ili iweze kutawala miaka 50 Ijayo!.

NB. Wana JF wenzangu, nawaombeni sana tujenge utamaduni wa "Political Tolerance" kwa kuvumiliana, kustahamiliana na kupingana bila kugombana kati kati ya watu wenye milengo tofauti ya kisiasa.

NB. Sio kipindi kuhusu jf bali ni "wrap up" ya 10 series zangu ziitwazo " Saba Saba na PPR" na nilipokutana na William nilim beg for his comments na akakubali!. I thank him for that!.

My Take:
Wana jf wengi ni watu wa maneno marefu na matendo mafupi!. Nilipokutana kwa mara ya kwanza na William pale Dodoma, nilimpongeza kwa kuwa ni miongoni mwa wana jf wacheche wenye "guts na waliotake that "extra step" to move toka kwenye maneno hadi kwenye vitendo kwakuingia kwenye kwenye "ground zero" ya "active politics" ndani ya uwanja wa mapambano!. Anastahili a big "Big UP!" and not a subject of ridicule!.

Please take time to watch him, listen to him in "betwen the lines", mtakubaliana na mimi kuwa huyu Mkuu William sio mtu wa kubezwa hata kidogo!. Japo I personally don't share with him comments za " Le Grand Mutus", " The Big Show!" and the like!.

" Please lets take him for "Who he is" not for "What he is"!.

Thanks.

Pascal.
Up Date 1!.
Very Unfortunately Kipindi hiki hajitakuwepo due to "un avoidable circumstances"!.

Kipindi kilirekodiwa tarehe 08/07/2012 na kilikuwa kitoke ile ile tarehe 8, kukatokea "technical problem" kipindi hakikwenda!.

Jana tarehe 9 kilikuwa kiende, lakini kukatokea " Technical problem" hakikwenda!.

Leo tena kilikuwa kiruke kuanzia saa 4:00 usiku huu lakini kumetokea tena a " technical problem" kipindi hakijarushwa!. na kwa vile the "theme" was "Vox Pop" ya " mrejesho" wa maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam!.

Kwa vile maonyesho yamenalizika toka Jumapili, ladha ya mrejesho ni sponteneity ya pale kwa pale!. Mrejesho wa 3 days after is pointless hivyo sidhani kama kipindi hicho kitakuja rushwa!.

Sorry for a all inconveniences caused!.

Pascal.

Pascal,
Hizo technical problem zimekuwa nyingi sana labda ungesema political problem ungeeleweka zaidi; hivi hakuna njia nyingine unayoweza kutumia; unaweza kutuwekea kwenye mtandao tupe link tu tuhangaike nayo nadhani hiyo ndiyo rahisi ya kutatua hizo technical problem zilizopo.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
- well tbc wamenipigia sim sasa hivi kwamba wamemaliza kuionyesha hiyo interview, it was great na looking forward to have more kama ya leo, nayo itarushwa soon i mean we are making this thing real you know!!

- by the way nilisema kwamba baada ya kushu8hudia mkutano wa jangwani kwa macho yangu, my conclusion was tatizo la ccm ni sisi viongozi wenyewe kwa wenyewe sio wananchi au wanachama wetu, maana ule umati wa wananchi pamoja na matusi yote ccm inayotukanwa ilikuwa a shock to me, maneno ya watu waliletwa ni simply ****!! Ccm haiwezi kubeba wananchi wote wale simply impossible!!

- again hoja yangu nyingine ni my committment ya kuona ccm inatawala miaka 50 ijayo i have no shame on that na sina unafiki on that goal, that is my goal and mission ninaamini in 50 from now ndio ccm tutaanza kugombea kura na upinzani, kwa sababu huu wa sasa siouni as serious upinzani, ni upinzani wa ccm against ccm, sio upinzani against ccm nit yet hatujafikia huko yet, lakini naamini 50 years from now tutakuwa there; wapinzani bado sana mpaka leo hawajweza kuwa na agenda moja ya chama, kila siku agenda za binafsi na nyingi zinaanzia kwenye maadui wa ndani ya ccm yaani wenyewe kwa wenyewe meaning kwamba watoaji wa agenda always wanakuwa na control of how far the agenda will go sio the messenger aliyepewa tu ili kutumiwa kwa manufaa ya baadhi ya viongozi wa ndani ya ccm.

- i mean kwa wanaoshangaa kuhusu msimamo wangu na mimi nawashangaa sana hivi kweli mlidhani mtu niliyefungua tawi la kwanza la ccm new york city in 50 years za uhuru wetu ninaweza kuja bongo na kuwa tofauti? Are you kidding me or what? Jana nimetoa rai kwa viongozi wetu wa taifa wote wa pande zote mbili kufikiria sana kauli zao kwa public maana taifa hili tunaanza kwenda pabaya sana kwa sababu mimi nikikutana na viongozi wakuu wa chadema sioni any problem with them, majuzi nilikuwa kwenye msiba mmmoja wote kina mbowe; mzee mtei we were there na wabunge kibao wa ccm pamoja na mh.nape we were talking and having fun kama wananchi tu wa kawaida mpaka mwananchi mmoja was so moved akaomba ipigwe picha ya pamoja ili kesho yake iwekwe kwenye magazeti kama mfano, lakini ukija huku ni matusi tuu na vikorosho for what? People jifunzeni kuwakubali wananchi waio kuwa na amwazo kama yenu, infact kuna interview niliifanya jumamosi baada tu ya uchaguzi na mlimani tv sijajua kama wataionyesha lini au tayari lakini it was one of my great time talking about his ishus!!

- otherwise naomba kusema hivi mimi i am just fine looking for any opportunity to work for myself kwa sababu mimi in my heart ni capitalist, publicity ndio the name of the game, as long as sina criminal record, sina ulevi maana sinywi poembe i never did; sivuti sigara na sina ufuska; i am just fine na wala sina wasi wasi walisema siwezi kuwa hata katibu kata, sasa naona habari inabadilika hawezi nec, hawezi thia hawezi that, powa saan i love that cause kama unafikiri kuwa mjumbe wa mkoa hapa dar wa anything ni kuokota mayai \kwenye badna la kuku jaribu uone, majuzi mh. Kiwelu alikuwa ananiambia kwamba hata huko chadema sasa sio lelelemama hata kugombea cheo kidogo sana ni kivumbi!!

- so people naomba kusema hivi i am a big boy, i can always handle my self tena bila wasi wasi, honestly i love jf kwa sababu ninyi wengi hapa hamjui watu wangapi kwenye hii jamiii wana mahela kama mchanga na wangependa kujulikana na wanawalipa watu wengi hapa mjini wawaaandike ili wajulikane lakini wapi, sasa mimi all i have to do ni kuja hapa tu na kusema anything, my god i thank you for for that kweli ninawashukuru sana, leo kila ninapokwenda bongo kwenye kila watu 10 lazima watatokea watatu wanaonijua toka jf, that is a blessing na seriously ninawashukuru sana ndugu zangu; na mbarikiwe san na mungu wa mbinguni!! Kunifungia it was a plus na ninaomba nifungiwe one more time hakuna tena blog yoyote tanzania itaweza kushindana tena na my super blog; sasa hivi imagine only 40 days hewani we are almost number one na sasa ninafikiria hata kuanza kuajiri watu for that blog; so again ninawashukur sana

- na pia endeleeni kutukana maana inanisaidia sana kukuza my name na hasa my stocks in the media business people nawashukuru sana na mbarikiwe ndugu zangu, lakini like i have said soon ninategemea ku-tem up na pascal na all celebs i know hapa mjini kufanya a big thing kwa jf; oanther thing ninaishukuru sana jf imenifundisha kuachana na wanafiki siku hizi nikikujua tu kwamba una sura mbili hunioni tena i can always get to you through others kama nina shida sana na wewe, people ahsanteni sana na mbarikiwe na jf juu zaidi!!

Respect much!!

Le mutuz na the biig shoow will go on!@ kivukoni kata; dsm!!
 
Le Mutuz Le Baharia, kusema kwamba CCM itaendelea kuwa madarakani based on number ya watu waliohudhuuria mkutano Jangwani ni kuwatukana Watanzania. Ingekuwa vyema kama ungebase hoja yako kwenye vitu vinavyooneka kama ajira, miundo mbinu na huduma za afya.
 
kwa hiyo pale kimeonyeshwa nusu mbona kama kimerushwa chote,hadi mwishoni unasema wewe Ni Pascal Mayalla na Pasco wa jf ni rafiki yako na wote hamna chama.
Idawa, kipindi ni 60 min kimerushwa 30 min!.

Mimi ni Pascal Mayalla ni mtu wa ukweli na hili ni jina langu halisi. Pascal Mayalla ni Pascal Mayalla na Pasco wa jf ni Pasco wa Jf tu watu wawili tofauti japo ni rafiki yangu sana na kuna maeneo tunashabihiana sana!.

Tofauti yangu na Pasco wa jf iko kwenye ufafanuzi wa Dr. Sigmund Freud kwenye "Dr Jekelly and Mr Hyde!. Japo twafanana lakini tuu watu wawili tofauti!.

Nawaombeni tuheshimu sheria za jf on name calling!.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom