watch-out hizi GIRLS NIGHT OUT.Changa la macho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

watch-out hizi GIRLS NIGHT OUT.Changa la macho

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mfanyaji, Feb 4, 2011.

 1. mfanyaji

  mfanyaji Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dunia imekwisha,katika pitapita zangu za kujivinjari na kujionea night life nikakutana na wanawake wanabehave kiutata na kuuliza nikaambiwa ni girls night out,wengine wanakiss kabisa,tukaondoka na msela wangu kwenda kiota kingine yale yale lakini tofauti kuja kumalizia ktk starehe usiku huo nikaona tena nikawa nao jirani na mimi nikavutiwa na kabinti kamoja keupe balaa lakini LCD nyuma najaribu kukonyeza na kutoa numer kakachukua kiulaini lakini baada ya muda naongea na wahudumu naambiwa kana wenyewe na si mwenyewe nikazima zangu speed,kuchunguza zaidi wenake eti wengine wameolewa na wametoka kama girls night out ya umoja wao hua wanakutana marakwa mara cha ajbu ni kwamba hata hao walioolewa walikua wanabehave kama machangu,hao masingle ndio usiseme walikua wanatega live, na kuna wadada wakaniambia kumbe ndo zao wengine waume zao ni wakorofi kwa hiyo wanasingizia haya kutoka usiku wengine wanatoa frustrations wengine wanajaribu bahati zao maana age imekimbia sasa hivi kweli kama wanataka raha kwanini watoe na marafiki zao wakati vidume tupo au kuna hidden agenda hapo.nikisema sioi wala sitaki kudumu na mtu mnaniita majina lakini ach tu mgoja tujimegee tu hata wake za watu,tufanyeje sasa.wakubwa fuatilieni hili jambo maana kuna moja alitoka na kurudi baada ya saa moja kuuliza alienda kuona buzi so ni kufichiana uvundo tu.
   
 2. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  girls night out inafanywa sana na wanugu/akataa huku ughaibuni. Lakini kama mke na mume wanaishi vema na kuheshimiana sidhani kama mwanamke ata-entertain kitu kama hicho.
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nafikiri hoja yako ni maovu yanayofanywa kwenye the so called "girls night out"......nakubaliana na wewe kuna cases kama hizo kwamba watu wanaenda kutoa frustrations huko na kufanya vutu vya ajabu.....ila si kila girls night out wasichana wanafanya hivyo.....

  Sidhani kama matendo ya hao wasichana wote yanakufikisha wewe kwenye point ya kuamua kuacha kuoa au kulala na wake za wanaume wenzio....hiyo ni tabia chafu na hakuna namna ya ku-justify.....kuna wanawake waliotulia ambao hawana hizo tabia,look for them...tatizo la wanaume wenye attitude ka zako mnaumiza hata wasichana waliotulia kwa fikra kuwa kila mwanamke hajatulia......
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Wanaenda viwanja gani hao?ili nasi tuwafuate
   
 5. mfanyaji

  mfanyaji Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  michelle dada yangu hii inakatisha tamaa mimi wanavyoonekana na wanayoyafanya ni tofauti kabisa.sasa kweli yupi ni yupi na hao waliotulia wako wapi?au wanaonekanaje.?kina dada mmebadilika sana hata kujua yupi katulia ni ngumu si kwa walioolewa,masingle,walokole,wa maskai,wa mbagala vurugu mtindo moja mnatuweka katika mitihani ndo maana tunaamua kuonjaonja mpaka hamu iishe ndo tutlie leo nioe halafu niliwe si nitafia jela ka kuua mimi.ya nini yote haya?
   
 6. mfanyaji

  mfanyaji Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wako kila kona hawa na vikao vyao vyote ni kumbi za starehe mpka midnight vikao tu?
   
 7. mfanyaji

  mfanyaji Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakubaliana na wewe ila sio kwa style hii na mara kwa mara
   
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nakubaliana na wewe inakatisha tamaa na kweli wasichana tumebadilika ila si wote kukufanya wewe uonje onje hadi hamu iishe ndo uoe,kwanza nani anataka walioishiwa hamu?? na kama unaona wa kwako akiliwa utafia jela kwanini ule wa wenzio??kumbuka mla vya wenziwe na chake huliwa,mtenda hutendewa usipotendwa wewe watatendwa wanao....unless una kipimo cha kukuonyesha kuwa wanawake unaowaonja wanstahili hivyo,usifanye hivyo,roho ya binadamu inayolalamika na kuumia kwa matendo yako ni laana???

  Mimi naamini unaweza pata msichana aliyetulia Mfanyaji,badili kwanza fikra and take an extra effort kupata dada aliyetulia na Mungu usiache kumuomba.
   
 9. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Wenye hizo picha umewaomba kuzibandika hapa?


  Tukirudi kwenye topic ,naona inategemea, kuna wengine wanao heshimu relationship zao na wasio heshimu.
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kweli mamii halafu hawa watu wengi wao huwa wanapata wake wazuri waliotulia matokeo yake ni mateso tu kwa mwanamke.
  Nimewahi kuona baadhi ya ndoa yaani mwanamke ametulia lakini mwanaume hashikiki utafikiri amechanjiwa.
   
 11. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,362
  Likes Received: 3,194
  Trophy Points: 280
  Msije sababisha nianze kuvuta bangi, aaah!
   
 12. P

  Pokola JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  :coffee:
   
 13. LD

  LD JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mke mwema yu ndani yako kaka unayesoma hapa, tabia unazozitaka kagua kama unazo. Usidanganyike kila kitu kizuri kipo kwa wakati na mazingira sahihi, hi dunia ni pana sana achilia haka kajiji ka Dar tu kuna mambo kuna watu wengine tukisikia hata hizo habari za girls Night ni terminology mpya kabisa masikioni mwetu, si kweli kabisa wadada wote tumeharibika noo nakataa, ila ninyi wanaume hamjui mnataka nini? Mi sijui hata niseme je jamani, kwanza jitambue wewe ni nani na unataka nini, na unataka atoke wapi huyo unayemtaka.

  Daaa kaka zangu mnaniuzunisha sana ujue, hivi unataka mke mwema asiye na mambo mengi ya kiduniani lakini wewe dunia unataka uibebe kichwani, kila mwanamke unaomuona umjue, baa zote maarufu unazijua, sijui club sijui nini hizo ni mteja mzuri, aina zote za pombe unazitaja kama sala ya baba yetu, halafu unataka mke asiye kuwa na hayo mambo, kweli jamani!!

  Mkikutana na mwaminifu mwenye utu na kiasi katika maisha unamchakachulia hadi malengo yake unambwaga hapo. JITAMBUENI KINA KAKA. JALINI UTU.
   
 14. LD

  LD JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Na usipotulia mbona utalivuta kaka angu, Mi nasema jitambueni jamani, huwezi ukataka samaki wa maji baridi halafu ukaenda bahari. Huwezi kutaka samaki wa maji chumvi sijui ndo kibua halafu ukaenda ziwani au mtoni. Unataka nini, na utakipata wapi??

  Mfano wewe unaweza kuwa kaka mzuri kabisa una utu na kila kitu lakini unaanza kuniimbisha nyimbo za sijui nilienda club, sijui baa ya wapi ikawa vile, sikui mademu wa bongo wapo hivi, sijui na sigara unatoa mfukoni, mmm namalizia kilichopo kwene glass halafu nakwambia mama amenipigia simu natakiwa home sasa hivi.

  Lakini kuna mwingine hapo ndo mahali pake, na yeye anapenda hizo nyimbo, unajua sijui valuu zimekwenda zikarudi, halafu unatoka hapo unasema wadada hawajatulia. MAZINGIRA, WAKATI is eque to UNATAKA NINI?
   
 15. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,362
  Likes Received: 3,194
  Trophy Points: 280
  Sawa lakini hizi nyimbo za Beijing naona zinapunguza utamu wa mapenzi, yaani wale akina "Delila" wanaojua kutumia meneno matumu wamepungua sana siku hizi, utasikia kila kitu siku hizi "hakia sawa bwana usinibabaishe
   
 16. LD

  LD JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Aisee kuna kitu nakiamini halafu naamini kitatokea, katika ya watu wabaya wema wapo, mfano. Kuna wakati samsoni mume wa Delila alipata asali kwene mzoga wa simba, yani jitambue tu wewe ni nani unataka nini, na kitoke wapi?? Tuliza moyo!!

  Natamani mtu aniwekee ule wimbo wa tuliza moyo sijui umeimbwa na 20 pencent, Paka Mweusi sijui yuko wapi ukimuona mwambie namuomba auweke basi.
   
 17. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Ndiyo maana biblia inasema mke mwema hutoka kwa mungu. Na siyo pengine.

  Wife material is always known. And behaving wisely. Admired by people and loved by the gods beholder..
   
 18. mfanyaji

  mfanyaji Member

  #18
  Feb 5, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  una busara we mwanamke balaa,vipi uko single au una dada yako?nyie ndo wanwake tunaowataka mtutulize
   
 19. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo mnasuggest nimkataze shemeji yenu hizi girls out?

  aaaaaaah acheni hizo bana hata akikaa ndani kama wa kumegwa atamegwa tu
   
 20. LD

  LD JF-Expert Member

  #20
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kaka angu mpendwa wala usimkataze, Tonafautiana sana jamani. Zingatia amani ya moyo wako. Ni yapi unayoona wewe mazingira sahii, kwa wakati sahii na kwa mtu sahii!! Kama hayo ni sahii kwa mke wako, why umnyime?? Lakini sio mtu anaenda huko halafu anarudi anasema hakuna wanake, wote wamekwisha, kumbe huko ni jukwaa lingine bwana. Labda ukiingia jukwaa lingine utasema daaa kumbe kuna watu wa jinsi hii hapa duniani!!
   
Loading...