funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,412
- 31,917
- Thread starter
- #21
Kuna uzi wa maendeleo ya viwanda hii 2020, naona unaukimbia umerukia siasa za kitoto!
WAZIRI KALEMANI AFUNGUA KIWANDA CHA NGUZO ZA UMEME-KIGOMA
Hafsa Omar-Kigoma Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, Desemba 20,2019 amefungua kiwanda cha Nguzo cha Qwihaya, kilichopo katika Mtaa ...
Kwa sasa nguzo za umeme ni bure.
Kiwanda cha kutengeneza betri za magari chazinduliwa mkoani Pwani
Mkuu wa Mkoa wa Pwani nchini Tanzania, Everist Ndikilo amewataka wananchi kushirikiana na wawekezaji ili kuwa mabalozi wa kuvutia uwekezaji nchini.
nakupa kazi ya kuupdate ule uzi