Watatu waandamana Washington DC

Ni wakati wetu Watz tuliopo nchini nasi kunyanyuka na kufanya yetu tarehe 29, tuache kubweteka tu na kukalisha makalio vibalazani, uhuru haupatikani hivyo kizembe zembe.
Acha ujinga, tafuta pesa. Usikubali kutumika kupitisha agenda za watu. Utakufa utaacha masumbuko kwa familia na wategemezi wako
 
Kile kidem poa chao kinajifanya kimezuiwa na FBI kisinde kuandamana maana atauponza........ wabongo noma sana.

Oyah, inchi hii haijawahi kufanyika maandamano ya nchi nzima na haitakaa ikatokea.
Niko paleeeee
Baki hapo hapo
 

Unaandika kwa uchungu sana mwamba. Kwani wanamkosesha sana amani nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…