Kwani waliwahi kutumwa na kukamatwa?Watume makanjanja wengine huko ughaibuni.
Eti hao ndio wanaota tarehe 29 Oktoba kutakuwa na maandamano makubwa hapa Tanzania duh😂
Ujumbe umeuona lakini!
Tumeni wengine.Kwani waliwahi kutumwa na kukamatwa?
Hebu leta ushahidi tuone ?
Hiyo ilikua jana wakati wakifanya maandalizi.Kumbe ulidhani 10:00a ya huko na kwenu Dongobesh ni muda huo huo?
Mtatumia nguvu zote, lakini maandamano hayakwepeki.Kile kidem poa chao kinajifanya kimezuiwa na FBI kisinde kuandamana maana atauponza........ wabongo noma sana.
Oyah, inchi hii haijawahi kufanyika maandamano ya nchi nzima na haitakaa ikatokea.
Niko paleeeee
Acha kuamini uzushi,hadi naandika sms hii huu muda wa saa 9 :14 huko Marekani ni saa 8 asubuhi,sasa hebu rejea muda ambao mtoa hoja kaleta huo uzushi ambao ni saa nne asubuhi kwa Tanzania,je Marekani ilikuwa usiku wa saa ngapi!?Kile kidem poa chao kinajifanya kimezuiwa na FBI kisinde kuandamana maana atauponza........ wabongo noma sana.
Oyah, inchi hii haijawahi kufanyika maandamano ya nchi nzima na haitakaa ikatokea.
Niko paleeeee