Watanzania wenye asili ya Rwanda

Watanzania wenye asili ya Rwanda

Tabia hiyo mnayo ninyi tu, kuna wakenya na waganda waliochanganyika na nchi nyingine lakini huwezi kuta wana tabia kama zenu.
Uzalendo Uzalendo.. hawajui kupenda vya kwao

Alafu kuna kitu ambacho mnajifanya hamkijui, Nyie si ndio mnasemaga sie tuna roho mbaya?

Mnyarwanda au mtu mwenye asili ya Rwanda akitaka kuoa mtanzania n mziki mzito, Achen dada zetu nao wawagomee au wawakimbie tu
 
HAPO INATEGEMEA ULIZALIWA NCHI GANI KAMA ULIZALIWA TANZANIA HATA KAMA BABA NI MNYARWANDA WEWE NI MTANZANIA UNATAMBULIKA.

ILA UTAKAPOFIKISHA UMRI WA MIAKA 18 SHERIA ITAKUTAKA KUUKANA URAIA MMOJA WAPO LAKINI BILA KUUKANA MAHAKAMANI WEWE BADO HAUJATAMBULIKA KAMA MTANZANIA. HALISI.

NA ISSUE KAMA HIYO IMESHAWAHI KUTOKEA UKO KANDA YA ZIWA KUNA MTU ALIKUWA ANAGOMBEA UBUNGE LAKINI. MWISHO WA SIKU ALIWEKEWA PINGAMIZI LA URAIA WAKE
Rwanda First
 
Mimi wanachonikera ni tabia yao ya ubinafsi na kupendeleana.

Hata umgonge vipi na umsaidie vipi ila ujue siku akikutana na Mwanaume wa Kinyarwanda mwenzie lazima uachwe kwenye mataa.

Alafu inaonyesha Rwanda ni Ka-nchi kadogo mno maana wale jamaa wote wanajuana.
Kwan somali n ndogo? Kuna sehem utamkuta msomali usimjue? Au China? kuna sehem utamkuta usimjue?

Hao dada zetu hata usiwalau, Nyie dada zenu mnatuozesha???

Nimekulia na Kuzaliwa hapa hapa Tanzania, sikua najua Mnyarwanda au mtu mwenye asili ya Rwanda anachukuliwaje kwa jamii ya Watanzania... hadi siku moja mwaka jana nimepata mtoto pini huyo wakichaga, wazazi na ndugu zake walipojua, alipigwa marufuku kali mno, Kwamba Tuna roho mbaya.. achen dada zetu wawakimbie tu,

Hata huyo mnamwitaga Kimambi, niliona nae majuz anasema "Wanyarwanda wanaroho mbaya mno" yaan hapa kuoa possibly nitatakiwa kurud kwa mzee (Rwanda) ... nasema hv, wawakimbie tu
 
mmmh mleta mada reseach yako bado mimi ninao wajua ukiwaita mnyarwanda mtagombana ask hujiita WA TZ tena wasukuma na wanakiongea vizuri sana

mfano mdogo wangu alisema na mmoja form three hadi Six na alikuwa likizo anakuja kulala kwetu akijita msukuma ila walipo maliza masomo nilimwalika dogo aje kunitembelea kigali ajabu alikutana na huyo rafiki yake na baba yake ni mtu mzito kwa serikali ya kagame dogo aliduwa kuona rafiki yake anaongea lugha ya ajabu ila kinyarwanda
 
Na mimi siwataki tena kwa future maana sio waamifu.

Hapa nilipo wapo kibao basi nawagonga Na kuwatema kama sina akili nzuri eboooo
 
mmmh mleta mada reseach yako bado mimi ninao wajua ukiwaita mnyarwanda mtagombana ask hujiita WA TZ tena wasukuma na wanakiongea vizuri sana

mfano mdogo wangu alisema na mmoja form three hadi Six na alikuwa likizo anakuja kulala kwetu akijita msukuma ila walipo maliza masomo nilimwalika dogo aje kunitembelea kigali ajabu alikutana na huyo rafiki yake na baba yake ni mtu mzito kwa serikali ya kagame dogo aliduwa kuona rafiki yake anaongea lugha ya ajabu ila kinyarwanda
Mbona hujaeleweka mkuu, hebu fafanua ulichoandika.
 
Uzalendo Uzalendo.. hawajui kupenda vya kwao

Alafu kuna kitu ambacho mnajifanya hamkijui, Nyie si ndio mnasemaga sie tuna roho mbaya?

Mnyarwanda au mtu mwenye asili ya Rwanda akitaka kuoa mtanzania n mziki mzito, Achen dada zetu nao wawagomee au wawakimbie tu
Hapa hawazungumziwi wanyarwanda mkuu, tunazungumzia watanzania wenye asili ya Rwanda. Wanyarwanda hatuna tatizo nao maana ni jirani zetu na ni haki yao kuipenda nchi yao kama sisi tunavyoipenda nchi yetu Tanzania. Shida ni kwa hawa wanaojiita watanzania wenzetu halafu hapo hapo wanajiita wanyarwanda wakati wengine hawaijui hata rwanda.
 
Kwanini baadhi yao hasa vijana pamoja na kuonekana kuzaliwa na kukulia Tanzania kwa maana ya mzazi mmoja hasa baba anakuwa mtanzania na mama akiwa mnyarwanda(sijui kama kweli) lakini wanajiita wanyarwanda na sio watanzania!

Nilishangaa baadhi yao(sio wote)wakati wa uchaguzi mkuu uliopita kukuta wakishiriki siasa hasa kupiga kura lakini hapo hapo wakijitambulisha kama ni wanyarwanda na sio watanzania? kwenye social networks hasa instagram wamekuwa wakitumia country code ya +250!

NOTE:

Nazungumzia watanzania wenye asili ya kinyarwanda na sio wanyarwanda wa rwanda.
Mobona hata boss ni mnyamulenge?
 
Hata sisi pia tulisoma historian kama WEWE lakini utofauti wa WEWE NA sisi ila mkuu jaribu kutembea NA kuuliza watu utajifunza kitu .

Kwa mfano ukisoma historia ya darasani huwa mnafundishwa kuhusu makabila toka great lakes
Ni tofauti ukitembea NA kujifunza

Kwa mfano ukienda nchi kama Rwanda au Burundi ni vigumu kujua Watusi NA wahutu kwa sababu wanaongea lugha moja .

Sio hivoo tuu hakuna lugha ya kutusi wala kihutu kikizungumzwa vijijini wala mjini hii ni tofauti NA Tanzania huku kila kabila lina Lugha ya kwaoo.

Kwaiyo ukitaka kuwatofautisha wahutu na Watusi hapo ndipo unapozungumzia Chimbuko LA BAHIMA na Ubugabilenze lakini BAHIMA ndio inayovumaa.

Na ukitaka kujifunza mengi kuhusu tembea na ujifunze toka kwa watu na vitabu
Acha porojo. Pamoja na kwamba wanatumia lugha moja ila wanatofautiana kimuonekano. Mtusi anajulikana na mhutu anajulikana. Labda hujawai kufika Rwanda
 
Hapa hawazungumziwi wanyarwanda mkuu, tunazungumzia watanzania wenye asili ya Rwanda. Wanyarwanda hatuna tatizo nao maana ni jirani zetu na ni haki yao kuipenda nchi yao kama sisi tunavyoipenda nchi yetu Tanzania. Shida ni kwa hawa wanaojiita watanzania wenzetu halafu hapo hapo wanajiita wanyarwanda wakati wengine hawaijui hata rwanda.
Mwenye asili ya Rwanda sio Mnyarwanda???? n nani?

Asili yako inamaanisha chimbuko lako, ndiko uliko toka, alafu wengi wetu n kizazi cha kwanza...

Watoto wetu sisi ndio walau wanaweza wakaingia kwenye maana unayo maanisha

We are proud of our nation mkuu, kama nyie hamuipendi Tanzania, ni nyie

Nenda hata kwenye jukwaa la wa Kenya utaona wanavyo itetea nchi yao, n mpuuz tu ambae atalinanga taifa lake...
 
wakitoka burundi wanajiita wanyarwanda kwa kuwa wstz tulishakariri wanarwanda si wakimbizi ila warundi ndo wakimbz so kusa mnyarwamda haina madhara km ukisema mrundi.
 
HILO mbona ni jambo LA kawaida tuu WATU kufahamiana kwa mfano Mimi ni mnyamwezi nimezaliwa dar na kukulia dar na sijui chochote kuhusu wanyamwezi

LAKINI nikikutana na wanyamwezi wenzangu huwa ninajisikia faraja
Umenena mkuu.
 
Wewe jiulize kwanini wanyarwanda tu ndo wanakimbia kimbia nchi za watu na sio warundi? Burundi kuna wahutu na watutsi kama rwanda lakini watutsi unaowaona bongo wametokea rwanda na sio Burundi, kuna nini kwao hadi wakimbie huko?
kwasababu wanyarwanda wanapenda kuchakalika wakitafuta maisha na ndo maana utawakuta nchi nyingi nasio tz pekee, shuka msumbiji,zambia, s.africa utajionea
 
kwasababu wanyarwanda wanapenda kuchakalika wakitafuta maisha na ndo maana utawakuta nchi nyingi nasio tz pekee, shuka msumbiji,zambia, s.africa utajionea
Hawachakaliki ni wakimbizi dunia nzima wapo kutokana na vita mwaka 94
 
Back
Top Bottom