Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,256
- 3,892
Hata sisi pia tulisoma historian kama WEWE lakini utofauti wa WEWE NA sisi ila mkuu jaribu kutembea NA kuuliza watu utajifunza kitu .Nilochokigundua history ya hilo kabila katika ukanda huu wa great lakes imepotoshwa au imekuwa exaggerated .nimesoma history o level na high school kwa Bahati mbaya au nzuri mengi yanayozungumziwa sijawahi kukutana nayo kwenye materials naona kama porojo tu zamitaani
Kwa mfano ukisoma historia ya darasani huwa mnafundishwa kuhusu makabila toka great lakes
Ni tofauti ukitembea NA kujifunza
Kwa mfano ukienda nchi kama Rwanda au Burundi ni vigumu kujua Watusi NA wahutu kwa sababu wanaongea lugha moja .
Sio hivoo tuu hakuna lugha ya kutusi wala kihutu kikizungumzwa vijijini wala mjini hii ni tofauti NA Tanzania huku kila kabila lina Lugha ya kwaoo.
Kwaiyo ukitaka kuwatofautisha wahutu na Watusi hapo ndipo unapozungumzia Chimbuko LA BAHIMA na Ubugabilenze lakini BAHIMA ndio inayovumaa.
Na ukitaka kujifunza mengi kuhusu tembea na ujifunze toka kwa watu na vitabu