Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
- Thread starter
- #81
Mkuu kumbe na wewe umeliona hilo! Hao watu si wa kuwaamini hata kidogo, hawapaswi kuitwa watanzania.Tru..nina rafiki zangu wawili wamezaliwa Tz na kukulia Tz bt huko huko IG mmoja anajiita Rwandan boy mwengne ni msichana nae hvo hvo anajitambulisha kama mrwanda"
Kitu nilichoona mm warwanda wengi waliseparate baada ya machafuko (mauaji ya halaiki) walikimbia nchi yao wengi wanaishi nje nchi tofauti tofauti na wamezaliwa huko ila hawa jamaa wanaile kitu yakujiproud as Rwandese so wanatumia social network kufahamiana wao kwa wao kutoka sehem tofauti tofauti na kujiona kama inawaweka karibu.
Wanahash tags zao na page wanapostiana sana IG