Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,505
Kwanini baadhi yao hasa vijana pamoja na kuonekana kuzaliwa na kukulia Tanzania kwa maana ya mzazi mmoja hasa baba anakuwa mtanzania na mama akiwa mnyarwanda(sijui kama kweli) lakini wanajiita wanyarwanda na sio watanzania!
Nilishangaa baadhi yao(sio wote)wakati wa uchaguzi mkuu uliopita kukuta wakishiriki siasa hasa kupiga kura lakini hapo hapo wakijitambulisha kama ni wanyarwanda na sio watanzania? kwenye social networks hasa instagram wamekuwa wakitumia country code ya +250!
NOTE:
Nazungumzia watanzania wenye asili ya kinyarwanda na sio wanyarwanda wa rwanda.