jonas kwigeza
Member
- Oct 12, 2016
- 96
- 134
Nadhani genocide ya 1994 iliwaacha na ugonjwa Wa PTSD, poppte walipo wanajipma wanabaguliwa na kiuhalisia ukichimba sana wanajiona hawakubaliki mataifa yote walipo. Labda huko Ethiopia asili yao nako kumejaa hawawezi kurudi. Lakini watanzania Leo inaathirika mini na watutsi wafugaji tu hawajawahi kushika bundukina kuua tembo wetu wala jambazi Wa kushika silaha na kuua hayupo Tanzania. Wapo wageni wanaoua tembo misitu ya Tabora. Hao ni tishio au kwa kuwa ni wabantu hao waharibifu Wa maliasili zetu tusiwajadili.? Hisia hizi za ukabila tutakuwa tunaililia serikali njaa kila mwaka.Mhukumu MTU kwa tabiayake binafsi na so kabila. TUKO KARNE YA 21 TUKIWA MWENYE MABASI YA UKABILA.Wazungu wakigundua dawa ya malaria watatufanya kama wahindi wekundu .wakati huu ni kuwaza maendeleo I'll tuwexe kukabili second scramble for Africa isifanikiwe. Hivi miaka 50 baada ya kujitawla tumedumaa kimaendeleo ukiliganisha na Singapore na Korea tulokuwa sawa kimaendeleoni sababu ya Bahima Empire(imaginary)?Tuwaze mendeleo tuzke ukaburu Wa aina yoyote(uzawa/ukabila/udini/NINA HAMU NA TANZANIA YA VIWANDA IJE HARAKA ILI IFUTE SIASA ZA NJAA(UBAGUZI)NAWASILISHA . MATUSI YAEPUKE UNAPOJIBU