Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,257
- 3,904
KwA kifupi Mi nimebahatika kuishi Rwanda na kukaa na wanyarwanda kidogo.
Kwa kifupi wanyarwanda ni watu ambao hadi Leo hii wanalinda kizazi chao cha tangu enzi na enzi.
Ndio maana hadi Leo hii mabinti wa kinyarwanda popote waendapo hutambuana kwa macho , shingo ndefu na puaa na urefu wao kama twiga.
Ndio maana hadi Leo hii hata kama upo Tanzania ikitokea umezaa na binti wa kinyarwanda kitu ambacho hukifanya wao ni. Lazima amepeleke mtoto Rwanda akafanyiwe mila flani za kitusi au kihutu hapa Nina maana hata akikua MTU mzima hawezi kuisahau. Rwanda .
Na ukitaka kufahamu hilo jaribu kufatilia serikali ya kagame na wafanyakazi serikalini huwezi amini asilimia 90 wengi wamesoma Tanzania na wamepitia bodi ya mikopo kupitia kodi za watanzania.
Na siri kubwa ya wanyarwanda wakiwa Tanzania hupenda kujiita Wahaya, wanyamwezi, waha,wanyambo mbaya zaidi wapo ambao wamepenya penya na kufanya kazi serikalini ila siri yao kubwa ni moja tuu
Hawawezi kuisahau rwanda