Watanzania wazuiliwa kucheza bahati nasibu ya kupata ukazi wa kudumu (Green Card) Marekani

Sioni Mtanzania anaye tamani kwenda kuishi marekani. TZ maisha ni rahisi sana, chakula kote kote..Ardhi kununua nikama bure, hakuna ubaguzi wa rangi, Vivutio na mahala za kula bata ni nyingi sana.
ZERO CONSEQUENCIES
Trump aendelee na Muslim ban zake.
 
Hakuna response yeyote kutoka kwa GoT hadi sasa hivi? Au wamesambaratika kama mafundi wa mnara wa Babeli? Maanake wanavopenda kujipiga vifua kwamba hawafagilii wala kuwaogopa mabeberu nilitegemea kwamba kufikia sasa wamarekani watakuwa wamepigwa ban ya kukanyaga ardhi ya dona kantri.
Trump is an overgrown man-child. Even his own country's allies in Europe laugh at his stupidity in international meetings. He is not worth a reply from Dr.John Joseph Pombe Magufuli Phd.
 
Trump is an overgrown man-child. Even his own country's allies in Europe laugh at his stupidity in international meetings. He is not worth a reply from Dr.John Joseph Pombe Magufuli Phd.
Atleast Trump is always present at 'international meetings' driving his country's agenda from the front. There isn't much to report about the antisocial Phd.
 
Atleast Trump is always present at 'international meetings' driving his country's agenda from the front. There isn't much to report about the antisocial Phd.
Unajua bajeti ya rais wa Marekani ya kusafiri kwa mwaka ni zaidi ya bajeti za nchi zote za EAC kwa mwaka?, wewe unataka kushindana na Marekani katika kutumia pesa ya nchi?.

Marekani wanayo maslahi karibu duniani kote, hivyo rais wao kuzunguka dunia ni muhimu sana, hivi Uhuru Kenyatta akienda Jamaica, Msumbiji, au Trinidad anafaidika nini vs gharama anazotumia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna response yeyote kutoka kwa GoT hadi sasa hivi? Au wamesambaratika kama mafundi wa mnara wa Babeli? Maanake wanavopenda kujipiga vifua kwamba hawafagilii wala kuwaogopa mabeberu nilitegemea kwamba kufikia sasa wamarekani watakuwa wamepigwa ban ya kukanyaga ardhi ya dona kantri.
No response is the best response, sababu kwanza ni watz wachache sana huhangaika na USA. Alafu ukiwapiga ban wamarekani unapoteza hela za utalii n k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati kwenye ugomvi inabidi ubaki kimya sio kila wakati unakurupuka kujibu, lazima kwanza upime upepo na kujua mapigo yanatokea wapi, yanamlenga nani, na anayeshambulia ni nani na anatumia silaha aina gani na kusudi au lengo lake ni afanikishe nini haswa.
Hapa Watz wakijichanganya wajibu kwa kejeli bila kushirikisha ubongo inaweza kuwakalia vibaya sana, maana ujue tamko la Marekani huwashirikisha na wadau wake bara Uropa na mataifa ya mbali.
Juzi mkopo mkubwa uliokusudiwa Tanzania umesitishwa na WB, kukosa hela kama hizo kipindi cha uchaguzi ni hatari, maana serikali zetu za Kiafrika tunazijua, watasema ni hela za elimu lakini ile kwamba zimetua kipindi cha uchaguzi lazima zipate matumizi ya kuhakikisha chama kinabaki kwenye uongozi.
Sasa hivi Zitto na Lissue wote wako ughaibuni, haujui cheche zipi wanatema huko.
1. Mkopo haujasitishwa, umechelewa kutolewa sababu ya barua from zito kabwe.
2. Mkopo umekuwa ukitoka kila mwaka, kwann uwaze utatumika kwenye kampeni wakati ulikuwa na kazi miaka ilopita na auditors wao wakaafiki ilitumika vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna takwimu kusapoti maelezo yako ,unazunguzunguka tu na mineno mingi
Mkuu kushiriki na kutoshiriki ni vitu viwili tofauti, ndio mana chadema walivyosusia uchaguzi ccm wakaplant watu wakae upande wa chadema ilimradi waonekane wameshiriki, umenotice hiyo difference ? Jifikirishe kidogo mkuu, kama unaweza kuaccess jf unaweza access internet na kama unaweza access internet unaweza pata information kibao, so kaa kitaalam mkuu its 2020


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Mkopo haujasitishwa, umechelewa kutolewa sababu ya barua from zito kabwe.
2. Mkopo umekuwa ukitoka kila mwaka, kwann uwaze utatumika kwenye kampeni wakati ulikuwa na kazi miaka ilopita na auditors wao wakaafiki ilitumika vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama haujasitishwa mbona makelele yote ya kumsema Zitto na hasira zote hizi za nini.
 
ngoja tuone watumwa wa fikra wakishabikia ujambazi wa marekani,

Marekani ikisema demokrasia, ujue kuna taifa litaumizwa kwa vita na kuondolewa katika misingi yake.

Sote ni mashahidi wa namna kete ya Demokrasia ilivyotumika vyema na marekani kuvuruga mataifa mengine.
Kwa Hilo walilosimamia la kutaka Ushoga utawala Dar na TZ kwa ujumla, bado nitaendelea kumpongeza Mh. Makonda na kuwaambia USA kwamba Kila taifa lina Mila zake sisi huku kwetu Mwanaume kuingiliwa si katika Mila zetu na wao kwakuwa wao kufanyiwa ubasha Ni Mila zao wasitake tuwaige kwenye ufedhuli Kama katika Mila zao Kuna ya kheri sisi kuyaiga tutaiga lakini ya Shari Kama Ushoga wabaki nayo tu.
 
what are those security requirements that Tanzania failed to meet? I would like to know them!
2292287_86B3916F-C3B6-42BE-84F2-5258FC79169F.jpeg
 
Hahaha wamezuia hata china na Urusi au ni uko Marekwamehama.

Zaaneni tu, tuwe wengi kama china, tutataenda china kama huko wamebana.
 
Hahaaa aisee akina trump hawawachekei waswahili tena wakati wanabaka demokrasiaa! Sanctions za hatari zipo njianiii, tz inarudi kwa vijiji vya ujamaa mazee, mtakula😂😂😂 nyasii ohooo!
 
Viongozi wa "serikali ya wanyonge" ndio wametuponza na wataendelea kutuponza. Wangepigwa ban za greencard visa wao peke yao na familia zao ila sasa wanyonge wote wamo ndani ya mkumbo. Halafu kuna mijitu bado inawaimbia nyimbo za kusifu na kuabudu kama mazombi s.h.e.n.z.i kabisa
pole
 
Mkuu kwahiyo tulioomba mwaka Jana na tunasubiri majibu ndio imekula kwetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili swali hata mimi nimeuliza sijapata jibu la kueleweka.

Ila, kwa kawaida, sheria haziwi retroactive.

Maana yake, ukiwa umecheza mwaka jana na upo katika pipeline, bado una nafasi.

Hii sheria itawahusu zaidi wa mwaka huu.

Kwa sasa, lottery ya 2020, ukiangalia nchi ambazo haziruhusiwi kushiriki, utaona jina la Tanzania limeongezwa.

Nafikiri mliicheza 2019 bado mko salama kwa kiasi, kwa sababu mlipoanza kushiriki, Tanzania iliruhusiwa.

Sijui ratiba za DV lottery, lakini kama mtu kashachaguliwa kwa lottery ya 2019, sioni logic ya kumkatalia.

Katika falsafa za misingi ya sheria (jurisprudence), ni vibaya sana kuweka sheria leo, halafu sheria hiyo ikaathiri mambo ya jana.

Kwa mfano, ni sawa kuweka sheria ya kwamba, kuanzia kesho, hairuhusiwi kuvaa shati jekundu.

Lakini, ukiweka sheria ya kusema, yeyote aliyevaa shati jekundu tangu mwaka 2020 uanze amevunja sheria, hapo kuna tatizo. Kwa sababu kuna watu walivaa shati jekundu bila kujua kwamba wanavunja sheria.

Ila kwenye diversity lotto kuna complication, kwa sababu wameweka kipengele cha national security, kwamba pasi zetu na mifumo yetu vina mapungufu fulani ambayo hatujakidhi viwango vyao. Kwa hivyo, ni muhimu kupata ufafanuzi kutoka ubalozi wa Marekani.

Ubalozi wa Marekani Tanzania utaweza kufafanua vizuri zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni rasmi sasa raia wa Nigeria, Eritrea, Kyrgyzstan, na Myanmar wamezuiwa kuhamia USA, nao raia wa Tanzania na Sudan wamepigwa ban ya kushiriki kwenye Green-card, dah! Jamaa wamepania, ikumbukwe jana walimpiga ban mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, asiende kwao yeye au yeyote kwenye familia yake.

Raia wa Nigeria kwenye mitandao wanapiga kelele hadi balaa.

======

President Donald Trump on Friday expanded his travel ban to include six more countries, including Nigeria — Africa’s most densely populated nation.

Immigrant visa bans were placed on Nigeria, Eritrea, Kyrgyzstan, and Myanmar.

Citizens from Sudan and Tanzania will be blocked from obtaining “diversity visas,” green cards available via lottery for people from countries that don’t send many immigrants to the United States.

The regulation, which will be signed by President Trump on Friday, is scheduled to take effect on Feb. 22.

The countries join seven others that were already part of a travel ban, announced in 2017. But unlike the original ban, which barred all entry, nationals from the newly-added countries can still visit the United States as tourists.

Acting Homeland Security Secretary Chad Wolf told reporters during a call on Friday that the countries failed to satisfy security requirements, but that the government would work with them to get off the list.

“These countries for the most part want to be helpful, they want to do the right thing, they have relationships with the U.S., but for a variety of different reasons failed to meet those minimum requirements,” Wolf said.

Doug Rand, Boundless co-founder and an immigration policy expert, said the new ban will keep American citizens separated from their immigrant spouses and close family members.

“It has become a de facto family separation policy besides the obvious one at the border,” Rand said. “This will just magnify the pain to extend it to other countries.”

Source: Boundless
1580601354512.png
 
Tz wamezuiwa kushiriki mchezo wa bahati nasibu almaarufu "Green card" ambao ukishinda unapewa visa ya kudumu, hii sio hatari sana ila athari zake zipo kwamba mumemulikwa kihivi, ni kama onyoo fulani hivi. Itazingua kiaina hata wakati unaomba visa ya kawaida, maana ile tu umetaja unatokea Tanzania, taa ya tahadhari inawaka.
Eti Green card
Green card na green card lottery ni kama usiku na mchana
 
Back
Top Bottom