Watanzania wavamiwa na kupewa kichapo Ugiriki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wavamiwa na kupewa kichapo Ugiriki

Discussion in 'International Forum' started by Boflo, Sep 26, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  a.jpg b.jpg c.jpg

  Kwa nini mnan'gan'gania kukaa nchi za watu kama huko box halibebeki??????

  Rudini nyumbani, mtakuja kufa bure.....
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,308
  Likes Received: 13,017
  Trophy Points: 280
  kuna daktari wa kigiriki aliuawa so kisasi hicho
   
 3. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Inawezakana, maana wamevamiwa usiku wa kuamkia leo....na polisi hawakuchukua hatua yoyote
   
 4. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,933
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Poleni ndugu zetu....
  Mkiona vipi ........ au hali ni mbaya rudini tu nyumbani......

  Mambo huku ni shwari tu..
   
 5. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni ubaguzi hakuna kingine.Maisha yao yamekuwa duni na pengine wanaona choyo kuona watu weusi kuwa na biashara na pengine wao hawawezi kuwanacho.Kiukweli tu sio nchi ya kukaa na kwa mtizamo wangu TZ kuna oportunities zaidi.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  definetly wazungu hawakopeshi... Na soon utasikia mztz kauwawa mm sintoshangaa hata nukta . Mwafrika kwake ni afrika kwingine wanamuona kama nyani tu
   
 7. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,224
  Likes Received: 1,069
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu mliopo Ugiriki hivi mnasubiri nini kurudi nyumbani? Mmeishachuma vya kutosha wenzetu wapo juu ya mawe sasa hivi mtakufa bure!Mnaogopa nini kurudi nyumbani?
   
 8. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,062
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Nyie mnaotaka warudi nyumbani, mnajua udhalilifu wa Bongo unapoanza biashara ya halali? Mijitu myeusi sijui imelaaniwa. Kila Mtanzania akifurukuta kutaka kujiinua kimaisha anawekewa vikwazo na watawala: kodi kibao, vikwazo nk. Kwani wadhani wafurahia kuwa nje? Yamewashinda. Afadhali kudhalilika ughaibuni kuliko nchini kwako, hasira yake unaweza kujiua!
   
 9. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Poleni sana
   
 10. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Greece ni nchi iliyochoka kuliko kawaida, ikibana sana karibuni home

  wapigeni za uso mje mkiwa njema
   
 11. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mbona hiyo nchi imechoka long time,njooni bongo kama hamna kitu njooni arusha kila mtu awe na&nbsp;&nbsp; landcruser moja namlipa laki mbili kila siku kwa gari kwa high season na low season nalipa laki na nusu.<BR>acheni kujichoresha huko,huku rchuga tunapiga maisha kila siku kama mtoni vile.
   
 12. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kasumba ya kufikiri ulaya ni pepo ya dunia. Ulaya ya sasa ni tofauti, hawana nafasi tena kwenye dunia hii ya utandawazi. Maisha yanaweza kukunyookea popote siku hizi.
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Ugiriki hali ngumu sana saizi mzungu analalia skonzi.
   
 14. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Aisee Ugiriki hata sijui hatima yake itakuwaje, wafanyakazi karibia sekta zote muhimu wamegoma, ghasia karibia nchi nzima mlioko huko kuweni makini sana,yakiwashinda rudini tu nyumbani
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  MCHANA HUU FUJO ZIMEANZA TENA NA KUONGEZEKA KATIKA JUMUIYA YA WATANZANIA UGIRIKI IMESABABISHA VIONGOZI WETU WA 2 MWENYEKITI NA KATIBU WETU WA COMMUNITY KUPIGWA PINGU NA KUPELEKWA KITUONI.

  [​IMG] [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]
   
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 18. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]
   
 19. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 20. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  aliyevamia ni nani?
   
Loading...