kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,316
- 3,683
inferior complex huwezi kuelewa kwani lazima tuwe sawa na nyie kwani nini maana ya kenya au tanzania au nini maana ya family sio lazima tuwe sawa na nyie tanzania ni nchi nyingine ishini kwa mitaala yenu nasi tunafata kanuni zetu . kwani ukiongea kingereza utaonekana superior wewe kwa mzungu utaendelea kuonekana tu warlord na mental kwenye civilization
Ukiongea kingereza you are open and ready for international business.
Jikumbushe ni corporations ngapi ziko na hq hapa Nairobi na ni ngapi ziko na hq huko dar.