tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,490
Usikubali kuchukuliwa specimen kama mate,Mkojo, damu, sperm au uchunguzi wowote wa kidaktari, Ukiwa chini ya ulinzi, Ukikataa inabidi jeshi la polisi liende kuomba ruhusa ya mahakama!! Mahakama ndo inapaswa kutoa amri ya hayo mambo kufanyika!!! Lakini ukikubali imekula kwako!!!