Watanzania wangapi wanaijua hii sheria kuhusu kupimwa na Daktari ukiwa chini ya ulinzi

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
DrGTfEBX4AAlcZo.jpg

Usikubali kuchukuliwa specimen kama mate,Mkojo, damu, sperm au uchunguzi wowote wa kidaktari, Ukiwa chini ya ulinzi, Ukikataa inabidi jeshi la polisi liende kuomba ruhusa ya mahakama!! Mahakama ndo inapaswa kutoa amri ya hayo mambo kufanyika!!! Lakini ukikubali imekula kwako!!!
 
Mheshimiwa amekuwa akitoa changamoto zinazopelekea watu kutafuta uchochoro wa kuchomokea.Lakini kwa vyovyote vile tatizo la Ushoga lipo na ni janga la taifa utafiti wa kina ufanyike ili kuokoa kizazi kijacho ambacho kipo kwenye hatari kubwa ya kulegezwa nguvu kazi ya Taifa.
 
hapa hatuongelei kukwepa makosa tunaongelea namna ambavyo tumejiwekea utaratibu kisheria kushughulikia kila aina jambo.kama umefanya makosa ndiyo maana tunasema sheria ifuate mkondo wake.
 
drgtfebx4aalczo-jpg.920552

Usikubali kuchukuliwa specimen kama mate,Mkojo, damu, sperm au uchunguzi wowote wa kidaktari, Ukiwa chini ya ulinzi

Specimen hii utaijengea mazingira gani ipatikane?
 
Kama una kesi ya mauwaji lazima utachukuliwa mate ukiwa chini ya ulinzi ili kulinganisha dna

Hata ukikataa lazima utachukuliwa for investigation huwezi kukwepa

Ukiwa na kesi ya kichwa lazima utachukuliwa sample tu ili unyooshwe au uokoke
 
Utachukuliwa kwa ruhusa ya mahakama ila sio kisa uko chini ya ulinzi uchukuliwe tu vipimo
mbona ni kitu kidogo sana
 
Wewe mleta mada unazungumzia polisi wa nchi gani!?

Kama ni hawa policcm ndugu zako watakukuta chumba cha maiti.
 
Mheshimiwa amekuwa akitoa changamoto zinazopelekea watu kutafuta uchochoro wa kuchomokea.Lakini kwa vyovyote vile tatizo la Ushoga lipo na ni janga la taifa utafiti wa kina ufanyike ili kuokoa kizazi kijacho ambacho kipo kwenye hatari kubwa ya kulegezwa nguvu kazi ya Taifa.
Kwi mashoga hawawezi kufanya kazi
 
Unajua sheria wakati mwingine ni ujinga fulani hivi kuna taratibu kabisa zimewekwa wazi na sheria husika ..sasa kwanini iwe imekula kwako kama utakubali na utaratibu husika haukufuatwa ?
Anayepaswa kujua au kuuliza kama utaratibu umefuatwa ni nani ?
 
mmh
 
View attachment 920552
Usikubali kuchukuliwa specimen kama mate,Mkojo, damu, sperm au uchunguzi wowote wa kidaktari, Ukiwa chini ya ulinzi, Ukikataa inabidi jeshi la polisi liende kuomba ruhusa ya mahakama!! Mahakama ndo inapaswa kutoa amri ya hayo mambo kufanyika!!! Lakini ukikubali imekula kwako!!!
Jamani mimi nadhani mtoa mada nia yake ni njema kabisa. Ni hivi ili mtu aweze kuchukuliwa specimen kisheria kuna utaratibu kama hicho kipengele kinavyoeleza na taratibu hizo zinapaswa kufuatwa. Sasa zisipofuatwa advantage itakuwa kwa mtuhumiwa, wakati ushahidi huo utakapotolewa mahakamani mtuhumiwa anaweza kuupinga kwa hoja kwamba procedure za kisheria hazijafuatwa na akafanikiwa kuupiga chini.
Hivyo basi polisi ndo wanatakiwa kuwa makini kufuata hizo procedures ili waweze kushinda case.
Mtuhumiwa hana haja ya kukataa kuchukuliwa coz yeye siyo looser in case utaratibu haujafuatwa itamsaidia kupinga ushahidi huo baadae mahakamani.
 
Back
Top Bottom