Watanzania wanaweza kuwa na kampuni yao ya simu (100% shareholding)

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
705
Waungwana,

Nimekuwa nikiwaza jambo moja.

Ni kwa sababu gani sisi - Watanzania, wazawa - tumeamua kwamba soko la simu za mkononi liwe kwenye miliki ya wageni au baadhi ya wazawa wakishirikiana na wageni. Sipati jibu kwa nini imekuwa hivyo.

Hata hivyo, sijakata tamaa, kwani najua kwamba simple arithmetics zinatuwezesha kuwa na kampuni ya simu za mkononi ambayo umiliki wake ni wa Watanzania wazawa kwa 100%.

Ukianzia, kwa mfano, hapa JF. Kuna wanachama milioni kadhaa. Sema tuanzishe kampuni ambayo itakuwa na wanahisa 1,000,000/- ambao watanunua hisa kwenye DSE.

Tuseme kwamba thamani ya hisa moja itakuwa ni Tshs 10,000/-.

Ukifanya hesabu za haraka haraka, Tshs 10,000/- times 1,000,000 shareholders unapata Tshs. 10,000,000,000.

Amount hii ni ndogo sana kwa kuanzia, au inatosha?

Nawaombeni maoni yenu.

Haiwezekani kupata Watanzania milioni moja, walioko ndani na nje ya nchi, wakawekeza Shs. 10,000/- kila mmoja, katika kununua hisa kwenye kampuni hii, ili tuwe na uwezo wa kushindana kikamilifu? Hakika tutawateka wateja wote, kwani hii itakuwa kampuni ya wazawa, SIO ya makaburu na wageni wengine wachumia-tumbo! Wakishatosheka wanaingia mitini, kwani Tanzania imegeuzwa kuwa Shamba la Bibi!

-> Mwana wa Haki
 
MwanaHaki et All,
Usiangalie tu watanzania walio nje, nadhani cha msingi ni kutazama uwezo uliopo hapa hapa nchini, watu wana pesa lakini hamna sehemu za kuwekeza. nadhani wataalam wa mambo ya hisa wana weza kutuelimisha kuhusu vigezo ambavyo vinatumika kwenye hiyo biashara sana sana kwenye lower na upper limits ambazo mtu binafsi anaweza kuwekeza. Pia katika "types" za businesses zinazokubalika tanzania, shareholding zikoje na hapo basi watu tutaelimika zaidi. Elimu hii ikiwafikia walengwa, basi haitakuwa simu tu, bali biashara zozote zenye ukubwa kama wa hii sector.
Kotinkarwak
 
Wazo ni jema sana na liko kwa wakati wake hasa,ila uzoefu wa NICOL,TOL na SACCOS kadhaa zilivyo kufa unawafanya wengi kuogopa,na wenye kuthubutu wanatishwa sana na urasimu ktk nchi yetu.

Vinginevyo,kwa msaada wa watalaam wa biashara,na ujasiri wa kuthubutu inawezekana.
 
Wabunifu USA, can help Wanainchi and Wageni handle Capital Ventures and Underwriters etc. Wabunifu will develop a strategic plan for Mwanahaki's Idea and present here on the forum for members review. Wabunifu will also funding strategies which will also, reviewed by members. I agree with other member who points out that funds can be available even in Bongo. Please, let's take MwanaHaki hand and make this happen.
Thank you
 
Ndio, Tunaweza. Barua ya kwanza niliandika kwa lugha ya kigeni. Kisha nikagundua kua MwanaHaki ametumia Lugha ya kikwetu. Kwahiyo, naandika kwa Jibu langu kwa Kiswahili. Mimi naitwa Mziba. Ninaendesha Kampuni inayoitwa Wabunifu USA. Kama mnavojua maana hili neno alisili yeke ni Ubunifu (Innovation). tunafanya kazi na watu ambao kazi yao ni kugundua ufumbuzi wa matatizo ya Jamii kwa kutumia mbinu za kisasa. Tuna ufundi wa kutosha na uzoefu Katika secta ya Fenda, na Usimamizi wa biashara kuhakikisha biashara inaendelea. Wabunifu USA, Itajitolea. Naomba tummuuenge mkono Bwana MwanaHaki. Mawazo yake mazuri. Ndio, Tunaweza kutengeneza Jumuia au kampuni, na kupata fedha za kuanzia biashara.
 
Waungwana,

Ni kwa sababu gani sisi - Watanzania, wazawa - tumeamua kwamba soko la simu za mkononi liwe kwenye miliki ya wageni au baadhi ya wazawa wakishirikiana na wageni. Sipati jibu kwa nini imekuwa hivyo.

Hata hivyo, sijakata tamaa, kwani najua kwamba simple arithmetics zinatuwezesha kuwa na kampuni ya simu za mkononi ambayo umiliki wake ni wa Watanzania wazawa kwa 100%.

Ukianzia, kwa mfano, hapa JF. Kuna wanachama milioni kadhaa. Sema tuanzishe kampuni ambayo itakuwa na wanahisa 1,000,000/- ambao watanunua hisa kwenye DSE. Kampuni hazianzishwi kwa watu kununua hisa DSE. Kampuni huanzishwa kwanza, hupata track record, na ndipo hujiorodhesha DSE. Ikishajiorodhesha ndipo inaweza kukuza mtaji kwa kuuza hisa zaidi kupitia DSE (IPO, nk).

Tuseme kwamba thamani ya hisa moja itakuwa ni Tshs 10,000/-.

Ukifanya hesabu za haraka haraka, Tshs 10,000/- times 1,000,000 shareholders unapata Tshs. 10,000,000,000.

Amount hii ni ndogo sana kwa kuanzia, au inatosha?

Nawaombeni maoni yenu. Suala kubwa ni mlolongo mzima wa namna ya kukusanya hiyo michango, uanzishaji na uendeshaji wa kampuni kiaminifu ili kuwanufaisha wanahisa. NICOL walijaribu - hawajafanya vizuri.

Haiwezekani kupata Watanzania milioni moja, walioko ndani na nje ya nchi, wakawekeza Shs. 10,000/- kila mmoja, katika kununua hisa kwenye kampuni hii, ili tuwe na uwezo wa kushindana kikamilifu? Hakika tutawateka wateja wote, kwani hii itakuwa kampuni ya wazawa, SIO ya makaburu na wageni wengine wachumia-tumbo! Wakishatosheka wanaingia mitini, kwani Tanzania imegeuzwa kuwa Shamba la Bibi!

-> Mwana wa Haki
Wazo kimsingi ni zuri - lakini uendeshaji ndio shida. Uwezekano ni kwa watu wachache wanaoweza kuanzisha kampuni, wakaiendesha kwa mafanikio kwa miaka kadhaa na kujiorodhesha DSE, halafu wakapainua kampuni kwa kutualika wengine kununua hisa.
 
Waungwana,

Nimekuwa nikiwaza jambo moja.

Ni kwa sababu gani sisi - Watanzania, wazawa - tumeamua kwamba soko la simu za mkononi liwe kwenye miliki ya wageni au baadhi ya wazawa wakishirikiana na wageni. Sipati jibu kwa nini imekuwa hivyo.

Hata hivyo, sijakata tamaa, kwani najua kwamba simple arithmetics zinatuwezesha kuwa na kampuni ya simu za mkononi ambayo umiliki wake ni wa Watanzania wazawa kwa 100%.

Ukianzia, kwa mfano, hapa JF. Kuna wanachama milioni kadhaa. Sema tuanzishe kampuni ambayo itakuwa na wanahisa 1,000,000/- ambao watanunua hisa kwenye DSE.

Tuseme kwamba thamani ya hisa moja itakuwa ni Tshs 10,000/-.

Ukifanya hesabu za haraka haraka, Tshs 10,000/- times 1,000,000 shareholders unapata Tshs. 10,000,000,000.

Amount hii ni ndogo sana kwa kuanzia, au inatosha?

Nawaombeni maoni yenu.

Haiwezekani kupata Watanzania milioni moja, walioko ndani na nje ya nchi, wakawekeza Shs. 10,000/- kila mmoja, katika kununua hisa kwenye kampuni hii, ili tuwe na uwezo wa kushindana kikamilifu? Hakika tutawateka wateja wote, kwani hii itakuwa kampuni ya wazawa, SIO ya makaburu na wageni wengine wachumia-tumbo! Wakishatosheka wanaingia mitini, kwani Tanzania imegeuzwa kuwa Shamba la Bibi!

-> Mwana wa Haki

Nadhani ni wiki chache tu zimepita niliandika mada fulani ndefu tu na nikagusia suala hili la uwekezaji Tanzania kwa sisi wazawa wenyewe. Ni wazi na ukweli kuwa kampuni kadhaa za wazawa zinaweza anzishwa nchini na kuendeshwa vyema tu ingawaji tatizo kubwa ni katika uendeshaji wake. Mtazamo wangu si kama nadharau au nini bali ni ukweli unao onekana kuwa ngozi nyeusi tunapenda raha sana na tumejaa uvivu tele hivyo kutokuwa makini na usimamizi wa biashara husika na ndio maana biashara nyingi ufa. Niligusia suala la watu kununua IPO (Initial Public Offers) toka kwa makampuni mbali ila kwa bahati mbaya watu kama Kiraka humu jamvini wakawa wanapinga kuwa watu hawawezi kufanya hivyo kwa hiyo tuwaache watu wale raha. Kikubwa ni kuandaa na kuwahimiza wadau mbali mbali kwa wingi kununua hisa ili kuanzisha kwa kampuni kadhaa wa kadhaa pale business plan itakapokuwa imesimama. Tunaweza kujiendesha sisi wenyewe na tukawahudumia watanzania wote tena kwa uzalendo na umakini. Hata kama itakuwa ni elfu 50 au laki 1 kwa kila kichwa bado biashara inaweza fika mbali sana na kwa uhakika. Nafurahi Kiongozi kwa kuja na wazo hili wakati huu kwani nadhani wale ambao walikuwa wanadhania haiwezi kufanyika basi watatambua kuwa chochote kinawezekana kama tukisimama imara na tukiwa na nia.
 
Wazo ni jema sana na liko kwa wakati wake hasa,ila uzoefu wa NICOL,TOL na SACCOS kadhaa zilivyo kufa unawafanya wengi kuogopa,na wenye kuthubutu wanatishwa sana na urasimu ktk nchi yetu.

Vinginevyo,kwa msaada wa watalaam wa biashara,na ujasiri wa kuthubutu inawezekana.

Aisee Mkurugenzi maneno yako sawia kabisa.

Watz waaminifu ni wa kuhesabu.
 
Waungwana,

Nimekuwa nikiwaza jambo moja.

Ni kwa sababu gani sisi - Watanzania, wazawa - tumeamua kwamba soko la simu za mkononi liwe kwenye miliki ya wageni au baadhi ya wazawa wakishirikiana na wageni. Sipati jibu kwa nini imekuwa hivyo.

Hata hivyo, sijakata tamaa, kwani najua kwamba simple arithmetics zinatuwezesha kuwa na kampuni ya simu za mkononi ambayo umiliki wake ni wa Watanzania wazawa kwa 100%.

Ukianzia, kwa mfano, hapa JF. Kuna wanachama milioni kadhaa. Sema tuanzishe kampuni ambayo itakuwa na wanahisa 1,000,000/- ambao watanunua hisa kwenye DSE.

Tuseme kwamba thamani ya hisa moja itakuwa ni Tshs 10,000/-.

Ukifanya hesabu za haraka haraka, Tshs 10,000/- times 1,000,000 shareholders unapata Tshs. 10,000,000,000.

Amount hii ni ndogo sana kwa kuanzia, au inatosha?

Nawaombeni maoni yenu.

Haiwezekani kupata Watanzania milioni moja, walioko ndani na nje ya nchi, wakawekeza Shs. 10,000/- kila mmoja, katika kununua hisa kwenye kampuni hii, ili tuwe na uwezo wa kushindana kikamilifu? Hakika tutawateka wateja wote, kwani hii itakuwa kampuni ya wazawa, SIO ya makaburu na wageni wengine wachumia-tumbo! Wakishatosheka wanaingia mitini, kwani Tanzania imegeuzwa kuwa Shamba la Bibi!

-> Mwana wa Haki

Ni wazo zuri, manake hivi ndio tungeweza kuuza na kununua huduma zetu wenyewe. Kwa jinsi hii tungekuwa na fursa ya kukuza uchumi wetu zaidi kwa kubakisha faida na pengine hata kuwakeep wageni out of the biz.

Miradi kama hii inakuwa sustainable maana wamiliki na wanunuzi tunakuwa ni sisi wenyewe.. tutaajiri watz kwa asilimia tunayoitaka kwa raha zetu, sisi wenyewe na kupunguza tatizo la ajira..theoretically ilitakiwa iwe hivyo na kwa sababu soko lipo, the only limit would be the sky..

Tatizo la kui-implement such a project right this minute ni kwamba tabaka tawala haliwezi kutoa hiyo fursa, maana wao wenyewe, wafanyabiashara wa ndani na nje (ambao obvious kuna zile soft kickbacks ktk mechanism mbalimbali), wame-collude, ku-cover na kuishika hiyo angle..inawalipa na ni win-win situation kwao. Wamejiwekea misamaha ya kodi etc etc. Hata kama watatoa hiyo fursa kwa kampuni mpya kuji-establish, bado ku-compete nao ni vigumu sana.
 
MwanaHaki,

Wazo lako ni zuri na of course lina wezekana watu wakiamua. Ila nina maoni kadhaa.....
a)Mfanyabiashara au mwekezaji wowote haangaliii uraia wa nani anaye fanya nae biashara. Ana angalia nani ata kuwa na tija katika hiyo biashara iwe Mtanzania au mgeni. Kwa hiyo mimi ningekua mfanyabiashara wala uraia usinge kuwa kigezo wa nani nifanye nae biashara. Tusema kwamba tupromote ujasiriamali ili kwenye miradi ya namna hii Watanzania wawe competitive.

b)Una taja Watanzania waliopo nje ndiyo wajumuike kuanzisha hii kampuni. So again una punguza wigo la watu unaotaka kufanya nao biashara na sasa si Watanzania tu bali Watanzania waliopo nje. Rejea a)

c)Kampuni yoyote ina hitaji strong leadership na kundi la shareholders wenye hisa nyingi. Kuwa na wana hisa 100,000 wenye hisa chache chache ni unpractical kama hakuna at least mtu au kundi lenye a majority au strong minority of shares. Kuwa na shareholders wengi wenye hisa ndogo is unrealistic.

d)Watanzania wengi nasikitika kusema wame zoea biashara za ubabaishaji na ni wajasiriamali wachache sana ambao hukusanya nguvu na kufanya biashara pamoja na hii ni kwa sababu Watanzania wengi uaminifu na uadilifu zero. Ndiyo maana wafanyabiashara wengi huamua kusota kivyao na kutoka wenyewe. Watu wangekua wana unganisha nguvu hata kufanya miradi bila mikopo ya benki(ambayo hutoza riba kubwa) ingewezekana.

Kwa hiyo mkuu mimi nadhani business culture ya Tanzania ndiyo kikwazo. Wengi wetu hatuna mioyo ya ujasiriamali. Wengi weu tokea utotoni tuna himizwa tukazania masomo tuje kuwa waajiriwa. Na ndiyo maana leo mtu anaona ni dili kuajiliwa sehemu na kulipwa 2million kwa mwezi kuliko kuanzisha mradi wake mwenyewe.
 
Siamini kwamba watz hawana culture ya ujasiriamali..last time I checked kuna benki ilitoa hisa zake kwene soko la hisa na idadi wa wanunuzi ikazidi na nikasikia watarejesha hela kwa baadhi ya watu. Ninachoweza kusema ni kwamba tz we have much potential and almost everything needed to be the best..the problem is we are a headless flock of sheeps..hakuna uongozi shupavu na wenye maono..Kuna a lot of opportunities kwene hii nchi. Fursa zipo lakini zinatakiwa ziwe exploited intelligently. Kwa mfano zipo demands za kila namna, kuna demands za mahitaji ya msingi na pia kuna demands ya vitu vya ziada kama huu mfano wa simu za mikononi.

Ukichukulia mathalan, demands za mazao ya chakula, u will be surprised kwamba kuna matunda yanaoza mashambani au masokoni, wakati tuna-import ready made juice from Oman au Abu Dhabi Sultanate! yaani tunalipa foreighn currency kwa ajili ya juisi ambayo tungeweza kujitengenezea sisi wenyewe..Ardhi na mabonde yapo lakini tunaagiza mchele kutoka Thailand, miti ya mbao ya kila aina ipo lakini tunaagiza furniture, etc etc..

Bila uongozi wenye upeo, hatuwezi kufika popote kwa sababu kila mtu anafanya juhudi kivyake...blending of efforts is needed na at the same time sera madhubuti na enforcement ya sera inahitajika. Individuals sometimes wanabidi wawe sparked with knowledge maana nia tu peke yake haitoshi. Leo hii tunasema Tz ni nchi ya wakulima na wafanyakazi, wakati wafanyabiashara are the ones making a kill..legally and sometimes illegally. This have to change, uchumi lazima umilikiwe na wengi ili kuwepo na effect..ukimilikiwa na wachache na wabinafsi nchi lazima itasuffer.

When majority of people are able to have at least a predictable cash flow, then serikali inaweza kuketi kitako na kuzungmzia mambo mengine kama elimu, afya, nk kwa sababu institution ya familia inakuwa empowered. A steady progress can be made from there.
 
Niliwahi kusuggest something of that nature zamani kidogo, you can visit

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/12872-watanzania-milioni-moja-–-one-–mt-project.html

All in all ni wazo zuri, na the idea kwamba haiwezekani kwa sababu others failed si sahihi.

Mawazo mazuri ndio chanzo cha maendeleo..the only problem ni kwamba kuna system inayo clogg hayo mawazo mazuri yasiweze kuwa realized into real operating projects..

Kuna incumbency ya makampuni, mfumo wa kiserikali, ubinafsi wa watu..etc etc..kitabuni hivi vizingiti vinaonekana ni rahisi kuvi-overcome, lakini in reality it will take a host of angels kuviondoa hivi.
 
Siamini kwamba watz hawana culture ya ujasiriamali..last time I checked kuna benki ilitoa hisa zake kwene soko la hisa na idadi wa wanunuzi ikazidi na nikasikia watarejesha hela kwa baadhi ya watu. Ninachoweza kusema ni kwamba tz we have much potential and almost everything needed to be the best..the problem is we are a headless flock of sheeps..hakuna uongozi shupavu na wenye maono..Kuna a lot of opportunities kwene hii nchi. Fursa zipo lakini zinatakiwa ziwe exploited intelligently. Kwa mfano zipo demands za kila namna, kuna demands za mahitaji ya msingi na pia kuna demands ya vitu vya ziada kama huu mfano wa simu za mikononi.

Ukichukulia mathalan, demands za mazao ya chakula, u will be surprised kwamba kuna matunda yanaoza mashambani au masokoni, wakati tuna-import ready made juice from Oman au Abu Dhabi Sultanate! yaani tunalipa foreighn currency kwa ajili ya juisi ambayo tungeweza kujitengenezea sisi wenyewe..Ardhi na mabonde yapo lakini tunaagiza mchele kutoka Thailand, miti ya mbao ya kila aina ipo lakini tunaagiza furniture, etc etc..

Bila uongozi wenye upeo, hatuwezi kufika popote kwa sababu kila mtu anafanya juhudi kivyake...blending of efforts is needed na at the same time sera madhubuti na enforcement ya sera inahitajika. Individuals sometimes wanabidi wawe sparked with knowledge maana nia tu peke yake haitoshi. Leo hii tunasema Tz ni nchi ya wakulima na wafanyakazi, wakati wafanyabiashara are the ones making a kill..legally and sometimes illegally. This have to change, uchumi lazima umilikiwe na wengi ili kuwepo na effect..ukimilikiwa na wachache na wabinafsi nchi lazima itasuffer.

When majority of people are able to have at least a predictable cash flow, then serikali inaweza kuketi kitako na kuzungmzia mambo mengine kama elimu, afya, nk kwa sababu institution ya familia inakuwa empowered. A steady progress can be made from there.

Mkuu japo the system is at fault to some point sidhani kama tatizo ni solely la serikali. Hata ndani ya mazingira haya ya sasa kuna watu wame fanikiwa katika biashara tena kihalali kwa sehemu kubwa. So what does that tell you mkuu?

Mimi nachukulia mafanikio katika biashara na hakika maisha kiujumla kama mchezo wa karata. Kwamba kuna mazingira na juhudi zako mwenyewe. Kwenye karata hauwezi kuamua ni karata zipi utapewa (mazingira) lakini pia iwe ume pewa karata mbaya au nzuri ushindi wako uta tokana kwa kiasi kikubwa na juhudi zako mwenyewe. Sawa karata mbaya ina kuweka katika disadvantage (kosa la serikali) lakini pia hata kuwa na karata nzuri haiguarantee ushindi.

Kwa hiyo mimi nadhani tusiangalia sana serikali haijafanya nini au ita kuja kufanya nini. Tuangalie nini tuna weza kufanya sasa sisi kama sisi. Kumbuka a disadvantage inaweza kugeuzwa advantage na hiyo ni moja ya traits ya mfanyabiashara mwenye mafanikio. Tuangalie tuna wezaje kuexploit mazingira yaliopo sasa. Hao wachache ambao wame fanikio sidhani kama ni exception. Nadhani wao ni kielelezo tosha kwamba tuna weza ila wengi wetu hatu thubutu.

Kwa hiyo mkuu mimi hapa nadhani tuna tofautiana. Mimi naamini kabisa kwamba lawama kubwa zaidi ni kwa sisi wenyewe na si serikali japo nayo ina changia sana. Hata kwenye nchi zenye system nzuri siyo kila mtu kaweza kutake advantage na hata wao pengo kati ya walio nacho na wasicho nacho ni kubwa tena hata zaidi yetu huku sisi.
 
Asanteni kwa kuchangia mawazo yenu. Bwana MwanaHaki, nadhani kila mtu ana kubaliana na wazolako Ufunguzi wa Kampuni ya simu inayomilkiwa na wananchi. Maswali ya fuatia kutoka kwa Pmwasyoke, Abdulhalim, Nyambala na wengine,yamesaidia kusafisha wazo hili. Haya maswali ni mazuri sana, ndio maana tunahitaji wenzetu. Sidhani kama serikali itapinga, huu mradi wa kuleta maendeleo. Hivi ndivo tutakavo isaidia serikali kupiga vita umasikini. Watu watapata kazi. na kuna faida nyingi zitajikoza tukitilia maanani hili jambo.
Tutajadili haya maswali, Je Biashara Itaingiza hela, Wateja wako wapi, ushindani wa kibiashara, utendaji kazi, na plani za baadae. MwanaHaki, naomba utayarishe mkutano, ili tupate komitment kotoka kwa wana Jumuia. Ukihitaji msaada katika kutisha mkutano, tafadhali nafahamishe. Naomba wote waliochangia na wakao endelea kuchangia Wawepo kwenye mkutano.

Ahsante.
 
People need to be positive all the time. Continuous support is key in making such initiatives a dream come true. It is all in the mind and is caused by "NEGATIVE ATTITUDE" It can be done, if we all sit on the same level. Tujulishane tu wadau ili tuone nini kinaweza kufanyika na kwa wakati gani huku tukifanikisha vitu vingine pia. Kulingana na hitaji na hali halisi pia watu 100 hadi 500 wanatosha pia kwa baadhi ya biashara. Pia tunaweza franchise baadhi ya biashara au huduma halafu hao wanaotumia jina wanakuwa wanalipia fee fulani kila mwaka. Mwanzo mzuri.
 
Ahsante, Ting Ting. Wahenga wanasema, tusitumie mate ilhali wino upo. 1. Nadhani tufanyeni research ya kujua ni kiasi gani ni gharama za (fixed costs) kuendesha campuni ya simu. Hizi ni kwa mfano ghara za kupanga nyumba (business spot). Ni halali, kupata hizi information, lakini si rahisi. Look on their filings. Tutasaidiana hapa. Keep it positive. It's ok to have a professional level of skepticism. 2. tutazame wale jamaa zetu wa kweye JF legal forum watusaidie, kuhusu sheria za kuendesha biashara ya simu, Tanzania.
Asante
 
Wakuu leo mmenigusa sana; kweli hivi ndio vitu vya kujadili.

mimi naamini kabisa inawezekana, establishment cost inaweza kuwa juu lakini si kikwazo kama kweli tuna nia ya dhati tunaweza. tukaeni chini na kuangalia nini kifanyike, kwanini hela zote za simu zikafaidishe watu nje. hapa jamvini kuna wataalam wa karibu fani zote hivyo ushauri wa kitaalam si tatizo. masula ya mtaji kina Mziba watatuongoza.

Nicol et al zimeshindwa ila sio maana kuwa hakuna kingine kitakachofanikiwa. kama wanajamvi na WATZ wazalendo tifanye kitu cha ukweli na kizalendo.
 
Ahsane Ncha, maswala ya hela yatakabiliwa kiungwana, nadhani Fedha sio tatizo kama tukiridhika na plani. Tutafanya mambo kikapitali na kiujamaa. na kwa kihalali. Kampuni zilizoanguka sio wajinga, na tutasikia ushauriwao kama wakikubali kutuonyesha Audited Financial Statements. Ili nasi tusitumbukie kwenye makosa yale yele, hapo watakua wametusaidia sana. Kwa hii kitu kuanza tunahitaji hapa JF angalau tupate watu kumi. Kutoka hapa Jamvini kama Ncha anavopaita.
 
In this era of information technology and access to reputable auditing multinationals i.e. PriceWaterHouse Coopers already operating in Tanzania, I believe such a collective venture can be managed effectively. The hurdles to bear in mind with are the scope of such a collective. Is it an investment vehicle as in a shareholding that requires an annual return or a generic portfolio in which contributing members can assign their "money" to specific projects from which the collective can invest in thereof earning a return? Reading through a similar proposition already cited by Nyambala in 2008 suggests that there is an underlying feeling that perceived shoddy management is the hurdle that needs to be overcome and that there is generally a positive acceptance that such a bold injection of capital into the economy can spur more investments if the initial one bears fruit.
Not being very familiar with NICO and TOL investments mentioned before I would urge the members of this forum who are familiar with the "affairs" of the various investment vehicles in the country to educate the masses on where the current crop of investment vehicles are doing financially.

My personal suggestion would be that "simu" should be looked at as a portfolio project, and the collective (please anyone against UJAMAA ethos throw your frames elsewhere) would "vote" for investing in as individuals whereby, I say of my investment of say 250,000, I avail 75,000 to simu project. And thus would have simu as a portfolio item in my profile. I would hence be free to spread my risk into other projects that the collective is eyeing in the market.

I think the main thrust of this topic is redressing the luck of capital even to small and upcoming enterprises. It is mere talk for the government urging school leavers to embrace entrepreneurship while sources of serious funding for the start-ups are not in place. A majority of the school/university graduate will not have collateral securities to finance their ideas. The collective could hence be a real source of finance and support whereby it could take percentage ownership of this new enterprise be it on a sliding scale of the shares allowing these ideas come to fruition.

To recap, I believe we have the technology on our side, financial check and balances, legal framework that can ensure that such a finance powerhouse can be secure.

Back
Top Bottom