Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,476
- 4,250
Mkuu wazo ni zuri tu na si lazima kuanza na kwa kujenga network infrastructure. Inawezekana kabisa kuanza kama MVNO (Mobile Virtual Network Operator) kwa ku-piggyback kwenye network infrastructure zilizopo. Kazi itabaki kwenye ushindani wa product branding & marketing. kuna mifano hai ya kampuni za namna hiyo kama Virgin Mobile na nyinginezo. However, sina uhakika kama sheria zetu zinaruhusu kuanzishwakwa kampuni za namna hiyo.