econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 24,997
- 39,702
Ila Kafulila una mbinu za kishamba Sana. Fanya kazi.Siamini kama Kafulila anapesa hata hivyo kuwazidi wale wanasiasa Matajiri,
Anaweza kweli kupenyeza pesa mpaka kwa Wabunge wote?
Let's think big,