Watanzania wanaona nini kwa David Kafulila?

Baada ya David Kafulila kusimama na kuanza kumtetea Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ufasaha na weledi unaostahili kwenye mambo mbalimbali, Kitendo hiki kimeibua kundi linalomuunga mkono Rais Samia pamoja na David Kafulila mwenyewe.

Sayansi ya siasa inasema kwenye uwanja wa kisiasa ni kosa kumpuuza mtu yotote hasa mwenye record za wazi kama ilivyo kwa David Kafulila leo na record zake za Tegeta Escrow.

Limezuka pia kundi kinzani hasa toka Upinzani, hawataki kusikia David Kafulila akitajwa kwa jema lolote kisa tu aliwakimbia na kurejea chama mama cha Mapinduzi CCM wakati akitekeleza moja ya haki zake za kikatiba za kuwa katika chama chochote Cha siasa anachokipenda.

Wapo pia wanaosema kila anayemtaja David Kafulila hapa Jf basi ni yeye mwenyewe David Kafulila, Kwa lugha rahisi wanamaanisha David Kafulila anajipigia debe hawa pia wanahitaji kujipa muda na kufuatilia kwa makini kama nilivyofanya Mimi.

Swali langu kwao, Kama hawa wote wanaomtajataja Kafulila hapa, hao ni Kafulila wenyewe au wanatumwa na Kafulila Je, Yale makofi aliyopigiwa Kafulila pale Bungeni mpaka Spika akayasitisha kibabe alikuwa pia ni yeye Kafulila mwenyewe akijipigia Makofi hayo? kama sivyo, kwani hao Wabunge waliompigia makofi bungeni wao humu Jf hawaruhusiwi kuwepo au kujiunga?
(nitaomba mwenye ile clip ya Kafulila Bungeni anipatie inbox)

Nimejipa muda wa kufanya utafiti hasa hapa Jf na huku mitaani nimeridhika kuwa David Kafulila ni tishio huko mbeleni kama tu Mungu atampa uhai na afya njema kwani ni kweli Watanzania wanataka kijana ambae anaaminika, kijana ambae anachukizwa na rushwa pamoja na ufisadi mwenye kaliba ya David Kafulila.

Naomba na Mimi nitumie haki yangu hii ya kikatiba ya kutoa maoni yangu.

soma pia haya maoni Je, ni nani kati ya hawa 10 anasifa za ziada za kuwa Mrithi wa Rais Samia atakapomaliza kipindi chake?
Tunaona uzalendo
 
Kafulila ni mtu mzuri sioni tatizo kwakwe hawa CHADEMA ni wivu tu
 
Watu wa Kigoma na Uchawa 🤣🤣🤣🤣🤣

Alishatupiwa sega mdomoni, kwani anàtaka zaidi au anajitaja taja ili asitolewe alipo???
 
Umeamua kujipigia debe?
Katika siasa za upinzani umekuwa kinyonga, huna uvumilivu, huna msimamo...je unafaa kuaminiwa?
 
Harafu huyu tumbili mama achukue hatua watu wanao penda kujiona wao ndo wapambanajii huku wakiwa na tamaa ya uongozi hao mama awatupe huko ni watu hatari sana.Yaan humu kuna thread za kumsfia kafulila kibao kama ndo mzalendo no moja tz.Mama piga chini huyu hata hicho kicheo ulicho mpa fukuzia mbali hii tumbili maana ana tamaa sana mtu huyu.
Tumbili mjanja sana kaweka vipanya vyake humu kazi ni kumsifia tu huku akivilipa vijihela kidogo ili aonwe kuwa ana akili nyambaaf! Halafu alivyo mjanja kila baada ya muda analeta hoja ya kukisifia kijiji cha kizi mkazi
 
Tumbili mjanja sana kaweka vipanya vyake humu kazi ni kumsifia tu huku akivilipa vijihela kidogo ili aonwe kuwa ana akili nyambaaf! Halafu alivyo mjanja kila baada ya muda analeta hoja ya kukisifia kijiji cha kizi mkaziL

Vipanya ndio vinin
 
Tumbili mjanja sana kaweka vipanya vyake humu kazi ni kumsifia tu huku akivilipa vijihela kidogo ili aonwe kuwa ana akili nyambaaf! Halafu alivyo mjanja kila baada ya muda analeta hoja ya kukisifia kijiji cha kizi mkazi
Tatizo la Kafulila ni rekodi zake hela hana huyo
 
Eti nae awe rais wa tz jamani hebu awe na aibu basi
 
Tatizo la Kafulila ni rekodi zake hela hana huyo
Hela za kuwalipa hawa panya wasiojielewa wala huhitaji kuwa na mamilioni na kwa taarifa yako kwa hali ya uchumi wa nchi na uchumi wa wananchi wa tz mtu kama kafulila aliyekaa bungeni na pia kuwa RC mbali na cheo cha sasa inamaana tumbili ni tajiri anaweza kuwa na kambi kubwa tu ya machawa na akawapangishia apartment nzuri tuu hapa dsm na wakaendelea kumsifia kama wanavyofanya sasa
 
Back
Top Bottom