OffOnline
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 667
- 487
🤣🤣🤣 Nimecheka kwa sauti,Hela za kuwalipa hawa panya wasiojielewa wala huhitaji kuwa na mamilioni na kwa taarifa yako kwa hali ya uchumi wa nchi na uchumi wa wananchi wa tz mtu kama kafulila aliyekaa bungeni na pia kuwa RC mbali na cheo cha sasa inamaana tumbili ni tajiri anaweza kuwa na kambi kubwa tu ya machawa na akawapangishia apartment nzuri tuu hapa dsm na wakaendelea kumsifia kama wanavyofanya sasa
Kwani haiwezekani Watu wanaochukia rushwa na ufisadi kama sisi kumwamini Kwa rekodi zake mpaka ulipwe?
Sijui hali ya Uchumi ya Kafulila la kwa namna anavyochukia rushwa hawezi kufanya hivyo.
Mimi namkubali for free tu tangu akiwa NCCR naamini pia tuko wengí