Watanzania wanaona nini kwa David Kafulila?

Baada ya David Kafulila kusimama na kuanza kumtetea Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ufasaha na weledi unaostahili kwenye mambo mbalimbali, Kitendo hiki kimeibua kundi linalomuunga mkono Rais Samia pamoja na David Kafulila mwenyewe.

Sayansi ya siasa inasema kwenye uwanja wa kisiasa ni kosa kumpuuza mtu yotote hasa mwenye record za wazi kama ilivyo kwa David Kafulila leo na record zake za Tegeta Escrow.

Limezuka pia kundi kinzani hasa toka Upinzani, hawataki kusikia David Kafulila akitajwa kwa jema lolote kisa tu aliwakimbia na kurejea chama mama cha Mapinduzi CCM wakati akitekeleza moja ya haki zake za kikatiba za kuwa katika chama chochote Cha siasa anachokipenda.

Wapo pia wanaosema kila anayemtaja David Kafulila hapa Jf basi ni yeye mwenyewe David Kafulila, Kwa lugha rahisi wanamaanisha David Kafulila anajipigia debe hawa pia wanahitaji kujipa muda na kufuatilia kwa makini kama nilivyofanya Mimi.

Swali langu kwao, Kama hawa wote wanaomtajataja Kafulila hapa, hao ni Kafulila wenyewe au wanatumwa na Kafulila Je, Yale makofi aliyopigiwa Kafulila pale Bungeni mpaka Spika akayasitisha kibabe alikuwa pia ni yeye Kafulila mwenyewe akijipigia Makofi hayo? kama sivyo, kwani hao Wabunge waliompigia makofi bungeni wao humu Jf hawaruhusiwi kuwepo au kujiunga?
(nitaomba mwenye ile clip ya Kafulila Bungeni anipatie inbox)

Nimejipa muda wa kufanya utafiti hasa hapa Jf na huku mitaani nimeridhika kuwa David Kafulila ni tishio huko mbeleni kama tu Mungu atampa uhai na afya njema kwani ni kweli Watanzania wanataka kijana ambae anaaminika, kijana ambae anachukizwa na rushwa pamoja na ufisadi mwenye kaliba ya David Kafulila.

Naomba na Mimi nitumie haki yangu hii ya kikatiba ya kutoa maoni yangu.

soma pia haya maoni Je, ni nani kati ya hawa 10 anasifa za ziada za kuwa Mrithi wa Rais Samia atakapomaliza kipindi chake?
Kafulila bado ni zaidi ya vijana wengi sana kwa Sifa ya Uaminifu na uadilifu
Ogopa sana Mtu anayekataa rushwa hata kama ni $800k
 
Nimegundua Jf bado inawajinga wengi sana,

Haiwezekani Kila anayeandika kuhusu Kafulila basi ni Kafulila

Kafulila ni international figure

Kujadiliwa ni jambo la kawaida tu
Mjinga ni wewe unayekasirika kila anaye challenge threads za kipuuzi zinazojaribu kumjenga TUMBILI , Narudia wewe ni TUMBILI mwenyewe ndo maana unajibu kwa ukali, au ni Mtu unayetumika kama ile "MIPIRA" maarufu.

Narudia Kafulila AKA TUMBILI, hana hadhi ya ku occupy great position , na nafasi hiyo ni fadhila tu.

Mwambie kuhusu Urais asahaau Yeye ni mrundi origin.
Mwambe mpe feedback kwamba JF watu wamekuwa wakali kuhusu misheni yake/Yako.

Usifikiri JF Ina wajinga madodoki yanayopokea kila UCHAFU hoja dhaifu.

Tarajia maimivu makali kila utakapoleta nyuzi zenye USHABWADA kama za TUMBILI.

shame on you TUMBILI JR🤣🤣😅😅
 
Nimegundua Jf bado inawajinga wengi sana,

Haiwezekani Kila anayeandika kuhusu Kafulila basi ni Kafulila

Kafulila ni international figure

Kujadiliwa ni jambo la kawaida tu
Mjinga ni wewe na atumtaki kafulila wako
Tell him siasa anazotumia......ni nonsense....anataka askike Kwa watu apate vyeo....nlkua simpend ila umenfanya nismpende....I hate machawa kama wewe
 
😂😂😂

Unajua kama Trump Kahama vyama mara tatu?

Unajua kama Hilary Clinton alihama chama mara 2?

Unajua Raila Odinga amehama chama mara 6?

Nchi hii tatizo ni Elimu,

Nimegundua Jf bado inawajinga wengi sana,

Haiwezekani Kila anayeandika kuhusu Kafulila basi ni Kafulila

Kafulila ni international figure

Kujadiliwa ni jambo la kawaida tu
Acha kujipa promo Kafulila, fanya kazi kwaanza. Acha kazi iongee.
 
Kwani unalazimishwa kuzisoma?

Kafulila hata Mimi sikuwa namkubali ila kwa sasa naona yeye ndio mtu Sahihi zaidi,
Tunatamani nchi hii iendelee kwenda mbele
Eti hukuwa unakubali ila Sasa hivi unamkubali. Kweli watu wanafiki.
 
Na hii yangu ni ID ya Kafulila?

Wale Wabunge waliomshangilia live kwenye TV nao ni ID zake?

Tumieni akili hata kidogo

Kafulila anaupepo mzuri wa kisiasa

Ukikubali Kafulila ni mwadilifu unapungukiwa na nini?
Mbona unafokea watu?. Unataka kila mtu amkubali Kafulila kwa lazima?. Ungeenda kwanza jimboni kwake uwaulize kwanini walimpiga Chini Kafulila 2015 na 2020. Unawaza urais wakati ubunge tu ni shida.
 
Baada ya David Kafulila kusimama na kuanza kumtetea Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ufasaha na weledi unaostahili kwenye mambo mbalimbali, Kitendo hiki kimeibua kundi linalomuunga mkono Rais Samia pamoja na David Kafulila mwenyewe.

Sayansi ya siasa inasema kwenye uwanja wa kisiasa ni kosa kumpuuza mtu yotote hasa mwenye record za wazi kama ilivyo kwa David Kafulila leo na record zake za Tegeta Escrow.

Limezuka pia kundi kinzani hasa toka Upinzani, hawataki kusikia David Kafulila akitajwa kwa jema lolote kisa tu aliwakimbia na kurejea chama mama cha Mapinduzi CCM wakati akitekeleza moja ya haki zake za kikatiba za kuwa katika chama chochote Cha siasa anachokipenda.

Wapo pia wanaosema kila anayemtaja David Kafulila hapa Jf basi ni yeye mwenyewe David Kafulila, Kwa lugha rahisi wanamaanisha David Kafulila anajipigia debe hawa pia wanahitaji kujipa muda na kufuatilia kwa makini kama nilivyofanya Mimi.

Swali langu kwao, Kama hawa wote wanaomtajataja Kafulila hapa, hao ni Kafulila wenyewe au wanatumwa na Kafulila Je, Yale makofi aliyopigiwa Kafulila pale Bungeni mpaka Spika akayasitisha kibabe alikuwa pia ni yeye Kafulila mwenyewe akijipigia Makofi hayo? kama sivyo, kwani hao Wabunge waliompigia makofi bungeni wao humu Jf hawaruhusiwi kuwepo au kujiunga?
(nitaomba mwenye ile clip ya Kafulila Bungeni anipatie inbox)

Nimejipa muda wa kufanya utafiti hasa hapa Jf na huku mitaani nimeridhika kuwa David Kafulila ni tishio huko mbeleni kama tu Mungu atampa uhai na afya njema kwani ni kweli Watanzania wanataka kijana ambae anaaminika, kijana ambae anachukizwa na rushwa pamoja na ufisadi mwenye kaliba ya David Kafulila.

Naomba na Mimi nitumie haki yangu hii ya kikatiba ya kutoa maoni yangu.

soma pia haya maoni Je, ni nani kati ya hawa 10 anasifa za ziada za kuwa Mrithi wa Rais Samia atakapomaliza kipindi chake?
Kwamba Kafulila ni kijana anayeaminika!
 
Wapo pia wanaosema kila anayemtaja David Kafulila hapa Jf basi ni yeye mwenyewe David Kafulila, Kwa lugha rahisi wanamaanisha David Kafulila anajipigia debe hawa pia wanahitaji kujipa muda na kufuatilia kwa makini kama nilivyofanya Mimi.
Huyu si ndiye tunaambiwa ndoa yake imemshinda, sasa nchi ataiweza!!
 
Bahati mbaya Sina ID nyingine zaidi ya hii na sioni sababu

CM 1774858 huyu bwana hakuna asiyemjua hapa Jf labda wewe ni mgeni hapa.

Achana na IDS njoo kwenye hoja,

Font ya Jf ni moja tu hii hii

Ila CHADEMA Ina mazuzu sana

Nipo hapa kabla ya Kafulila
Zuzu ni wewe. Umekosa hoja unakimbilia kutukana CHADEMA. Huyo Kafulila alikuwa CCM , kaenda CHADEMA, kaenda NCCR, karudi CHADEMA na baadae kaenda CCM. Opportunist.
 
Back
Top Bottom