Watanzania wanaona nini kwa David Kafulila?

Baada ya David Kafulila kusimama na kuanza kumtetea Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ufasaha na weledi unaostahili kwenye mambo mbalimbali imepelekea kuibuka kwa kundi linalomuunga mkono Rais Samia na huyu jamaa Kafulila.

Sayansi ya siasa inasema kwenye uwanja wa kisiasa ni kosa kumpuuza mtu yotote hasa mwenye record za wazi kama ilivyo kwa Kafulila leo na record za Tegeta Escrow.

Limezuka pia kundi kinzani hasa toka Upinzani, hawataki kusikia Kafulila akitajwa kwa jema lolote kisa tu aliwakimbia na kurejea chama mama cha CCM wakati akitekeleza moja ya haki zake za kikatiba.

Wapo pia wanaosema kila anayemtaja humu Kafulila basi ni yeye mwenyewe Kafulila Kwa lugha nyepesi wanasema David Kafulila anajipigia debe hawa pia wanahitaji kujipa muda na kufuatilia kwa makini kama nilivyofanya Mimi.

Swali langu kwao, Kama hawa wote wanaomtajataja Kafulila humu wao wenyewe ni Kafulila au wanatumwa na Kafulila Je, Yale makofi aliyopigiwa Kafulila pale Bungeni mpaka Spika akayasitisha kibabe alikuwa pia ni Kafulila mwenyewe anajipigia Makofi hayo? kama sivyo, kwani hao Wabunge waliompigia makofi bungeni wao humu Jf hawaruhusiwi kuwepo au kujiunga?
(nitaomba mwenye ile clip ya Kafulila Bungeni anipatie inbox)

Nimejipa muda wa kufanya utafiti hasa hapa Jf nimeridhika kuwa David Kafulila ni tishio huko mbeleni kama tu Mungu atampa uhai na Afya kwani ni kweli Watanzania wanataka kijana ambae anaaminika, kijana ambae anachukizwa na rushwa pamoja na ufisadi kaliba ya Kafulila.

Naomba na Mimi nitumie haki yangu hii ya kutoa maoni yangu.

soma pia haya maoni Je, ni nani kati ya hawa 10 anasifa za ziada za kuwa Mrithi wa Rais Samia atakapomaliza kipindi chake?
we kafulila unapoteza muda wako tu
 
Harafu huyu tumbili mama achukue hatua watu wanao penda kujiona wao ndo wapambanajii huku wakiwa na tamaa ya uongozi hao mama awatupe huko ni watu hatari sana.Yaan humu kuna thread za kumsfia kafulila kibao kama ndo mzalendo no moja tz.Mama piga chini huyu hata hicho kicheo ulicho mpa fukuzia mbali hii tumbili maana ana tamaa sana mtu huyu.
Unadhani Rais Samia anawachukia watu wanaochukia Ufisadi au rushwa?
Kwani kupenda kuongoza ni kosa?
Kila mwanadamu anatamani kuwa Kiongozi kwenye hii dunia

Nadhani tunahitaji akina Kafulila wengi Wala sio kuwakatisha tamaa katika vita zao za ufisadi
 
Baada ya David Kafulila kusimama na kuanza kumtetea Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ufasaha na weledi unaostahili kwenye mambo mbalimbali imepelekea kuibuka kwa kundi linalomuunga mkono Rais Samia na huyu jamaa Kafulila.

Sayansi ya siasa inasema kwenye uwanja wa kisiasa ni kosa kumpuuza mtu yotote hasa mwenye record za wazi kama ilivyo kwa Kafulila leo na record za Tegeta Escrow.

Limezuka pia kundi kinzani hasa toka Upinzani, hawataki kusikia Kafulila akitajwa kwa jema lolote kisa tu aliwakimbia na kurejea chama mama cha CCM wakati akitekeleza moja ya haki zake za kikatiba.

Wapo pia wanaosema kila anayemtaja humu Kafulila basi ni yeye mwenyewe Kafulila Kwa lugha nyepesi wanasema David Kafulila anajipigia debe hawa pia wanahitaji kujipa muda na kufuatilia kwa makini kama nilivyofanya Mimi.

Swali langu kwao, Kama hawa wote wanaomtajataja Kafulila humu wao wenyewe ni Kafulila au wanatumwa na Kafulila Je, Yale makofi aliyopigiwa Kafulila pale Bungeni mpaka Spika akayasitisha kibabe alikuwa pia ni Kafulila mwenyewe anajipigia Makofi hayo? kama sivyo, kwani hao Wabunge waliompigia makofi bungeni wao humu Jf hawaruhusiwi kuwepo au kujiunga?
(nitaomba mwenye ile clip ya Kafulila Bungeni anipatie inbox)

Nimejipa muda wa kufanya utafiti hasa hapa Jf nimeridhika kuwa David Kafulila ni tishio huko mbeleni kama tu Mungu atampa uhai na Afya kwani ni kweli Watanzania wanataka kijana ambae anaaminika, kijana ambae anachukizwa na rushwa pamoja na ufisadi kaliba ya Kafulila.

Naomba na Mimi nitumie haki yangu hii ya kutoa maoni yangu.

soma pia haya maoni Je, ni nani kati ya hawa 10 anasifa za ziada za kuwa Mrithi wa Rais Samia atakapomaliza kipindi chake?
Kwani wakiwa Bungeni si wanapiga makofi kwa kila kitu! Walipitisha mikataba mingapi ya hovyo kwa kupiga makofi hivyo hivyo?so kupigwa makofi bungeni is not an excuse kuwa he is real.
Fikiria tena afu ufute hiyo takataka yako.
 
Kweli Wabunge wawe machawa wa Kafulila asiye na mia?😂😂
 
amekutuma?
 
Kafulila anazidi kumwaga Chawa JF, hongera zake
 
Kweli Wabunge wawe machawa wa Kafulila asiye na mia?😂😂
Sina Shidana uwezo wa kafulila hata kidogo ni mtu makini sana na mweledi.

Shida yangu usitumie kigezo cha kupigiwa makofi bungeni kuwa ni mtu safi na anakubalika.wabunge wengi ni wapiga makofi tu Huenda hawajui wanataka nini.
Kwanza Kafulia sio fukara.nikupe tu habari.
 
Kwani wakiwa Bungeni si wanapiga makofi kwa kila kitu! Walipitisha mikataba mingapi ya hovyo kwa kupiga makofi hivyo hivyo?so kupigwa makofi bungeni is not an excuse kuwa he is real.
Fikiria tena afu ufute hiyo takataka yako.
Unamaànisha Wabunge wote wa JMT hawajitambui?

Acha matusi kwa Bunge
 
Back
Top Bottom