Watanzania wanaona nini kwa David Kafulila?

Baada ya David Kafulila kusimama na kuanza kumtetea Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ufasaha na weledi unaostahili kwenye mambo mbalimbali, Kitendo hiki kimeibua kundi linalomuunga mkono Rais Samia pamoja na David Kafulila mwenyewe.

Sayansi ya siasa inasema kwenye uwanja wa kisiasa ni kosa kumpuuza mtu yotote hasa mwenye record za wazi kama ilivyo kwa David Kafulila leo na record zake za Tegeta Escrow.

Limezuka pia kundi kinzani hasa toka Upinzani, hawataki kusikia David Kafulila akitajwa kwa jema lolote kisa tu aliwakimbia na kurejea chama mama cha Mapinduzi CCM wakati akitekeleza moja ya haki zake za kikatiba za kuwa katika chama chochote Cha siasa anachokipenda.

Wapo pia wanaosema kila anayemtaja David Kafulila hapa Jf basi ni yeye mwenyewe David Kafulila, Kwa lugha rahisi wanamaanisha David Kafulila anajipigia debe hawa pia wanahitaji kujipa muda na kufuatilia kwa makini kama nilivyofanya Mimi.

Swali langu kwao, Kama hawa wote wanaomtajataja Kafulila hapa, hao ni Kafulila wenyewe au wanatumwa na Kafulila Je, Yale makofi aliyopigiwa Kafulila pale Bungeni mpaka Spika akayasitisha kibabe alikuwa pia ni yeye Kafulila mwenyewe akijipigia Makofi hayo? kama sivyo, kwani hao Wabunge waliompigia makofi bungeni wao humu Jf hawaruhusiwi kuwepo au kujiunga?
(nitaomba mwenye ile clip ya Kafulila Bungeni anipatie inbox)

Nimejipa muda wa kufanya utafiti hasa hapa Jf na huku mitaani nimeridhika kuwa David Kafulila ni tishio huko mbeleni kama tu Mungu atampa uhai na afya njema kwani ni kweli Watanzania wanataka kijana ambae anaaminika, kijana ambae anachukizwa na rushwa pamoja na ufisadi mwenye kaliba ya David Kafulila.

Naomba na Mimi nitumie haki yangu hii ya kikatiba ya kutoa maoni yangu.

soma pia haya maoni Je, ni nani kati ya hawa 10 anasifa za ziada za kuwa Mrithi wa Rais Samia atakapomaliza kipindi chake?
Hii ID , kati ya ID nying za KAFULILA AKA TUMBILI, kujipigia promo.
Huyu ni mamluki wa KAFULILA au ni KAFULILA mwenyewe.

Kifupi KAFULILA sio mtanzania asili yake, asiwaze kuchukua nafasi kubwa, USIWAZE.

Kila siku UHARO unamhusu Kafulila wa KUPIMA UPEPO, kifupi kama ameshindwa hata kumentain MBUNYE yake ,mpaka wanamsadia kupapasa papuchi, hataweza nini??

Dogo TUMBILI ridhika na ukamishina huohuo wa PPR, kifupi TUMBILI UPO/Yupo kwenye uchunguzi tunakufuatilia, acha taama, kama unataka Urais au madaraka makubwa nenda BURUNDI AU RWANDA.

Upo TUMBILI??🤔🤔😅😅
 
Nimegundua Jf bado inawajinga wengi sana,

Haiwezekani Kila anayeandika kuhusu Kafulila basi ni Kafulila

Kafulila ni international figure

Kujadiliwa ni jambo la kawaida tu
 
Huna baya sana kafulila,rekodi unazo.
Nakukumbusha tu kuwa makini na hii Kasi yako.
Huko uliko ni hatari kwa watu ambitious kuliko ulikotokea.
Wasije wakakusetia lift Tena wakakumalizia.
 
Mkuu mbona haya ni mambo tofauti kabisa.Kwa Escrow alikuwa sahihi kwa kuwa alikuwa anapinga ufisadi, ,lakini kwa sasa kwa kumtetea Samia,anatetea ufisadi,so ni vitu tofauti kabisa.
Unafahamu maana ya record?
Unamaanisha Rais Samia ni fisadi?
 
Unafahamu maana ya record?
Unamaanisha Rais Samia ni fisadi?
Mimi simaanishi kwamba Samia kama Samia ni fisadi,kwa kuwa sina ushahidi huo,ninachomaanisha ni kwamba serikali ina mafisadi na hata yeye Samia anajua.CAG si inaripoti ufisadi kila siku,mbona hakuna hatua zinazochukuliwa,acha ufedhuli wewe.
 
Anamtetea samia kwa issue gani.....hii nchi ina majinga majinga ya kiwango kikubwa sana ona kama hili sijui nn hiki limeandika
Huyo kafulila akiulizwa leo zle pesa za escrow zilikuwa za nani atajibu nn aisee....
 
Daaah
 
Baada ya David Kafulila kusimama na kuanza kumtetea Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ufasaha na weledi unaostahili kwenye mambo mbalimbali, Kitendo hiki kimeibua kundi linalomuunga mkono Rais Samia pamoja na David Kafulila mwenyewe.

Sayansi ya siasa inasema kwenye uwanja wa kisiasa ni kosa kumpuuza mtu yotote hasa mwenye record za wazi kama ilivyo kwa David Kafulila leo na record zake za Tegeta Escrow.

Limezuka pia kundi kinzani hasa toka Upinzani, hawataki kusikia David Kafulila akitajwa kwa jema lolote kisa tu aliwakimbia na kurejea chama mama cha Mapinduzi CCM wakati akitekeleza moja ya haki zake za kikatiba za kuwa katika chama chochote Cha siasa anachokipenda.

Wapo pia wanaosema kila anayemtaja David Kafulila hapa Jf basi ni yeye mwenyewe David Kafulila, Kwa lugha rahisi wanamaanisha David Kafulila anajipigia debe hawa pia wanahitaji kujipa muda na kufuatilia kwa makini kama nilivyofanya Mimi.

Swali langu kwao, Kama hawa wote wanaomtajataja Kafulila hapa, hao ni Kafulila wenyewe au wanatumwa na Kafulila Je, Yale makofi aliyopigiwa Kafulila pale Bungeni mpaka Spika akayasitisha kibabe alikuwa pia ni yeye Kafulila mwenyewe akijipigia Makofi hayo? kama sivyo, kwani hao Wabunge waliompigia makofi bungeni wao humu Jf hawaruhusiwi kuwepo au kujiunga?
(nitaomba mwenye ile clip ya Kafulila Bungeni anipatie inbox)

Nimejipa muda wa kufanya utafiti hasa hapa Jf na huku mitaani nimeridhika kuwa David Kafulila ni tishio huko mbeleni kama tu Mungu atampa uhai na afya njema kwani ni kweli Watanzania wanataka kijana ambae anaaminika, kijana ambae anachukizwa na rushwa pamoja na ufisadi mwenye kaliba ya David Kafulila.

Naomba na Mimi nitumie haki yangu hii ya kikatiba ya kutoa Watamaoni yangu.

soma pia haya maoni Je, ni nani kati ya hawa 10 anasifa za ziada za kuwa Mrithi wa Rais Samia atakapomaliza kipindi chake?
Watanzania wanaona mapichapicha mengi kama vile katika "movie" za Kihindi Yaani ni vurugu tupu.
 
Back
Top Bottom