Watanzania wanaona nini kwa David Kafulila?

Kafulila is my best politician
1721985009818.png
 
Ana account 12

Jamaa mshamba sana
Na hii yangu ni ID ya Kafulila?

Wale Wabunge waliomshangilia live kwenye TV nao ni ID zake?

Tumieni akili hata kidogo

Kafulila anaupepo mzuri wa kisiasa

Ukikubali Kafulila ni mwadilifu unapungukiwa na nini?
 
Kafulila unahangaika Sana. Mara upandishe nyuzi za zamani uzijaze JF mara uanzishe nyuzi za kujipa urais. Unatichosha Sana na ujinga wako. Jifunze kwa Mwigulu aliandika mawe nchi mzima Leo yupo wapi?
Mimi sio Kafulila kuwa mtulivu twende na hoja tu tutaelewana
 
Na hii yangu ni ID ya Kafulila?

Wale Wabunge waliomshangilia live kwenye TV nao ni ID zake?

Tumieni akili hata kidogo

Kafulila anaupepo mzuri wa kisiasa

Ukikubali Kafulila ni mwadilifu unapungukiwa na nini?
Unaujua uadilifu wewe..unakuwa malaya wa kisiasa nccr, chadema, ccm halafu bado muadilifu..muadilifu kwa nani? Labda muadilifu kwa tumbo.
 
😂😂😂

Unajua kama Trump Kahama vyama mara tatu?

Unajua kama Hilary Clinton alihama chama mara 2?

Unajua Raila Odinga amehama chama mara 6?

Nchi hii tatizo ni Elimu,
 
Baada ya David Kafulila kusimama na kuanza kumtetea Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ufasaha na weledi unaostahili kwenye mambo mbalimbali, Kitendo hiki kimeibua kundi linalomuunga mkono Rais Samia pamoja na David Kafulila mwenyewe.

Sayansi ya siasa inasema kwenye uwanja wa kisiasa ni kosa kumpuuza mtu yotote hasa mwenye record za wazi kama ilivyo kwa David Kafulila leo na record zake za Tegeta Escrow.

Limezuka pia kundi kinzani hasa toka Upinzani, hawataki kusikia David Kafulila akitajwa kwa jema lolote kisa tu aliwakimbia na kurejea chama mama cha Mapinduzi CCM wakati akitekeleza moja ya haki zake za kikatiba za kuwa katika chama chochote Cha siasa anachokipenda.

Wapo pia wanaosema kila anayemtaja David Kafulila hapa Jf basi ni yeye mwenyewe David Kafulila, Kwa lugha rahisi wanamaanisha David Kafulila anajipigia debe hawa pia wanahitaji kujipa muda na kufuatilia kwa makini kama nilivyofanya Mimi.

Swali langu kwao, Kama hawa wote wanaomtajataja Kafulila hapa, hao ni Kafulila wenyewe au wanatumwa na Kafulila Je, Yale makofi aliyopigiwa Kafulila pale Bungeni mpaka Spika akayasitisha kibabe alikuwa pia ni yeye Kafulila mwenyewe akijipigia Makofi hayo? kama sivyo, kwani hao Wabunge waliompigia makofi bungeni wao humu Jf hawaruhusiwi kuwepo au kujiunga?
(nitaomba mwenye ile clip ya Kafulila Bungeni anipatie inbox)

Nimejipa muda wa kufanya utafiti hasa hapa Jf na huku mitaani nimeridhika kuwa David Kafulila ni tishio huko mbeleni kama tu Mungu atampa uhai na afya njema kwani ni kweli Watanzania wanataka kijana ambae anaaminika, kijana ambae anachukizwa na rushwa pamoja na ufisadi mwenye kaliba ya David Kafulila.

Naomba na Mimi nitumie haki yangu hii ya kikatiba ya kutoa maoni yangu.

soma pia haya maoni Je, ni nani kati ya hawa 10 anasifa za ziada za kuwa Mrithi wa Rais Samia atakapomaliza kipindi chake?
mnataka mrundi mwingine awatawale?
 
Wewe ABC ZA 2025 na huyu CM 1774858 ni mtu mmoja mwenye multiple IDs.

Na ulivyo MBURURA unatumia same fonts, same flow ya uandishi na same line of argument.

Na mtu mwenyewe ni David Kafulila mwenyewe. Ridhika na mshahara unaolipwa kama commissioner wa PPP

Screenshot_20240726_143642_Chrome.jpg
 
Wewe ABC ZA 2025 na huyu CM 1774858 ni mtu mmoja mwenye multiple IDs.

Na ulivyo MBURURA unatumia same fonts, same flow ya uandishi na same line of argument.

Na mtu mwenyewe ni David Kafulila mwenyewe. Ridhika na mshahara unaolipwa kama commissioner wa PPP

View attachment 3052737
Bahati mbaya Sina ID nyingine zaidi ya hii na sioni sababu

CM 1774858 huyu bwana hakuna asiyemjua hapa Jf labda wewe ni mgeni hapa.

Achana na IDS njoo kwenye hoja,

Font ya Jf ni moja tu hii hii

Ila CHADEMA Ina mazuzu sana

Nipo hapa kabla ya Kafulila
 
Back
Top Bottom