Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,624
- 14,369
Unajiharibia future yako. JESCA KISHOA kakukimbia, ubunge wananchi walikukataa. Sasa ndiyo uwe na uwezo wa kutawala Tanzania Mrundi wewe?? Hebu ishia hapo tusije tukawaagiza Immigration wakushughulikieBahati mbaya Sina ID nyingine zaidi ya hii na sioni sababu
CM 1774858 huyu bwana hakuna asiyemjua hapa Jf labda wewe ni mgeni hapa.
Achana na IDS njoo kwenye hoja,
Font ya Jf ni moja tu hii hii
Ila CHADEMA Ina mazuzu sana
Nipo hapa kabla ya Kafulila