Mzee huwezi kuniletea mambo ya elimu kwenye pesa zangu,nimemaliza kazi yangu nipe changu nikafie mbele kwanini nianze tena kiguu na njia kwenda kudai pension yangu hali yakuwa mimi siyo muajiriwa wako tena?
Mnawaza kwa kutumia viungo gani vya miili yenu ninyi???Hizo sheria wenzetu wenye akili timamu wameweza kuzi-maintain kutokana na unakuta mtu akipewa mf hiyo 25% yake anaweza kwenda kuanzisha hata mradi sasa bongo unakuta hela yenyewe 17.2mill akipewa 25% akilipa tu nauli ya daladala hata genge hatokaa afungue.