Justinian Rweyemamu
Hawa wawili wa chini nilikutana nao Maryland near Washington DC.
Somebody Daghar, Orijino Tanga.
Dr. Ahmed M. (B/M and PhD) zote Harvard. USA hawamwachii huyu hata kidogo yupo NSA, Orijino Dodoma.
Wanasoma kwa juhudi zao na wamepata admissions kutokana na kuwa vichwa. Hata uwe na pesa zako nyingi kiasi gani kama kichwani hamna na hu-qualify Harvard huingii kama unavyofikiria.Wanasoma ama wanawanga?kwa nini ufiche majina yao?wanasoma kwa pesa haramu?Sababu ya msingi ya kuficha majina yao ni nini mkuu?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Joseph Mungai...
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mimi najisogeza sogeza tu hapa hapa TZ
ila nataka tushawishi watu tuanzishe mfuko wa kusomesha wa TZ vyuo hivyo in the future...
Mkuu Moes,kama ndio ambaye na mi namfahamu proffesional sio daktari ila ana bachelor of science in biochemistry,amefanya resecrch nyingi tu kwenye hospital inayotumiwa na havard kwa medical students wao, na kwa sasa yupo north carolina anafanya phd.
Currently kuna vijana watatu wa kibongo ninaowafahamu pale Harvad School of Med. na mmoja yupo Havard Law, But as a matter of privacy I'm not gonna disclose their names
Currently kuna vijana watatu wa kibongo ninaowafahamu pale Harvad School of Med. na mmoja yupo Havard Law, But as a matter of privacy I'm not gonna disclose their names
Mkuu sidhani kama issue ni woga.Kula tano mkuu. Tukianza hata serikali naamini itafuata na kusomesha wengi zaidi. Lakini kuna tatizo kubwa zaidi, wengi wetu hatuchangamkii nafasi za kusoma nje zenye ufadhili kamili kabisa. Woga wetu ndio umaskini wetu. Tubadilike jamani.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Watanzania kibao tu wamesoma Harvard xio mpaka muwajue wote ....
Kilaza wewe xio bure ...Usilete usharobaro wakati wanaume wanajadili vitu muhimu.
Soma heading ya thread kama huna la kuchangia chapa mwendo majukwaa yapo mengi humu unaweza kwenda jukwaa la mapishi.
The Boss kwa nin tusngejua na michango yao kwa taifa hadi leo?
Mimi najisogeza sogeza tu hapa hapa TZ
ila nataka tushawishi watu tuanzishe mfuko wa kusomesha wa TZ vyuo hivyo in the future...
Duh! Itabidi na wa KANTALAMBA tutafutane.
Currently kuna vijana watatu wa kibongo ninaowafahamu pale Harvad School of Med. na mmoja yupo Havard Law, But as a matter of privacy I'm not gonna disclose their names