Watanzania waliosoma Havard

Currently kuna vijana watatu wa kibongo ninaowafahamu pale Harvad School of Med. na mmoja yupo Havard Law, But as a matter of privacy I'm not gonna disclose their names

Should rather be" I am not going to".
Nauchukia upimbi wa "kiyankee", kuupindisha lugha kila kona.
 
Currently kuna vijana watatu wa kibongo ninaowafahamu pale Harvad School of Med. na mmoja yupo Havard Law, But as a matter of privacy I'm not gonna disclose their names

"Gonna" would sound better if it were followed by your other silly word...."ain't".
Both of which are only present in the American slang of "English".

Sorry, I forgot you were writing "American" not English...😀😀!
I hate such things called universities .Nowadays they are merely for the rich but silly people.
They keep churning robotic zombies like an ordinary manufacturing/assembly line.
Luckily I am a college drop -out, such institution would've only indoctrinated "moi".
 
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...

kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Kuna prof. mmoja muslim university amesoma huko
 
Currently kuna vijana watatu wa kibongo ninaowafahamu pale Harvad School of Med. na mmoja yupo Havard Law, But as a matter of privacy I'm not gonna disclose their names
eti matter of privacy kwan huko havard pia hawajulikani majina, wabongo unafiki.
 
Wengi waTZ waliosoma huko ni MAFISADI
 
Kahyarara, mkurugenzi mkuu wa nssf, hii ni kwa mujibu wa story story kipindi ananifundisha chuo udsm. He was telling a certain story ktkt ya pindi ndo akasema alisomea hapo.
 
hao mmasai pacha ni watoto wa waziri mkuu mmoja mstaafu,japo wanaficha sana ni watoto wa nje
wamerudi tena USA
 
Hao hata uwaambie waje kuitumikia nchi yao hawatarudi kwasababu hakuna condunsive environment ya tasnia zao hapa nchini. Mfano tunawashawishi hao wa IBM na NASA watakutana na level ya teknolojia wanayoitumia huko waliko sasa hivi hapa nchini?
Tulifanikiwa kumrudisha Muhongo lakini angalia anavyopata shida pale wizara ya nishati na madini kwa mikataba ambayo ameikuta na hali ya shirika la Tanesco ilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…