Watanzania waliosoma Havard


Allen Iverson alisoma same class na Dewji ila cha kushangaza jamaa alishindwa simamia pesa zake.. He is broke ass nigga now
 
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
nafikiri ukishasoma tu harvard ni kitu tosha watu wakufahamu..
Sio kila mtu anapata nafasi ya kusoma harvard...
Watu wangependa wajue ni nani na nani au?
ada kwa sasa usd 60,000 kwa mwaka
 
Chenge inamlipa maana jinsi anavyotuzunga watanzania mpaka raha.
Ukitaja EPA mzee yumo, Chenji ya Rada yumo, Escrow yumo, juzi tena kumbe ametoa nakala za katiba pendekezwa milioni 2 kwa pesa ambayo ni bajeti ya nchi. Aiseee big up Havard.
 
Allen Iverson alisoma same class na Dewji ila cha kushangaza jamaa alishindwa simamia pesa zake.. He is broke ass nigga now

Atakuwa Mswahili mwenzetu ....mnaweza kufikiri watu Kama Dewji n Manji wamekuta kila kitu kwenye slaver plate ..lakini ukweli ni kuwa Elimu na exposure imewasaidia ku turn around family business to the next level ..

Wakati Manji anapokea kampuni kutoka kwa baba yake miaka 10 iliyopita ...ilikuwa na Quality Motors na Quality Garage ....lakini Leo Hii Ana kampuni karibu 50 ...property Za kumwaga ...Nyerere rd Ana property Zaidi ya 10 Za maana ...
Dewji Pamoja na kuwa baba yake ni mkritimba anayefanyaa biashara Kizamani mfumo wa kutoamini mtu ...na one man ....amesaidia ku devolve kampuni Zao na kupeleka baadhi ya maamuzi kufanywa na mameneja ...wa makampuni Yao yanayokaribia 100 ....though bado baba yake ni head figure n guru

Sisi waswahili Nadhani tuna culture barrier ..wachache Sana....wanapewa biashara zinaendelea wengi wanauwa hata upeleke Harvard au Georgetown ...Stanford etc
 

kaka naomba utaje walau kampun kumi za manji
 

Good analysis.
 
Chenge inamlipa maana jinsi anavyotuzunga watanzania mpaka raha.
Ukitaja EPA mzee yumo, Chenji ya Rada yumo, Escrow yumo, juzi tena kumbe ametoa nakala za katiba pendekezwa milioni 2 kwa pesa ambayo ni bajeti ya nchi. Aiseee big up Havard.
Sa hivi amekuja na slogan "nyoka wa makengeza" nimeupenda ubunifu wake. Na mkae mkijua yule joka la makengeza hatokaa akutikane na hatia kwa Mahakama za Tanzania labda huko kwa wenzetu, anajua jinsi ya kucheza na sheria zetu dhaifu kwa sababu either ameshiriki kuzitunga kwa makusudi ya hayo anayoyafanya au amezikuta zikiwa dhaifu na akaamua kuitumia hiyo loop hole ili kufanikisha deal zake.
 
[h=2]News & Events
[/h]


[h=5]PROGRAM HIGHLIGHTS[/h]

5

[h=1]Harvard University Seeks Tanzanian Students[/h][h=6]September 13, 2011[/h]
Dr. Robin Worth and Harvard Alumna Ms. Gloria Cheche address Tanzanian students.

On September 4, Embassy Dar es Salaam and the Tanzania Student Achievement Organization (TANSAO) hosted a program at the Golden Tulip Hotel in Dar es Salaam to promote study at Harvard University featuring a presentation to over 200 Tanzanian students and 60 parents by Dr. Robin M. Worth, the university's Director of International Admissions. Dr. Worth visited Tanzania from September 3-9 on a recruiting program through Dar es Salaam, Moshi, and Arusha. The event was attended by Mrs. Jacqueline Lenhardt, who underscored U.S. support for education and invited students to establish high goals in pursuit of their education.



 
Vijana na nchi yangu tukufu.... Daaaah...
 
Hongereni mliosoma Havard sis wengine ndo tumebahatisha huku UDOM full stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…