......uzi wa ku-discuss ''watu''badala ya ''issues'', hamna la maana zaidi kupoteza muda tu hapa.
Currently kuna vijana watatu wa kibongo ninaowafahamu pale Harvad School of Med. na mmoja yupo Havard Law, But as a matter of privacy I'm not gonna disclose their names
najikuta niko curious na uliposomea wewe na ulichosomea
unaonekana kama hii thread inahusu taaluma yako,is it?
Mimi pia nawafahamu Twins wawili wakutoka maeneo ya kaskazini mwa nchi yetu wapo hapo Havard school of medicine.
Ninyi kumbe wa juzijuzi, enzi za Yamsebo...!
Point hapa ni kujadili je waliosoma vyuo hivi vinavyoitwa
'the best in the world' wana msaada gani kwa taifa?
tunawajua wote?
wanatumika inavyopaswa?
au labda wanatumika nchi zingine kwa uzembe wetu?
Huoni kwa faida ya taifa hasa hao waliosoma uchumi tunapaswa kuwafahamu?
Nchi hii haithamini wachumi hata wasome wapi; kama unadhani wakisoma Havard ndio watathaminiwa you are dead wrong. Nchi hii wanaothaminiwa ni wale wanaolamba viatu vya mkweree basi !!! Delphin Rwegasira is a Havard economics garaduate wa siku nyingi na ni mwalimu wa Kikwete UDSM amemtumia vipi? You cannot compare Mwinyimvua na Prof. Rwegasira pengine kwa vile Mwinyimvua ni muislam!!!! Kwa wale wanaotaka majina ya waliosoma Harvard hata Kinana na Nyang'anyi Mustapha pia wameattend Havard school of government!!!
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Rwegasira yuko wapi now?
Kikwete ni mtu wa kupita
sisi kama taifa tunaweza weka utaratibu wa kutambua 'vichwa' ili siku moja
tukipata serikali ya kweli,vitumike
Anafundisha economics graduate students hapo UDSM!!! Inawezekana mkweree anakinyongo nae kwani ni mtu wa visasi, kwani alipokuwa mwanafunzi wake wa quantitatve methods alisupplement second year!!!!
Alichukuwa PhD yake Harvard.
Kikwete