Watanzania walioishabikia kipigo cha goli 4-0 kutoka kwa Kaizer Chief wamekosa uzalendo

Nikiwa Mtanzania Mzalendo nimeumia sana kuona baadhi ya wenzetu waliomua kwa makusudi kutusaliti kwa kuwapa support wageni

Nimesikitishwa sana na kitendo cha baadhi ya Watanzania kuamua kuishabikia timu ya Kaizer Chief FC ya Afrika Kusini na kuibeza timu yetu ya Simba kufuatia kipigo cha goli 4

Ni kitendo kibaya cha kusikitisha, kutia huzuni na cha aibu kubwa kwa Watanzania hao walioamua kuisaliti nchi yao kwa kushabikia wageni huku wakitambua Simba inasimama kwa niaba yetu sote

Kushindwa kwa Simba ni kushindwa kwa Tanzania
Mafanikio ya Simba ndiyo mafanikio ya Tanzania

Ni msiba wetu sote kama Taifa hivyo tufarijiane na kutiana nguvu wakati huu wa huzuni huku tukijaribu kurekebisha mapungufu yetu madogo

Niombe Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litoe kauli ya kuwafariji WanaSimba na Watanzania kwa ujumla
mtoamada unateseka? umesusa au?

Yanga bwana utafikiri mwanamume anaefurahia mwanamume mwenzie kuachwa na mkewe wakati yeye Hana ubavu hata ya kumsogelea huyo mwanamke.
 
Huyu shabiki anasemaje?

Nikiwa Mtanzania Mzalendo nimeumia sana kuona baadhi ya wenzetu waliomua kwa makusudi kutusaliti kwa kuwapa support wageni

Nimesikitishwa sana na kitendo cha baadhi ya Watanzania kuamua kuishabikia timu ya Kaizer Chief FC ya Afrika Kusini na kuibeza timu yetu ya Simba kufuatia kipigo cha goli 4

Ni kitendo kibaya cha kusikitisha, kutia huzuni na cha aibu kubwa kwa Watanzania hao walioamua kuisaliti nchi yao kwa kushabikia wageni huku wakitambua Simba inasimama kwa niaba yetu sote

Kushindwa kwa Simba ni kushindwa kwa Tanzania

Mafanikio ya Simba ndiyo mafanikio ya Tanzania

Ni msiba wetu sote kama Taifa hivyo tufarijiane na kutiana nguvu wakati huu wa huzuni huku tukijaribu kurekebisha mapungufu yetu madogo

Niombe Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litoe kauli ya kuwafariji WanaSimba na Watanzania kwa ujumla
 
Dhis is thimbaa!! Wapi Air Manula! Wapi Hajji Manara!

Wazee wa 4G Next Level! 🔥🔥😬😬🥵🥵
7b5bc6a201b647609ec1f15470a33eb9.jpg
 
Nikiwa Mtanzania Mzalendo nimeumia sana kuona baadhi ya wenzetu waliomua kwa makusudi kutusaliti kwa kuwapa support wageni

Nimesikitishwa sana na kitendo cha baadhi ya Watanzania kuamua kuishabikia timu ya Kaizer Chief FC ya Afrika Kusini na kuibeza timu yetu ya Simba kufuatia kipigo cha goli 4

Ni kitendo kibaya cha kusikitisha, kutia huzuni na cha aibu kubwa kwa Watanzania hao walioamua kuisaliti nchi yao kwa kushabikia wageni huku wakitambua Simba inasimama kwa niaba yetu sote

Kushindwa kwa Simba ni kushindwa kwa Tanzania

Mafanikio ya Simba ndiyo mafanikio ya Tanzania

Ni msiba wetu sote kama Taifa hivyo tufarijiane na kutiana nguvu wakati huu wa huzuni huku tukijaribu kurekebisha mapungufu yetu madogo

Niombe Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litoe kauli ya kuwafariji WanaSimba na Watanzania kwa ujumla

Kwaninj mfungwe goli 4 . Ni upumbavu na lack of maturity. Mmetoka. Angalia game ya Alhly na Mamelodi. Hizo ndio timu za viwango.
Nyie kuleni Biriani
 
Kuna taarifa zinaenderea kusambaa mitandaoni kua simba ipo south.....sisi kama simba hatujaenda south tupo bunju tinawasibiri kaizer hivyo taarifa za 4G zipuuzwe😎😎😎
 
Shida ya mpira wa bongo umekabidhiwa wajinga na wapuuzi kuuzungumzia kuanzia huyo msemaji wa Simba kuja huku kwa akina wachambuzi wamejaa vilaza watupu. Hawa akina Eddo, Shafii na wajinga wengine ndio tumewapa mamlaka ya kufanya uchambuzi wa mpira. Akina Sekilojo akina Golden boy wamekaa pembeni.
 
Nikiwa Mtanzania Mzalendo nimeumia sana kuona baadhi ya wenzetu waliomua kwa makusudi kutusaliti kwa kuwapa support wageni

Nimesikitishwa sana na kitendo cha baadhi ya Watanzania kuamua kuishabikia timu ya Kaizer Chief FC ya Afrika Kusini na kuibeza timu yetu ya Simba kufuatia kipigo cha goli 4

Ni kitendo kibaya cha kusikitisha, kutia huzuni na cha aibu kubwa kwa Watanzania hao walioamua kuisaliti nchi yao kwa kushabikia wageni huku wakitambua Simba inasimama kwa niaba yetu sote

Kushindwa kwa Simba ni kushindwa kwa Tanzania

Mafanikio ya Simba ndiyo mafanikio ya Tanzania

Ni msiba wetu sote kama Taifa hivyo tufarijiane na kutiana nguvu wakati huu wa huzuni huku tukijaribu kurekebisha mapungufu yetu madogo

Niombe Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litoe kauli ya kuwafariji WanaSimba na Watanzania kwa ujumla

Uzalendo peleka kwa mkeo
 
Back
Top Bottom