Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,815
Nimeshangaa kusikia kwamba kuna michango inapitishwa kwa ajili ya Mtanzania (Sanga) aliyefariki kwa kupigwa risasi huko ,,USA baby" , ina maana ubitozi na show off yote ile ya magari makubwa na mapicha ya mapartment ya nguvu na ya gharama kwenye social media kumbe akaunti nyeupe????
Mchungaji huko ,,USA baby" akihimiza watu watoe michango ya mazishi!
Hapa Watanzania waishio ,,USA Baby" wakikutana kuchangia mazishi!
Kwa hiyo inawezekana hao wote hata kasaving benki hawana Duh!
Mchizi enzi za uhai wake huko ,,USA baby"
Mchungaji huko ,,USA baby" akihimiza watu watoe michango ya mazishi!
Hapa Watanzania waishio ,,USA Baby" wakikutana kuchangia mazishi!
Kwa hiyo inawezekana hao wote hata kasaving benki hawana Duh!