Watanzania tuwe makini tunapojadili mustakabali wa Taifa letu, tusiruhusu hisia mbaya zitutawale

Hivi ulidhani ni lazima watanzania wachague wabunge wa Chadema? Kilio chako ni kukosa ubunge na udiwani plus ruzuku. Utalia mpaka lini?
Ingekuwa ni watanzania wamechagua ningeelewa, si hizo kura za tiss. Kama ni watanzania walichagua, hiyo kuweka watu wa dini moja inatoka wapi?
 
Jaduong unaweza kusema Ccm ina udini,ukabila au ukanda? Cdm inajulikana kabisa ilikuwa ya kikanda. Na ndio maana hata kushindwa imekuwa rahisi, maana ukiua kanda ya kaskazini na Tarime unamaliza kila kitu.
Ahahahaaaa . Angalau safari hii kidogo lakini bado damu ni nzito kuliko maji.

Na kuhusu Cdm unajidanganya bure. Inakubalika Tanzania nzima na ndiyo kisa cha kuhujumiwa. Angalia wenziwaliokwisha starabika Ghana hakuna mpinzani kuhujumiwa (free & fair)
 
Kama kuna taifa ambalo Mungu amelibaliki ni taifa la Tanzania. Maana udini na ukabila ni vitu ambavyo havina nafasi kabisa.

Naongea maisha ambayo ni uhalisia wa maisha yetu sisi watanzania. Ukisoma na mtu awe na dini au kabila tofauti huyo anakuwa ndugu yako. Mimi najua kila mtanzania analifahamu hili ndio maana leo hii unaweza ukawa na rafiki Muislamu na wewe ni Mkristo, msaada wake ukawa mkubwa zaidi ya ndugu yako wa damu.

Leo baraza la mawaziri limetangazwa lakini watu badala ya kujadili mtu aliyeteuliwa kama anafaa au la watu wanajadili dini na makabila ya wateuliwa. Hii ni picha mbaya sana hasa kwa watu wanaofikiri kwa akili timamu.

Alipokuwa madarakani Mzee Ally Hassan Mwinyi baadhi ya watu wasio makini walimtuhumu kuwa ni mdini tena anakumbatia waislamu watupu. Mbaya zaidi alijisahau akaruhusu Zanzibar/ Tanzania visiwani ikajiunga Oic. Lakini ukweli ni kuwa mzee mwinyi hakuwa mdini au mkabila. Waziri mkuu wake alikuwa mkristo tena Mgogo. Na hata Cabinet yake ilikuwa na wakristo wengi kuliko waislamu.

Historia ipo wazi,hata Mwl JKN watu walimtuhumu kuwa mkatoliki na hashauliki na hii ni sababu watu wanatoa maoni kwa hisia bila kujali ukweli na uhalisia.

Leo hii Cabinet imetangazwa,lakini badala ya watu kujadili uwezo wa mtu aliyeteuliwa kama anaweza kutumikia watanzania watu wanaanza kujadili kabila na dini za wateuliwa. Huku ni kukosa busara na kupungukiwa akili za kufikiri.

Wapi katiba ya JMT imetamka juu ya kuwa na uwiano sawa wa kidini au kikabila? Hili taifa halina dini wala kabila. Tunapojadili masuala ya msingi ya taifa letu tutumie busara na hekima.
Tutolee Usukuma wako hapa
 
Kuna tathmini ya kawaida sana katika Baraza jipya!!

Wanawake 4
Wanaume 19.

Waislam 3
Wakristo 20.

Sukuma na kanda ya ziwa nusu ya mawaziri
Wanawake enzi za JK ilifika 40%
Leo 4%

Hapo tutaachaje kujadili huu upunguani wa tanzania ya leo
Kama kuna taifa ambalo Mungu amelibaliki ni taifa la Tanzania. Maana udini na ukabila ni vitu ambavyo havina nafasi kabisa.

Naongea maisha ambayo ni uhalisia wa maisha yetu sisi watanzania. Ukisoma na mtu awe na dini au kabila tofauti huyo anakuwa ndugu yako. Mimi najua kila mtanzania analifahamu hili ndio maana leo hii unaweza ukawa na rafiki Muislamu na wewe ni Mkristo, msaada wake ukawa mkubwa zaidi ya ndugu yako wa damu.

Leo baraza la mawaziri limetangazwa lakini watu badala ya kujadili mtu aliyeteuliwa kama anafaa au la watu wanajadili dini na makabila ya wateuliwa. Hii ni picha mbaya sana hasa kwa watu wanaofikiri kwa akili timamu.

Alipokuwa madarakani Mzee Ally Hassan Mwinyi baadhi ya watu wasio makini walimtuhumu kuwa ni mdini tena anakumbatia waislamu watupu. Mbaya zaidi alijisahau akaruhusu Zanzibar/ Tanzania visiwani ikajiunga Oic. Lakini ukweli ni kuwa mzee mwinyi hakuwa mdini au mkabila. Waziri mkuu wake alikuwa mkristo tena Mgogo. Na hata Cabinet yake ilikuwa na wakristo wengi kuliko waislamu.

Historia ipo wazi,hata Mwl JKN watu walimtuhumu kuwa mkatoliki na hashauliki na hii ni sababu watu wanatoa maoni kwa hisia bila kujali ukweli na uhalisia.

Leo hii Cabinet imetangazwa,lakini badala ya watu kujadili uwezo wa mtu aliyeteuliwa kama anaweza kutumikia watanzania watu wanaanza kujadili kabila na dini za wateuliwa. Huku ni kukosa busara na kupungukiwa akili za kufikiri.

Wapi katiba ya JMT imetamka juu ya kuwa na uwiano sawa wa kidini au kikabila? Hili taifa halina dini wala kabila. Tunapojadili masuala ya msingi ya taifa letu tutumie busara na hekima.
 
Usianze kutuelezea zama za mawe, wakati huu wasomi ni wengi na wako kila mkoa iweje kanda ya ziwa tu

Tatizo limeanzia humo ndani mwenu. Kukiwa na chama, kikundi, au jamii fulani na kikaonekana ni tishio kwenu. Hua hamuachi kukimbilia udini, ukanda na hata ukabila. Huu udhaifu umo ndani ya nyumba.

Mfano tulikukuwa na
1. Nccr, kikaitwa cha kikabila
2. Cuf, kikaitwa cha kidini
3. Cdm , mnalazimisha kiwe sijui cha kikanda. Sasa ukiyayafanya haya kwa wapinzani wako . Ujue na wewe watu wanakuangalia unafanya nini ?!
Ha ha ha.. Wanahangaika baada ya kunaswa na mtego wao wenyewe
 
Tanzania maana ya Udini ni sehemu kukiwa Waislamu wengi,sipati picha JK ndio angeteua hivi enzi zake,ilikua rahisi kila mtu kuona Udini NSSF ila hawakuuona CRDB,TBL nk kwa sababu Wakristo wakiwa wengi sio Udini
 
Leo baraza la mawaziri limetangazwa lakini watu badala ya kujadili mtu aliyeteuliwa kama anafaa au la watu wanajadili dini na makabila ya wateuliwa. Hii ni picha mbaya sana hasa kwa watu wanaofikiri kwa akili timamu.
Ila ndio ukweli mkuu, hasa ktk awamu hii! tusiogope watu wanapojadili ukweli.
Angalia 'kanda pendwa' ilivyotoa asilimia kubwa zaidi ya baraza.
 
Nina uhakika wewe sio mtanzania. Kwa sababu uzushi unao utoa hapa ni kitu ambacho hakuna anayekuelewa.
nahisi wewe ndie ambae sio mzalendo wa nchi hii kwani ungekuwa mzalendo ungekemea haya yanayoondelea! au wewe ni wa kanda fulani ambayo unaona ni haki kupendelewa kwa kuwa tu unatoka huko.
 
Jaduong unaweza kusema Ccm ina udini,ukabila au ukanda? Cdm inajulikana kabisa ilikuwa ya kikanda. Na ndio maana hata kushindwa imekuwa rahisi, maana ukiua kanda ya kaskazini na Tarime unamaliza kila kitu.
Basi ukubali kuwa na baraza lenu la mawaziri lina udini maana ukiua wakristo wote humo baraza limekufa
 
Back
Top Bottom