Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,021
Hivi fisiemu aliyechafuka hivi kwa damu ya watanzania tunaanzia wapi kumuunga mkono?
Mkuu ni kweli wamefanya kazi kubwa unadhani mikataba ya ovyo kwa hati za dharula ni kazi ndogo?Kapolepole kamejizeekea kabla ya muda wake masikini!!!!! timbwili lote hili msemaji wa chama ziiiiiiiii.
Likabudi nalo eti kina mkapa wamefanya kazi kubwa!!!!
Naweza kufa kabla yake lakini akitangulia yeye nitalicharaza kaburi lake hamsa wa ishirini.
Najua kwa ulinzi wanaopeana akiwa mzima hagusiki. (sipendi masela wa mkuranga waikopi aidia yangu)
Hiyo reli itatumiwa na "wanalumumba" tu.Wanatafuta hela ya kujenga reli kwa kublackmail kampuni ya acacia. Bashite effect.
Tunalazimishwa kuunga mkono tutake tusitake na kuna mengine tunatakiwa kuyavuka katika vita hii bila kuyagusa. Ni vita ya kukata matawi tukiacha mashina na mizizi ili vichipuke huko mbele!!Hivi fisiemu aliyechafuka hivi kwa damu ya watanzania tunaanzia wapi kumuunga mkono?
Hahaaa!!Hivi fisiemu aliyechafuka hivi kwa damu ya watanzania tunaanzia wapi kumuunga mkono?
Huu ndio unaa niliousema. Haya basi, kama ni "umtaa" na upo tanzania, hautufai wewe... Hama nchi. Eboh!!
!
Kuna wezi na thieves. Wezi ni wabongo wenzetu ambao watashughulikiwa na vyombo vya dola na thieves ni wazungu, wanaume ambao wao watajadiliana tu halafu fresh. Kama utaifa ni Huu mie siutaki, nautaka umtaa
Huu ndio unaa niliousema. Haya basi, kama ni "umtaa" na upo tanzania, hautufai wewe... Hama nchi. Eboh!
Naunga mkono hoja.Sasa watanzania wenzangu, tunakubaliana kwamba kitendo alichokifanya rais wetu ni kwa ajili ya manufaa yetu. Tumuunge mkono rais kwa vitendo, tuweke siasa na vyama pembeni. Wote kwa pamoja tupaze sauti kupitia maandamano nchi nzima hao mabepari watulipe chetu. Tuache unaa na ujuaji mwingi wa kuandika tuu mitaondi..
Raisi anahitaji msaada wetu kwani hii vita sio rahisi jamani. Pia tumtie moyo huyu kwa hili jema na kubwa alilofanya. Kwa kufanya hivo, tutawapa ujasiri mkuu hata viongozi wanaokuja wa kufanya maamuzi magumu kijasiri zaidi.
Utaifa mbele!
Good morning TZ...
Ni sheria ipi inayonitaka nimuunge mkono?Wananchi,
Salaam za upendo ziwafikie popote mlipo. Aidha baada ya salaam, nawasilisha mada tajwa hapo juu.
Sintoandika sana kwani, mengi sana yameshaandikwa kwenye nyuzi nyingi sana kuhusiana na suala zima la rasilimali zetu sanasana makinikia(maboso?! ).
Sasa watanzania wenzangu, tunakubaliana kwamba kitendo alichokifanya rais wetu ni kwa ajili ya manufaa yetu. Tumuunge mkono rais kwa vitendo, tuweke siasa na vyama pembeni. Wote kwa pamoja tupaze sauti kupitia maandamano nchi nzima hao mabepari watulipe chetu. Tuache unaa na ujuaji mwingi wa kuandika tuu mitaondi..
Raisi anahitaji msaada wetu kwani hii vita sio rahisi jamani. Pia tumtie moyo huyu kwa hili jema na kubwa alilofanya. Kwa kufanya hivo, tutawapa ujasiri mkuu hata viongozi wanaokuja wa kufanya maamuzi magumu kijasiri zaidi.
Namalizia kwa kusema, hatua aliyofikia raisi wetu pamoja na kamati zote na serikali kwa ujumla ni kubwa ila sio kamilifu kama watanzania tumekaa kimya. Nawahimiza tupige kelele tulipwe na dunia ijue kwamba tupo bega bega na raisi kwa maslahi yetu. Nna hakika mataifa mengine wanatushangaa sana wallahi!
Natoa wito kwa wabunge, madiwani na serikali za mikoa yote tanzania ku-organize maandamano nchi nzima ili ku-support hii move.
Utaifa mbele!
Good morning TZ...
Unaa!Tuwe wazalendo na tujali vya nyumbani...kama hao wezi wakizungu ni wanaume basi kinachengge ni mijigume!