Goodrich
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 2,091
- 1,178
Mnamo majuzi tarehe 12Jun2012 Rais wetu aliongea kwa ufasaha sana katika hotuba yake ambayo naamini itabaki katika kumbukumbu za Watanzania karne na karne kuelezea jinsi tunavyoporwa rasilimali zetu.
Ni wazi kuwa nchi yetu hainufaiki na madini wala gesi wala maliasili nyinginezo kutokana na mikataba ya hovyo waliongia vibaraka wetu na hao makabaila. Ndio maana bado tunaendelea kuwa tegemezi.
Tuanze sasa, bila kujali itikadi, tuungane kama watanzania, tumuunge mkono Rais wetu kuitoa nchi yetu kutoka ukoloni mambo leo ie neo colonialism.
Kuna watu wanaturudisha nyuma kwa kuweka itikadi. Hakuna anayekwenda vitani na sare za chama. Adui atajua tumegawanyika. Twende vitani na sare za Utanzania.
Tuwe na kauli moja, msimamo mmoja sawa Rais wetu.
Naamini tutaikomboa nchi yetu !