- Thread starter
- #21
tuungane watanzania wote kwa umoja wetu hili sio dogo ni kubwa sanaUungane na nani dhidi ya nani? Yaani anayenyanyaswa aungane na mnyanyasaji dhidi ya mtetezi? Wewe lazima utakuwa ni Mangungo wa Msovero wewe!!!

Nchi sii ya CCM pekee ni ya watanzania woteMuungane huko ccm kwenu wengine hatuhusiki na huo muungano
umoja wetu ni ushindi wetu tuungane na tuitetee nchi yetuMimi ni Mtanzania msema kweli, msema kweli ni Mpenzi wa Mungu. Hakika hata vita ikuzuka kwa waliyoyasema na ninayoona nchini mwetu, nipo na nitakuwa upande wa EU na USA isipokuwa suala la ushoga napinga.
Umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu, hivyo tunahitaji umoja zaidi kipindi hiki na serikali ijitathmini kwa kina tuone kama tutaweza kusonga mbele.
tukilegea na kugawanyika basi huo ndio mwisho wetu.
chonde chonde bila kujali chama tuungane haraka na tusichekana , Maana kuchekana ni kuicheka nchi yako.
Agenda zote za E.U na U.S.A zinajibika kwa mazungumzo.
Ungana na Bashite, Pole2 etc hakika mtashinda, anzeni na Membe kwanza!umoja wetu ni ushindi wetu tuungane na tuitetee nchi yetu
Stroke, yanayolalamikiwa ni kweli lakini ?!Tatizo sio US wala EU Maana kwa muda mrefu tu tumekua na mahusiano mema nao;
Tatizo ni watanzania wenzetu wanaosambaza sumu kwa maslahi Yao binafsi at the expense of our peace.
Umesema kweli, watu kuuawa hovyo, kupigwa lisasi viongozi, kuzuia wanafunzi waliopata mimba wasiendelee na Masomo, kuzuia Bungelive, kutumia mabavu kuongoza, kuiba trillion 1.5,kuzuia mikutano ya siasa, kuuliwa akwelina kesi apewe mbowe na ujinga mwingi tu tunafanyiana na watanzania wenzetu, bora mzungu kuliko mtanzania mwenzako, eu wapo sawa tu.Tatizo sio US wala EU Maana kwa muda mrefu tu tumekua na mahusiano mema nao;
Tatizo ni watanzania wenzetu wanaosambaza sumu kwa maslahi Yao binafsi at the expense of our peace.
Unazungumzia umoja,kwani sisi watanzania hatuathiriki na hayo mambo mkuu??Umoja kwanza hayo mengine tutayajadili tukiwa pamoja.
Tumeshaungana na Zanzibar imetosha, hatuhitaji muunganiko mwingine. Kwanza hata serikali yenyewe haipendi kisikia hayo mambo ya miungano mingine.tuungane watanzania wote kwa umoja wetu hili sio dogo ni kubwa sana
Tuaangane na maabilisi yatakubaliUmoja ni nguvu na utengano ni dhaifu, hivyo tunahitaji umoja zaidi kipindi hiki na serikali ijitathmini kwa kina tuone kama tutaweza kusonga mbele.
tukilegea na kugawanyika basi huo ndio mwisho wetu.
chonde chonde bila kujali chama tuungane haraka na tusichekana , Maana kuchekana ni kuicheka nchi yako.
Agenda zote za E.U na U.S.A zinajibika kwa mazungumzo.
Wanasambaza sumu nani kafa???Tatizo sio US wala EU Maana kwa muda mrefu tu tumekua na mahusiano mema nao;
Tatizo ni watanzania wenzetu wanaosambaza sumu kwa maslahi Yao binafsi at the expense of our peace.
Mmesahau maslahi ya watumishi. Mishahara imedumaa kama vile hakuna ongezeko la thamani. Miaka ya nyuma watumishi walikuwa wakilamba maslahi yao kama kawa. Ila miaka hii watu wanajifia na presha zao tuUmesema kweli, watu kuuawa hovyo, kupigwa lisasi viongozi, kuzuia wanafunzi waliopata mimba wasiendelee na Masomo, kuzuia Bungelive, kutumia mabavu kuongoza, kuiba trillion 1.5,kuzuia mikutano ya siasa, kuuliwa akwelina kesi apewe mbowe na ujinga mwingi tu tunafanyiana na watanzania wenzetu, bora mzungu kuliko mtanzania mwenzako, eu wapo sawa tu.
EU na USA ni wanafiki tu. Kama kweli wanataka kuleta haki Duniani, waiambie Israel iache kuwaua na kuwakalia kimabavu Wapalestina.
Lakini pia waende North Korea, waende Somalia nk.
Wanaacha kuzima moto unaowaka, wanang'ang'ania kuzima moshi unaofuka.
Hi hi hi ni miaka karibia 60 tumeshindwa mshinda adui ujinga na umasikini na zimwi la ufisadi tutaweza kuwashinda EU.Umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu, hivyo tunahitaji umoja zaidi kipindi hiki na serikali ijitathmini kwa kina tuone kama tutaweza kusonga mbele.