Watanzania Tutasafiri Nje Kweli?

Hii inchi imekuwa ya AJABU AJABU haijawahi KUTOKEA,,tangu TUPATE UHURU,,,,kama wewe hupendi kwenda NG'AMBO usilazimishe na WENZIO,,,duniani kila mtu na HOBBY YAKE....na JINSI YA UTAFUTAJI wake,,, hivi kwl tuna kwenda NJE kutafuta maisha ,,tena kihalali kabisa,,,VIZA NA KILA KITU wewe unahoji UNAFATA nini NJE?kweli INCHI imeshakuwa YA KISHAMBA,...
kweli ya kishamba sana. Mr. Jiwe anatudumaza sana.
 
Hebu jiongeze kidogo upate mtu akueleze awamu ya kwanza ilikuwaje kijana mdogo!
Usituletee mihemko yako hapa, alaah!
That’s all
Duh,,, mbona unarudi nyuma badala ya kusonga mbele? hata awamu ya kwanza ilileta uhuru kwa kusafiri sana nje kutafuta muafaka wa kuachiwa Nchi. Kusafiri kwenda nje ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom