Watanzania tutajifunza kwa makosa hadi lini? Hivi TRC hawa wanaoshindwa vitu vidogo hivi wataweza ku-run SGR yetu effectively & efficiently?

Ni tatizo lakini inaweza kuwa ni jambo geni kwao pia kupata demand kubwa tofauti na mazoea ya operation za miaka ya nyuma kipindi hiki cha sikukuu.

Wafanyabiashara upanga capacity planning kwenye operation zao pia kupitia past experience, kwakuwa hili ni jambo jipya; malalamiko yanapojitokeza kama haya wanatakiwa wayafanyie kazi.

Baada ya mwaka mmoja na malalamiko haya haya yakiwa ayajafanyiwa kazi hapo sasa uongozi inabidi uanze kubeba lawama.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kuna watu unawapa kazi halafu kupitia mambo madogo madogo tuu wanaonyesha wameshindwa, hivi unapowapa mambo makubwa zaidi, unategemea nini?. Tuendelee kujifunza kwa makosa au tukiona tuu dalili tujipange tusisubiri washindwe ndipo tutafute ufumbuzi.

Swali hili ni kuhusu utendaji wa TRL kwenye vitu vidogo vidogo tuu!. Ndio Maana Ninauliza Jee Sisi Watanzania Tutaendelea Kujifunza Kwa Makosa Hadi Lini?!. Hivi TRC Hawa Hawa Wanaoshindwa Vitu Vidogo Vidogo Kama Hivi!, Wataweza Kweli Kuja KuiRun SGR Yetu Effectively na Efficiently?.

Mimi ni mmoja wa Watanzania wanaopenda leisure kama mfuko unaruhusu, na naamini hali yetu ya uchumi ingekuwa nzuri, Watanzania wengi tungekuwa tunatembelea vivutio vyetu vya utalii.

Japo kikabila mimi sio Mchagga ila Moshi inanihusu hivyo kila Desemba around Christmas nami na familia ?yangu huwa tunaunga tela kwenda Moshi kuamkua jamaa, kwa kawaida huwa navurumisha mashine.

Mwaka huu niliposikia kuna gari moshi la kwenda Moshi, nikaamua mwaka huu nitafanya a leisure trip ya Moshi kwa gari moshi.

Hatua ya kwanza ni kutembelea website ya TRC kucheki bookings, huwezi amini, kwenye website ya TRC, hakuna hiyo route ya Moshi!.

Nikapiga simu ya maulizo iliyopo kwenye website yao +255222110599
simu hii haijawahigi kupokelewa hadi kesho!, sijui wana operator mmoja tuu na kaenda likizo ya Christmas!, hivyo akirudi ndio simu zitaanza kupokelewa tena.

Kunapokuwa hakuna taarifa zozote na hakuna mawasiliano yoyote, mtu analazimika kutoka hapo alipo hadi TRC kuulizia usafiri.

Nikaenda siku ya Jumamosi last week nikaelezwa nirudi leo J.3 asubuhi.
Leo nimerudi ndio nikachoka kabisa!. Kwanza tuu utaratibu wa kukata tiketi ni utaratibu wa kijima kabisa!. Eti mtu anatakiwa kuwahi kufika na kupanga foleni dirishani on first come first served basis, hivyo ili kuwahi foleni, watu wamekuja usiku na kulala hapo ili asubuhi wawe wa kwanza, dirisha la malipo linafunguliwa saa 2:00.

Hilo zogo la hapo ni usipime!. Mtanisamehe sikuthubutu hata kunyanyua simu kupiga japo kapicha ni kuwadhalilisha tuu watu waliolala hapo usiku kucha kugombea tikeketi.

Kuna madirisha matatu ya tiketi, Dirisha la Gari Moshi la Kigoma, gari Moshi la Mwanza na gari Moshi la Moshi. Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu za enzi zile, kwa kila route kulikuwa na madirisha matatu, watu wa 1st Class walikuwa na dirisha lao, 2nd Class dirisha lao na kule kajamba nani nao na dirisha lao. Sasa ni dirisha moja, na ili kuzuia mtu asiingilie na kujipenyeza kwenye foleni, watu mnasogeleana hadi kugusana!. Mambo gani haya?!.

Kiukweli hali niliyoiona hapa eneo la kukatia tiketi ya gari moshi la kwenda Moshi ni hali mbaya ya kukatisha tamaa hata ya leisure yenyewe basi tuu.

Kutokana na hali hii, nimeanza kujiuliza hivi hawa TRC wenyewe ndio hawa tunao wategemea waje kutuendeshea gari moshi umeme la SGR?!. Watu wanashindwa vitu vidogo vidogo tuu kama hivi halafu ndio uje uwape vitu vikubwa vya kisasa kama SGR, wataweza kweli?. Au tusubiri tuu hadi hiyo SGR ije, tuwajaribishe kama wakishindwa ndipo tutafute watu!.
Sisi Watanzania tatizo ni nini mbona mambo madogo tuu haya yako hovyo hovyo, makubwa tutaweza?.

Sasa tuna mifumo mingi ya malipo na kuna online applications nyingi za bookings na kulipa online, kwanini hawa TRC wanatesa watu kiasi hiki?. Yaani mpaka leo kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teke linalokujia, bado taasisi ya umma inayojiandaa kuendesha reli ya kisasa ya SGR, bado inaendesha mambo yake kijima hivi, tutegemee nini kwa uendeshaji wa SGR yetu, au tuendelee tuu na mtindo ule ule, hata tukiona dalili za wazi kabisa za watu walioshindwa kazi, bado tunaendelea kuwajaribu hadi washindwe ndipo tutafute dawa ya kutibu tatizo?.

Watu wanajidai wako up to date hadi wana hot lines 24/7, lakini kwenye website yao wameweka landline number moja tuu tena haipokelewi!. Wameanzisha route mpya ya Moshi lakini there is no any info za route hiyo kwenye website yao?.

Kaka yangu Masanja Kadogosa, you are doing good job lakini baadhi ya watu wako wanakuangusha kwa vitu vidogo vidogo tuu kama hivi vinapokuwa kero, hata kujua tuu ni lini na lini gari Moshi la wapi lipo, huwezi kujua hadi ufunge safari kuja kituoni?.

Sisi vyombo vya habari kama jicho la umma, tunakunyooshea wewe kidole halafu na wewe banana na watu wako wa ndani.

Nawatakia Krismasi Njema.

Paskali
Paskali pole mkuu - hawa jamaa ambao afisa masoko mkuu na kusema ukweli kila kitu kabisa ni Rais wa JMT hawana uwezo wa kushidana hata na wapiga debe wa Ubungo. Zero kabisa.
 
Nakubaliana na wewe kwamba tunapaswa kubadilika lkn usisahahu pia kwamba wateja wa trc ( mpaka sasa hivi) hawahitaji/hawajali kuhusu hizo huduma unazoziongelea na wengi wao huamua kutumia treni kwa sababu ya bei rahisi kulinganisha na mabasi, hivyo in watu wa kipato cha chini na wengi ni simple people wameshajizoelea shida, kwanza wengi hata hawajawahi ingia online na hata tu E-Mail address hawana.

BTW hiyo treni ilikuwa imekufa kwa miaka zaidi ya 20, na Serikali yetu ndo kwanza tu imeamua kuifufua angalau tukubali na tujipongeze kwa hilo, tuwape muda watayafanyia kazi najua wote tunapenda first World Service lkn tunasahau labda kwamba tunaishi third World country na wenye uwezo wa kulipia first world service in wachache sana, kuna sababu kwa nini sisi tunaitwa third World, tuna limitations nyingi.

Hata kupokea simu tu napo ni tatizo kwa third world countries? Hili tatizo limeenda mbali zaidi, sijui kama SGR Tutaweza kuiendesha kwa faida.

Labda tukodi management toka huko first world countries.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kuna watu unawapa kazi halafu kupitia mambo madogo madogo tuu wanaonyesha wameshindwa, hivi unapowapa mambo makubwa zaidi, unategemea nini?. Tuendelee kujifunza kwa makosa au tukiona tuu dalili tujipange tusisubiri washindwe ndipo tutafute ufumbuzi.

Swali hili ni kuhusu utendaji wa TRL kwenye vitu vidogo vidogo tuu!. Ndio Maana Ninauliza Jee Sisi Watanzania Tutaendelea Kujifunza Kwa Makosa Hadi Lini?!. Hivi TRC Hawa Hawa Wanaoshindwa Vitu Vidogo Vidogo Kama Hivi!, Wataweza Kweli Kuja KuiRun SGR Yetu Effectively na Efficiently?.

Mimi ni mmoja wa Watanzania wanaopenda leisure kama mfuko unaruhusu, na naamini hali yetu ya uchumi ingekuwa nzuri, Watanzania wengi tungekuwa tunatembelea vivutio vyetu vya utalii.

Japo kikabila mimi sio Mchagga ila Moshi inanihusu hivyo kila Desemba around Christmas nami na familia ?yangu huwa tunaunga tela kwenda Moshi kuamkua jamaa, kwa kawaida huwa navurumisha mashine.

Mwaka huu niliposikia kuna gari moshi la kwenda Moshi, nikaamua mwaka huu nitafanya a leisure trip ya Moshi kwa gari moshi.

Hatua ya kwanza ni kutembelea website ya TRC kucheki bookings, huwezi amini, kwenye website ya TRC, hakuna hiyo route ya Moshi!.

Nikapiga simu ya maulizo iliyopo kwenye website yao +255222110599
simu hii haijawahigi kupokelewa hadi kesho!, sijui wana operator mmoja tuu na kaenda likizo ya Christmas!, hivyo akirudi ndio simu zitaanza kupokelewa tena.

Kunapokuwa hakuna taarifa zozote na hakuna mawasiliano yoyote, mtu analazimika kutoka hapo alipo hadi TRC kuulizia usafiri.

Nikaenda siku ya Jumamosi last week nikaelezwa nirudi leo J.3 asubuhi.
Leo nimerudi ndio nikachoka kabisa!. Kwanza tuu utaratibu wa kukata tiketi ni utaratibu wa kijima kabisa!. Eti mtu anatakiwa kuwahi kufika na kupanga foleni dirishani on first come first served basis, hivyo ili kuwahi foleni, watu wamekuja usiku na kulala hapo ili asubuhi wawe wa kwanza, dirisha la malipo linafunguliwa saa 2:00.

Hilo zogo la hapo ni usipime!. Mtanisamehe sikuthubutu hata kunyanyua simu kupiga japo kapicha ni kuwadhalilisha tuu watu waliolala hapo usiku kucha kugombea tikeketi.

Kuna madirisha matatu ya tiketi, Dirisha la Gari Moshi la Kigoma, gari Moshi la Mwanza na gari Moshi la Moshi. Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu za enzi zile, kwa kila route kulikuwa na madirisha matatu, watu wa 1st Class walikuwa na dirisha lao, 2nd Class dirisha lao na kule kajamba nani nao na dirisha lao. Sasa ni dirisha moja, na ili kuzuia mtu asiingilie na kujipenyeza kwenye foleni, watu mnasogeleana hadi kugusana!. Mambo gani haya?!.

Kiukweli hali niliyoiona hapa eneo la kukatia tiketi ya gari moshi la kwenda Moshi ni hali mbaya ya kukatisha tamaa hata ya leisure yenyewe basi tuu.

Kutokana na hali hii, nimeanza kujiuliza hivi hawa TRC wenyewe ndio hawa tunao wategemea waje kutuendeshea gari moshi umeme la SGR?!. Watu wanashindwa vitu vidogo vidogo tuu kama hivi halafu ndio uje uwape vitu vikubwa vya kisasa kama SGR, wataweza kweli?. Au tusubiri tuu hadi hiyo SGR ije, tuwajaribishe kama wakishindwa ndipo tutafute watu!.
Sisi Watanzania tatizo ni nini mbona mambo madogo tuu haya yako hovyo hovyo, makubwa tutaweza?.

Sasa tuna mifumo mingi ya malipo na kuna online applications nyingi za bookings na kulipa online, kwanini hawa TRC wanatesa watu kiasi hiki?. Yaani mpaka leo kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teke linalokujia, bado taasisi ya umma inayojiandaa kuendesha reli ya kisasa ya SGR, bado inaendesha mambo yake kijima hivi, tutegemee nini kwa uendeshaji wa SGR yetu, au tuendelee tuu na mtindo ule ule, hata tukiona dalili za wazi kabisa za watu walioshindwa kazi, bado tunaendelea kuwajaribu hadi washindwe ndipo tutafute dawa ya kutibu tatizo?.

Watu wanajidai wako up to date hadi wana hot lines 24/7, lakini kwenye website yao wameweka landline number moja tuu tena haipokelewi!. Wameanzisha route mpya ya Moshi lakini there is no any info za route hiyo kwenye website yao?.

Kaka yangu Masanja Kadogosa, you are doing good job lakini baadhi ya watu wako wanakuangusha kwa vitu vidogo vidogo tuu kama hivi vinapokuwa kero, hata kujua tuu ni lini na lini gari Moshi la wapi lipo, huwezi kujua hadi ufunge safari kuja kituoni?.

Sisi vyombo vya habari kama jicho la umma, tunakunyooshea wewe kidole halafu na wewe banana na watu wako wa ndani.

Nawatakia Krismasi Njema.

Paskali
Paskali umeongea mambo ya msingi sana,Trip moja tu TRC wameshindwa je SGR wataweza? Kuikweli bila kupepesa macho hawatoweza ni bora SGR tuwabidhi tu Yapi Merkezi wa run hiyo project wakishaimaliza kuifunga.

Niliwachana Tanesco kwamba MATAGA huwa wanajisifu kwamba nidhamu ya kazi serikalini imeongezeka kumbe hakuna lolote,unapiga simu Tanesco kuripoti tatizo simu haipokelewi ukisubiri mda ukipiga tena ipo busy ikiita tena hawapokei,yaani Tanesco wanatumia namba ya mobile ambayo wanaweka kwenye handset kupokea simu za wateja tanzania nzima? Hivi wameshindwa kufunga PBX? Bongo huduma kwa WATEJA ni Zero Kabisa.

SGR tusijiroge tuwape TRC ni Bora tu_outsource kwa YAPI MERKEZI.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kuna watu unawapa kazi halafu kupitia mambo madogo madogo tuu wanaonyesha wameshindwa, hivi unapowapa mambo makubwa zaidi, unategemea nini?. Tuendelee kujifunza kwa makosa au tukiona tuu dalili tujipange tusisubiri washindwe ndipo tutafute ufumbuzi.

Swali hili ni kuhusu utendaji wa TRL kwenye vitu vidogo vidogo tuu!. Ndio Maana Ninauliza Jee Sisi Watanzania Tutaendelea Kujifunza Kwa Makosa Hadi Lini?!. Hivi TRC Hawa Hawa Wanaoshindwa Vitu Vidogo Vidogo Kama Hivi!, Wataweza Kweli Kuja KuiRun SGR Yetu Effectively na Efficiently?.

Mimi ni mmoja wa Watanzania wanaopenda leisure kama mfuko unaruhusu, na naamini hali yetu ya uchumi ingekuwa nzuri, Watanzania wengi tungekuwa tunatembelea vivutio vyetu vya utalii.

Japo kikabila mimi sio Mchagga ila Moshi inanihusu hivyo kila Desemba around Christmas nami na familia ?yangu huwa tunaunga tela kwenda Moshi kuamkua jamaa, kwa kawaida huwa navurumisha mashine.

Mwaka huu niliposikia kuna gari moshi la kwenda Moshi, nikaamua mwaka huu nitafanya a leisure trip ya Moshi kwa gari moshi.

Hatua ya kwanza ni kutembelea website ya TRC kucheki bookings, huwezi amini, kwenye website ya TRC, hakuna hiyo route ya Moshi!.

Nikapiga simu ya maulizo iliyopo kwenye website yao +255222110599
simu hii haijawahigi kupokelewa hadi kesho!, sijui wana operator mmoja tuu na kaenda likizo ya Christmas!, hivyo akirudi ndio simu zitaanza kupokelewa tena.

Kunapokuwa hakuna taarifa zozote na hakuna mawasiliano yoyote, mtu analazimika kutoka hapo alipo hadi TRC kuulizia usafiri.

Nikaenda siku ya Jumamosi last week nikaelezwa nirudi leo J.3 asubuhi.
Leo nimerudi ndio nikachoka kabisa!. Kwanza tuu utaratibu wa kukata tiketi ni utaratibu wa kijima kabisa!. Eti mtu anatakiwa kuwahi kufika na kupanga foleni dirishani on first come first served basis, hivyo ili kuwahi foleni, watu wamekuja usiku na kulala hapo ili asubuhi wawe wa kwanza, dirisha la malipo linafunguliwa saa 2:00.

Hilo zogo la hapo ni usipime!. Mtanisamehe sikuthubutu hata kunyanyua simu kupiga japo kapicha ni kuwadhalilisha tuu watu waliolala hapo usiku kucha kugombea tikeketi.

Kuna madirisha matatu ya tiketi, Dirisha la Gari Moshi la Kigoma, gari Moshi la Mwanza na gari Moshi la Moshi. Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu za enzi zile, kwa kila route kulikuwa na madirisha matatu, watu wa 1st Class walikuwa na dirisha lao, 2nd Class dirisha lao na kule kajamba nani nao na dirisha lao. Sasa ni dirisha moja, na ili kuzuia mtu asiingilie na kujipenyeza kwenye foleni, watu mnasogeleana hadi kugusana!. Mambo gani haya?!.

Kiukweli hali niliyoiona hapa eneo la kukatia tiketi ya gari moshi la kwenda Moshi ni hali mbaya ya kukatisha tamaa hata ya leisure yenyewe basi tuu.

Kutokana na hali hii, nimeanza kujiuliza hivi hawa TRC wenyewe ndio hawa tunao wategemea waje kutuendeshea gari moshi umeme la SGR?!. Watu wanashindwa vitu vidogo vidogo tuu kama hivi halafu ndio uje uwape vitu vikubwa vya kisasa kama SGR, wataweza kweli?. Au tusubiri tuu hadi hiyo SGR ije, tuwajaribishe kama wakishindwa ndipo tutafute watu!.
Sisi Watanzania tatizo ni nini mbona mambo madogo tuu haya yako hovyo hovyo, makubwa tutaweza?.

Sasa tuna mifumo mingi ya malipo na kuna online applications nyingi za bookings na kulipa online, kwanini hawa TRC wanatesa watu kiasi hiki?. Yaani mpaka leo kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teke linalokujia, bado taasisi ya umma inayojiandaa kuendesha reli ya kisasa ya SGR, bado inaendesha mambo yake kijima hivi, tutegemee nini kwa uendeshaji wa SGR yetu, au tuendelee tuu na mtindo ule ule, hata tukiona dalili za wazi kabisa za watu walioshindwa kazi, bado tunaendelea kuwajaribu hadi washindwe ndipo tutafute dawa ya kutibu tatizo?.

Watu wanajidai wako up to date hadi wana hot lines 24/7, lakini kwenye website yao wameweka landline number moja tuu tena haipokelewi!. Wameanzisha route mpya ya Moshi lakini there is no any info za route hiyo kwenye website yao?.

Kaka yangu Masanja Kadogosa, you are doing good job lakini baadhi ya watu wako wanakuangusha kwa vitu vidogo vidogo tuu kama hivi vinapokuwa kero, hata kujua tuu ni lini na lini gari Moshi la wapi lipo, huwezi kujua hadi ufunge safari kuja kituoni?.

Sisi vyombo vya habari kama jicho la umma, tunakunyooshea wewe kidole halafu na wewe banana na watu wako wa ndani.

Nawatakia Krismasi Njema.

Paskali
Nicely put...SASA nakuomba brother uendelee kuwa shame mpaka pale watakapojirekebisha, hawa watu usipowasema wataendelea kutukwaza na si ajabu wakata ticket ni wale wale wa kuanzia miaka ya sabini ...usiache hewani Tafadhali...
Na je!? Trip yako ya Moshi ndio wameiharibu au unaendesha gari tena?!...Ukiendesha kuwa makini na madereva wasiofuata Sheria.
 
Mh: ajae atalazimika kufanya aliyoyafanya Mkapa ili mambo yaende. Usiniulize kwa nini
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kuna watu unawapa kazi halafu kupitia mambo madogo madogo tuu wanaonyesha wameshindwa, hivi unapowapa mambo makubwa zaidi, unategemea nini?. Tuendelee kujifunza kwa makosa au tukiona tuu dalili tujipange tusisubiri washindwe ndipo tutafute ufumbuzi.

Swali hili ni kuhusu utendaji wa TRL kwenye vitu vidogo vidogo tuu!. Ndio Maana Ninauliza Jee Sisi Watanzania Tutaendelea Kujifunza Kwa Makosa Hadi Lini?!. Hivi TRC Hawa Hawa Wanaoshindwa Vitu Vidogo Vidogo Kama Hivi!, Wataweza Kweli Kuja KuiRun SGR Yetu Effectively na Efficiently?.

Mimi ni mmoja wa Watanzania wanaopenda leisure kama mfuko unaruhusu, na naamini hali yetu ya uchumi ingekuwa nzuri, Watanzania wengi tungekuwa tunatembelea vivutio vyetu vya utalii.

Japo kikabila mimi sio Mchagga ila Moshi inanihusu hivyo kila Desemba around Christmas nami na familia ?yangu huwa tunaunga tela kwenda Moshi kuamkua jamaa, kwa kawaida huwa navurumisha mashine.

Mwaka huu niliposikia kuna gari moshi la kwenda Moshi, nikaamua mwaka huu nitafanya a leisure trip ya Moshi kwa gari moshi.

Hatua ya kwanza ni kutembelea website ya TRC kucheki bookings, huwezi amini, kwenye website ya TRC, hakuna hiyo route ya Moshi!.

Nikapiga simu ya maulizo iliyopo kwenye website yao +255222110599
simu hii haijawahigi kupokelewa hadi kesho!, sijui wana operator mmoja tuu na kaenda likizo ya Christmas!, hivyo akirudi ndio simu zitaanza kupokelewa tena.

Kunapokuwa hakuna taarifa zozote na hakuna mawasiliano yoyote, mtu analazimika kutoka hapo alipo hadi TRC kuulizia usafiri.

Nikaenda siku ya Jumamosi last week nikaelezwa nirudi leo J.3 asubuhi.
Leo nimerudi ndio nikachoka kabisa!. Kwanza tuu utaratibu wa kukata tiketi ni utaratibu wa kijima kabisa!. Eti mtu anatakiwa kuwahi kufika na kupanga foleni dirishani on first come first served basis, hivyo ili kuwahi foleni, watu wamekuja usiku na kulala hapo ili asubuhi wawe wa kwanza, dirisha la malipo linafunguliwa saa 2:00.

Hilo zogo la hapo ni usipime!. Mtanisamehe sikuthubutu hata kunyanyua simu kupiga japo kapicha ni kuwadhalilisha tuu watu waliolala hapo usiku kucha kugombea tikeketi.

Kuna madirisha matatu ya tiketi, Dirisha la Gari Moshi la Kigoma, gari Moshi la Mwanza na gari Moshi la Moshi. Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu za enzi zile, kwa kila route kulikuwa na madirisha matatu, watu wa 1st Class walikuwa na dirisha lao, 2nd Class dirisha lao na kule kajamba nani nao na dirisha lao. Sasa ni dirisha moja, na ili kuzuia mtu asiingilie na kujipenyeza kwenye foleni, watu mnasogeleana hadi kugusana!. Mambo gani haya?!.

Kiukweli hali niliyoiona hapa eneo la kukatia tiketi ya gari moshi la kwenda Moshi ni hali mbaya ya kukatisha tamaa hata ya leisure yenyewe basi tuu.

Kutokana na hali hii, nimeanza kujiuliza hivi hawa TRC wenyewe ndio hawa tunao wategemea waje kutuendeshea gari moshi umeme la SGR?!. Watu wanashindwa vitu vidogo vidogo tuu kama hivi halafu ndio uje uwape vitu vikubwa vya kisasa kama SGR, wataweza kweli?. Au tusubiri tuu hadi hiyo SGR ije, tuwajaribishe kama wakishindwa ndipo tutafute watu!.
Sisi Watanzania tatizo ni nini mbona mambo madogo tuu haya yako hovyo hovyo, makubwa tutaweza?.

Sasa tuna mifumo mingi ya malipo na kuna online applications nyingi za bookings na kulipa online, kwanini hawa TRC wanatesa watu kiasi hiki?. Yaani mpaka leo kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teke linalokujia, bado taasisi ya umma inayojiandaa kuendesha reli ya kisasa ya SGR, bado inaendesha mambo yake kijima hivi, tutegemee nini kwa uendeshaji wa SGR yetu, au tuendelee tuu na mtindo ule ule, hata tukiona dalili za wazi kabisa za watu walioshindwa kazi, bado tunaendelea kuwajaribu hadi washindwe ndipo tutafute dawa ya kutibu tatizo?.

Watu wanajidai wako up to date hadi wana hot lines 24/7, lakini kwenye website yao wameweka landline number moja tuu tena haipokelewi!. Wameanzisha route mpya ya Moshi lakini there is no any info za route hiyo kwenye website yao?.

Kaka yangu Masanja Kadogosa, you are doing good job lakini baadhi ya watu wako wanakuangusha kwa vitu vidogo vidogo tuu kama hivi vinapokuwa kero, hata kujua tuu ni lini na lini gari Moshi la wapi lipo, huwezi kujua hadi ufunge safari kuja kituoni?.

Sisi vyombo vya habari kama jicho la umma, tunakunyooshea wewe kidole halafu na wewe banana na watu wako wa ndani.

Nawatakia Krismasi Njema.

Paskali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndio mnarudisha nyuma juhudi za kamanda wetu JPM, viva JPM CCM oyeee.
Wewe utakuwa CDM acha kupinga pinga kila kitu, awamu ya Tano inapiga kazi balaa treni kwa mara ya kwanza toka ile ya JKN ife leo chini ya jemedari JPM treni inakwenda Moshi..
Unaandika utadhani umewekewa kijinga cha moto makalioni.

Very stupid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya sifa ya nchi masikini ni pamoja na Usimamizi Mbovu.

Magufuli atajitahidi kufanya atakayofanya lakini yote yatageuka bure pale atakapoondoka kutokana na uhaba wa wasimamizi wazuri.

Magufuli ni msimamizi na mfuatiliaji mzuri sasa hao wengine sijui kwa kweli.
Acha kumtetea magufuli kiunafiki nafiki!! Angekua na system nzuri leo hii uozo ungeonekana?

Kwa sababu ni kiongozi mbovu ndio maana hata watendaji wake ni wabovu kama alivyo yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu na wewe umeingia kwenye mkumbo ule ule wa wale watu ambao hakijafanyika kitu wanataka kifanyike,kikifanyika kitu wataanza kung'aka mbona hakijafanyika kwa mtindo na blaa blaa za hapa na pale.

Kumbuka hii treni sio mpya imefanyiwa resuming strategy kadhaa ili iweze kuludi barabarani na kuweza kusaidia wananchi tatizo sugu la usafiri pale ubungo wakati huu wa desemba.

Watu wanafikiria changamoto ya kuongeza safari na mabehewa ili kukidhi mahitaji ya watu kufika kilimanjaro wewe mkuu unaweka changamoto ya kukata tiketi.

Kuhusu kulala mkuu pale ubungo watu walikuwa wanalala na kukesha siku nzima na bado safari haikuwepo,hivyo tuvumiliane kwa mabadiliko haya madogo madogo.

Ukiona hiyo vita ya tiketi huiwezi ujue hiyo vita haikuhusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paschal bwana, Sasa hata mabehewa yenyewe wanayahamisha from one route to another on a trial and error basis Unadhani kwa muda huu mfupi waliozindua hiyo route yao watakuwa tayari kuincorporate ICT systems kwa ajili ya booking?.

Kusimika mifumo ya ICT plus booking bado inahitaji muda.

ROMA haikujengwa siku moja

Unanikumbusha wale waliokuwa wakimbeza JK kujenga shule za kata wakati hakuna walimu wa kutosha, Sasa hivi kuna walimu kibao hadi kazi hawana!

Maendeleo ni hatua, cha msingi tuombe hatua zipigwe harakaharaka
 
Boss Pascal Mayalla Pole sana Kaka kwa kadhia uliyopata leo.
Simple sisi Ngozi nyeusi na Waafrica wengi bado sana hatujaweza kujitawala au kujiongoza.
Nafikiri Utumwa umetulemaza, angalia mfano sasa hivi, yaani mpaka Rais aseme na kuwa mkali, watu ndio wanaamka.
Mtu anapewa Kitengo, badala ya kufanya kazi kwa weledi na kufuata miiko ya kazi, ndio kwanza watu wanakula pesa, Uozo kila mahali. Ubadhilifu wa mali za Umma kwa kwenda mbele.
Sasa Issue kama hii, TRC watasubiri mpaka Mh. Rais atoe tamko, ndio utawaona wanaamka nakulifanyia kazi.

Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kuna watu unawapa kazi halafu kupitia mambo madogo madogo tuu wanaonyesha wameshindwa, hivi unapowapa mambo makubwa zaidi, unategemea nini?. Tuendelee kujifunza kwa makosa au tukiona tuu dalili tujipange tusisubiri washindwe ndipo tutafute ufumbuzi.

Swali hili ni kuhusu utendaji wa TRL kwenye vitu vidogo vidogo tuu!. Ndio Maana Ninauliza Jee Sisi Watanzania Tutaendelea Kujifunza Kwa Makosa Hadi Lini?!. Hivi TRC Hawa Hawa Wanaoshindwa Vitu Vidogo Vidogo Kama Hivi!, Wataweza Kweli Kuja KuiRun SGR Yetu Effectively na Efficiently?.

Mimi ni mmoja wa Watanzania wanaopenda leisure kama mfuko unaruhusu, na naamini hali yetu ya uchumi ingekuwa nzuri, Watanzania wengi tungekuwa tunatembelea vivutio vyetu vya utalii.

Japo kikabila mimi sio Mchagga ila Moshi inanihusu hivyo kila Desemba around Christmas nami na familia ?yangu huwa tunaunga tela kwenda Moshi kuamkua jamaa, kwa kawaida huwa navurumisha mashine.

Mwaka huu niliposikia kuna gari moshi la kwenda Moshi, nikaamua mwaka huu nitafanya a leisure trip ya Moshi kwa gari moshi.

Hatua ya kwanza ni kutembelea website ya TRC kucheki bookings, huwezi amini, kwenye website ya TRC, hakuna hiyo route ya Moshi!.

Nikapiga simu ya maulizo iliyopo kwenye website yao +255222110599
simu hii haijawahigi kupokelewa hadi kesho!, sijui wana operator mmoja tuu na kaenda likizo ya Christmas!, hivyo akirudi ndio simu zitaanza kupokelewa tena.

Kunapokuwa hakuna taarifa zozote na hakuna mawasiliano yoyote, mtu analazimika kutoka hapo alipo hadi TRC kuulizia usafiri.

Nikaenda siku ya Jumamosi last week nikaelezwa nirudi leo J.3 asubuhi.
Leo nimerudi ndio nikachoka kabisa!. Kwanza tuu utaratibu wa kukata tiketi ni utaratibu wa kijima kabisa!. Eti mtu anatakiwa kuwahi kufika na kupanga foleni dirishani on first come first served basis, hivyo ili kuwahi foleni, watu wamekuja usiku na kulala hapo ili asubuhi wawe wa kwanza, dirisha la malipo linafunguliwa saa 2:00.

Hilo zogo la hapo ni usipime!. Mtanisamehe sikuthubutu hata kunyanyua simu kupiga japo kapicha ni kuwadhalilisha tuu watu waliolala hapo usiku kucha kugombea tikeketi.

Kuna madirisha matatu ya tiketi, Dirisha la Gari Moshi la Kigoma, gari Moshi la Mwanza na gari Moshi la Moshi. Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu za enzi zile, kwa kila route kulikuwa na madirisha matatu, watu wa 1st Class walikuwa na dirisha lao, 2nd Class dirisha lao na kule kajamba nani nao na dirisha lao. Sasa ni dirisha moja, na ili kuzuia mtu asiingilie na kujipenyeza kwenye foleni, watu mnasogeleana hadi kugusana!. Mambo gani haya?!.

Kiukweli hali niliyoiona hapa eneo la kukatia tiketi ya gari moshi la kwenda Moshi ni hali mbaya ya kukatisha tamaa hata ya leisure yenyewe basi tuu.

Kutokana na hali hii, nimeanza kujiuliza hivi hawa TRC wenyewe ndio hawa tunao wategemea waje kutuendeshea gari moshi umeme la SGR?!. Watu wanashindwa vitu vidogo vidogo tuu kama hivi halafu ndio uje uwape vitu vikubwa vya kisasa kama SGR, wataweza kweli?. Au tusubiri tuu hadi hiyo SGR ije, tuwajaribishe kama wakishindwa ndipo tutafute watu!.
Sisi Watanzania tatizo ni nini mbona mambo madogo tuu haya yako hovyo hovyo, makubwa tutaweza?.

Sasa tuna mifumo mingi ya malipo na kuna online applications nyingi za bookings na kulipa online, kwanini hawa TRC wanatesa watu kiasi hiki?. Yaani mpaka leo kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teke linalokujia, bado taasisi ya umma inayojiandaa kuendesha reli ya kisasa ya SGR, bado inaendesha mambo yake kijima hivi, tutegemee nini kwa uendeshaji wa SGR yetu, au tuendelee tuu na mtindo ule ule, hata tukiona dalili za wazi kabisa za watu walioshindwa kazi, bado tunaendelea kuwajaribu hadi washindwe ndipo tutafute dawa ya kutibu tatizo?.

Watu wanajidai wako up to date hadi wana hot lines 24/7, lakini kwenye website yao wameweka landline number moja tuu tena haipokelewi!. Wameanzisha route mpya ya Moshi lakini there is no any info za route hiyo kwenye website yao?.

Kaka yangu Masanja Kadogosa, you are doing good job lakini baadhi ya watu wako wanakuangusha kwa vitu vidogo vidogo tuu kama hivi vinapokuwa kero, hata kujua tuu ni lini na lini gari Moshi la wapi lipo, huwezi kujua hadi ufunge safari kuja kituoni?.

Sisi vyombo vya habari kama jicho la umma, tunakunyooshea wewe kidole halafu na wewe banana na watu wako wa ndani.

Nawatakia Krismasi Njema.

Paskali
 
Kaka yangu Masanja Kadogosa, you are doing good job lakini baadhi ya watu wako wanakuangusha kwa vitu vidogo vidogo tuu kama hivi vinapokuwa kero, hata kujua tuu ni lini na lini gari Moshi la wapi lipo, huwezi kujua hadi ufunge safari kuja kituoni?.
Mkuu nadhani pamoja na maelezo yako mazuri umeshawishika kuona huyu hahusiki. Ingelikuwa ni jambo la kuwajibika huyu uliuemsifu ndo angehitajika kuwajibishwa namba moja. In manahement haswa kwenye kampuni ikifanya vizuri tunamwangalia manage. Vivyo hivyo ikivurunda manager ndo anahitajika kubeba lawama.
By the way sioni ajabu kwa uliloliona mbona mwendo kasi kulikuwa na elecronic ticket na zinakagukiwa na mashine kama zimetumika leo hii wabantu tushaachana na mfumo ambao no rahisi kufuatilia hata mauzo ya ticket. Kuna wakati mtu hii hali inaumiza hadi unajiuliza hivi huko vyuoni watu wanasomea mambo ambayo hayana application kwenye maisha au ni kwetu tu. Kuna wakati hata Mheshimiwa akiwawajibisha waliochini yake unasema hawa wanastahili maana wamepewa dhamana ya kusimamia kampuni lakini hawaoni kama watu wana mategemeo makubwa ktk utendaji wao. Mtu mmoja hawezi kusimamia kila kitu ila wa kumsaidia wenye utashi wa kufanya hivyo wapo na hawaoni namna ya kuwa wabunifu. Tatizo upigaji ndo kipaumbele badala ya uwajibikaji.
 
Uuozo uko kila mahali na sio TRL tu na ndio maana hata mimi niliwahi pendekeza hili kutokana na kero za watu kupata hati miliki za viwanja vyao.

Kwa kifupi,wasomi wa nchi hii ubunifu wao ni wa kiwango cha chini kabisa.

Niliandika hivi kama ushauri kuondoa kero ya watu kufuatili hati au kujua status ya hati zao:

Nyingine ni hii:

Watu wanafanya kazi kwa mazoea, ifike hatua watu wapewe ajira kwa mikataba, mambo ya kuteuliwa haya ya hovyo sana.
Hizo nafasi za ukurugenzi utendaji watu waziombe na wenye sifa wapewe mikataba, watimize malengo yote, wakishindwa watimuliwe. KAMA MAKOCHA TU, haya mambo ya serikalini kuna JOB SECURITY YANALEMAZA UTENDAJI.
Nakazia tu, hata wakurugenzi wa halimashauri inatakiwa watu waombe hizo kazi wafaniyiwe usahili(waeleze namna ambavyo wanaweza punguza changamoto zilizo ndani ya uwezo wa halimashauri/mji husika,) utendaji wao upimwe kwa ubunifu pia, haiwezekani watu wanateuliwa kwenda kuongoza miji yenye rasilimali kibao Ila wanashindwa kuwa wabunifu na kufanya miji iendelee kudumaa kiuchumi na kihuduma za jamii, wanashindwa hata kushwawishi kuanzishwa kwa plant za kuchakata mazao yanayo zalishwa maeneo hayo ili kukuza ajira katika local level matokeo yake mji mingi Sana Tanzania haikui na vijana wanakimbilia kwenye majiji kusaka fursa, mji Kama tabora kwa ukongwe wake na location ulikuwa inatakiwa uwe jiji na kitovu kikubwa Sana kuunganisha mikoa ya kusini,magharibi, magharibi kasikazi na nchi jirani za drc,Rwanda na burundi

Sent using my Audi A6 2017 model
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kuna watu unawapa kazi halafu kupitia mambo madogo madogo tuu wanaonyesha wameshindwa, hivi unapowapa mambo makubwa zaidi, unategemea nini?. Tuendelee kujifunza kwa makosa au tukiona tuu dalili tujipange tusisubiri washindwe ndipo tutafute ufumbuzi.

Swali hili ni kuhusu utendaji wa TRL kwenye vitu vidogo vidogo tuu!. Ndio Maana Ninauliza Jee Sisi Watanzania Tutaendelea Kujifunza Kwa Makosa Hadi Lini?!. Hivi TRC Hawa Hawa Wanaoshindwa Vitu Vidogo Vidogo Kama Hivi!, Wataweza Kweli Kuja KuiRun SGR Yetu Effectively na Efficiently?.

Mimi ni mmoja wa Watanzania wanaopenda leisure kama mfuko unaruhusu, na naamini hali yetu ya uchumi ingekuwa nzuri, Watanzania wengi tungekuwa tunatembelea vivutio vyetu vya utalii.

Japo kikabila mimi sio Mchagga ila Moshi inanihusu hivyo kila Desemba around Christmas nami na familia ?yangu huwa tunaunga tela kwenda Moshi kuamkua jamaa, kwa kawaida huwa navurumisha mashine.

Mwaka huu niliposikia kuna gari moshi la kwenda Moshi, nikaamua mwaka huu nitafanya a leisure trip ya Moshi kwa gari moshi.

Hatua ya kwanza ni kutembelea website ya TRC kucheki bookings, huwezi amini, kwenye website ya TRC, hakuna hiyo route ya Moshi!.

Nikapiga simu ya maulizo iliyopo kwenye website yao +255222110599
simu hii haijawahigi kupokelewa hadi kesho!, sijui wana operator mmoja tuu na kaenda likizo ya Christmas!, hivyo akirudi ndio simu zitaanza kupokelewa tena.

Kunapokuwa hakuna taarifa zozote na hakuna mawasiliano yoyote, mtu analazimika kutoka hapo alipo hadi TRC kuulizia usafiri.

Nikaenda siku ya Jumamosi last week nikaelezwa nirudi leo J.3 asubuhi.
Leo nimerudi ndio nikachoka kabisa!. Kwanza tuu utaratibu wa kukata tiketi ni utaratibu wa kijima kabisa!. Eti mtu anatakiwa kuwahi kufika na kupanga foleni dirishani on first come first served basis, hivyo ili kuwahi foleni, watu wamekuja usiku na kulala hapo ili asubuhi wawe wa kwanza, dirisha la malipo linafunguliwa saa 2:00.

Hilo zogo la hapo ni usipime!. Mtanisamehe sikuthubutu hata kunyanyua simu kupiga japo kapicha ni kuwadhalilisha tuu watu waliolala hapo usiku kucha kugombea tikeketi.

Kuna madirisha matatu ya tiketi, Dirisha la Gari Moshi la Kigoma, gari Moshi la Mwanza na gari Moshi la Moshi. Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu za enzi zile, kwa kila route kulikuwa na madirisha matatu, watu wa 1st Class walikuwa na dirisha lao, 2nd Class dirisha lao na kule kajamba nani nao na dirisha lao. Sasa ni dirisha moja, na ili kuzuia mtu asiingilie na kujipenyeza kwenye foleni, watu mnasogeleana hadi kugusana!. Mambo gani haya?!.

Kiukweli hali niliyoiona hapa eneo la kukatia tiketi ya gari moshi la kwenda Moshi ni hali mbaya ya kukatisha tamaa hata ya leisure yenyewe basi tuu.

Kutokana na hali hii, nimeanza kujiuliza hivi hawa TRC wenyewe ndio hawa tunao wategemea waje kutuendeshea gari moshi umeme la SGR?!. Watu wanashindwa vitu vidogo vidogo tuu kama hivi halafu ndio uje uwape vitu vikubwa vya kisasa kama SGR, wataweza kweli?. Au tusubiri tuu hadi hiyo SGR ije, tuwajaribishe kama wakishindwa ndipo tutafute watu!.
Sisi Watanzania tatizo ni nini mbona mambo madogo tuu haya yako hovyo hovyo, makubwa tutaweza?.

Sasa tuna mifumo mingi ya malipo na kuna online applications nyingi za bookings na kulipa online, kwanini hawa TRC wanatesa watu kiasi hiki?. Yaani mpaka leo kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teke linalokujia, bado taasisi ya umma inayojiandaa kuendesha reli ya kisasa ya SGR, bado inaendesha mambo yake kijima hivi, tutegemee nini kwa uendeshaji wa SGR yetu, au tuendelee tuu na mtindo ule ule, hata tukiona dalili za wazi kabisa za watu walioshindwa kazi, bado tunaendelea kuwajaribu hadi washindwe ndipo tutafute dawa ya kutibu tatizo?.

Watu wanajidai wako up to date hadi wana hot lines 24/7, lakini kwenye website yao wameweka landline number moja tuu tena haipokelewi!. Wameanzisha route mpya ya Moshi lakini there is no any info za route hiyo kwenye website yao?.

Kaka yangu Masanja Kadogosa, you are doing good job lakini baadhi ya watu wako wanakuangusha kwa vitu vidogo vidogo tuu kama hivi vinapokuwa kero, hata kujua tuu ni lini na lini gari Moshi la wapi lipo, huwezi kujua hadi ufunge safari kuja kituoni?.

Sisi vyombo vya habari kama jicho la umma, tunakunyooshea wewe kidole halafu na wewe banana na watu wako wa ndani.

Nawatakia Krismasi Njema.

Paskali
Nawe unatuchosha, anza na ndege . Tunapata faida au hasara! Avoid biasness! unakera sana!
 
Back
Top Bottom