hakuna ch kusoma hapo, kwetu kunaungua niangalie kwa jirani, why?soma uelewe
- Kiukweli kabisa nmekua impressed na ule mfumo wa (IRON DOME) wa israel, na nadhani izi siasa za ajira ifike sehem ziwe na mwisho sasa, haiwezekani kila mwaka ombi kubwa la wasomi linakuaga ni ajira tu wakati kuna opportunities nyingi sana kwenye elimu unayopata peke yake,
- Ni tuseme kwamba watu hawaelimiki wakienda shule ama tatizo linakua wap? ile sera ya viwanda aliyoanza nayo magufuli ingetufikisha mbali sana kama nchi, sio viwanda vya mazao kama kelele za wapinzani zlivo bali services pia na taaluma. Kwanini wasomi wetu wasije na maombi mfano tunataka kutengeneza defence system ya nchi yetu na mahitaji ni haya na haya then serikali ikaplay part the rest remaining?
KWANI VIWANDA VISINGEAJIRI?- Kiukweli kabisa nmekua impressed na ule mfumo wa (IRON DOME) wa israel, na nadhani izi siasa za ajira ifike sehem ziwe na mwisho sasa, haiwezekani kila mwaka ombi kubwa la wasomi linakuaga ni ajira tu wakati kuna opportunities nyingi sana kwenye elimu unayopata peke yake,
- Ni tuseme kwamba watu hawaelimiki wakienda shule ama tatizo linakua wap? ile sera ya viwanda aliyoanza nayo magufuli ingetufikisha mbali sana kama nchi, sio viwanda vya mazao kama kelele za wapinzani zlivo bali services pia na taaluma. Kwanini wasomi wetu wasije na maombi mfano tunataka kutengeneza defence system ya nchi yetu na mahitaji ni haya na haya then serikali ikaplay part the rest remaining?
KWANI VIWANDA VISINGEAJIRI?
Irone dome gharama yake ni 1B US dolla
naelewa mkuu, hio ilikua kama inspiration tu kwa sababu nmefuatilia waliotengeneza nkajua ni israel wenyewe kama wenyewe, so kumbe inawezekana tukaachana na maombi ya ajira kila mwaka kukawa na maombi na kuimplement elimu tulizosomea mfano kutengeneza defence system ya nchi
Serikali yetu haina mpango wa kuwaendeleza wenye vipaji na utaalamu wa mambo ya technology na vitu mbali mbali, laiti kama wangeamua kufanya hivyo basi kama taifa tungekuwa na watu wenye upeo mkubwa sana.- Kiukweli kabisa nmekua impressed na ule mfumo wa (IRON DOME) wa israel, na nadhani izi siasa za ajira ifike sehem ziwe na mwisho sasa, haiwezekani kila mwaka ombi kubwa la wasomi linakuaga ni ajira tu wakati kuna opportunities nyingi sana kwenye elimu unayopata peke yake,
- Ni tuseme kwamba watu hawaelimiki wakienda shule ama tatizo linakua wap? ile sera ya viwanda aliyoanza nayo magufuli ingetufikisha mbali sana kama nchi, sio viwanda vya mazao kama kelele za wapinzani zlivo bali services pia na taaluma. Kwanini wasomi wetu wasije na maombi mfano tunataka kutengeneza defence system ya nchi yetu na mahitaji ni haya na haya then serikali ikaplay part the rest remaining?
Kabla hatujaenda kwenye High tech industries tuanze na light industries,kwanza mpaka sasa hatuwezi kuzalisha mafuta ya kula ya kukidhi soko la ndani,sukari,viwanda vingi vinavyoanzishwa ni vya kutoa huduma,sio kutengeneza bidhaa,- Kiukweli kabisa nmekua impressed na ule mfumo wa (IRON DOME) wa israel, na nadhani izi siasa za ajira ifike sehem ziwe na mwisho sasa, haiwezekani kila mwaka ombi kubwa la wasomi linakuaga ni ajira tu wakati kuna opportunities nyingi sana kwenye elimu unayopata peke yake,