stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 6,184
- 3,145
- Kiukweli kabisa nmekua impressed na ule mfumo wa (IRON DOME) wa israel, na nadhani izi siasa za ajira ifike sehem ziwe na mwisho sasa, haiwezekani kila mwaka ombi kubwa la wasomi linakuaga ni ajira tu wakati kuna opportunities nyingi sana kwenye elimu unayopata peke yake.
- Ni tuseme kwamba watu hawaelimiki wakienda shule ama tatizo linakua wap? ile sera ya viwanda aliyoanza nayo magufuli ingetufikisha mbali sana kama nchi, sio viwanda vya mazao kama kelele za wapinzani zlivo bali services pia na taaluma.
Kwanini wasomi wetu wasije na maombi mfano tunataka kutengeneza defence system ya nchi yetu na mahitaji ni haya na haya then serikali ikaplay part the rest remaining?