Watanzania tuna tatizo sio bure

Watanzania tuna tatizo sio bure

kijanamtanashati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
523
Reaction score
916
Sisi watanzania sijui nani alituloga. Watanzania tuna mibichwa mizito hadi kero. Mtanzania hawezi akaambiwa kitu mara moja akaelewa. Na hata ukirudia mara tano ataitikia alafu baadae atauliza swali ambalo ulishamuelezea. Yani tupo kama mikondoo sijui tupoje. Hata tunaowaita wasomi nao ndo ivyo ivyo vichwa vigumu mpka mtu unapata hasira.

Sijui tuna matatizo gani. Wazazi wapeni lishe bora watoto zenu wakiwa wadogo wasije kuwa mzigo ukubwani.
 
Sisi watanzania sijui nani aliyetuloga. Watanzania tına mibichwa mizito hadi kero. Mtanzania hawezi akaambiwa kitu mara moja akaelewa. Na hata ukirudia mara tano ataitikia alafu baadae atauliza swali ambalo ulishamuelezea. Yani tupo kama kondoo sijui tupoje. Hata tunaowaita wasomi nao ndo ivyo ivyo vichwa vigumu mpka mtu unapata hasira.

Sijui tuna matatizo gani. Wazazi wapeni lishe bora watoto zenu wakiwa wadogo wasije kuwa mzigo ukubwani.
Bora kuitwa wajinga na maskini. Kikubwa hatupendi na kuhalislisha ushoga kama hao wengine wanasifiwa Wana akili.

Miti na msosi ndo mpango mzima hata kama IQ zetu zina mushkel.

Nyau de adriz
 
Mtu unaamka unakuta mkeo kafua suruali yako yenye hirizi zako ...Unakuja kutufokea sisi.

Yan ungemsisitiza tu vizuri kuwa kabla hajafua awe anatoa vilivyomo mfukoni au ungemkataza kabisa asiwe anakufulia nguo zako.
🤣🤣🤣🤣
 
`Unamwabia mhudumu niletee serengeti lite. Anakuuliza nikikosa je? Unamwambia ulete castle light. Anauliza tena nikikosa je? Unamwambia ulete serengeti lager. Anaenda kule serengeti lager!!! Unauliza lite hakuna? Anasema zipo. k.u.m.a.m.a.e😳😳😳😳
 
Sisi watanzania sijui nani alituloga. Watanzania tuna mibichwa mizito hadi kero. Mtanzania hawezi akaambiwa kitu mara moja akaelewa. Na hata ukirudia mara tano ataitikia alafu baadae atauliza swali ambalo ulishamuelezea. Yani tupo kama mikondoo sijui tupoje. Hata tunaowaita wasomi nao ndo ivyo ivyo vichwa vigumu mpka mtu unapata hasira.

Sijui tuna matatizo gani. Wazazi wapeni lishe bora watoto zenu wakiwa wadogo wasije kuwa mzigo ukubwani.
Jambo linalofurahisha na wewe ni mmoja wa hao watanzania wenye tatizo hilo
 
Sisi watanzania sijui nani alituloga. Watanzania tuna mibichwa mizito hadi kero. Mtanzania hawezi akaambiwa kitu mara moja akaelewa. Na hata ukirudia mara tano ataitikia alafu baadae atauliza swali ambalo ulishamuelezea. Yani tupo kama mikondoo sijui tupoje. Hata tunaowaita wasomi nao ndo ivyo ivyo vichwa vigumu mpka mtu unapata hasira.

Sijui tuna matatizo gani. Wazazi wapeni lishe bora watoto zenu wakiwa wadogo wasije kuwa mzigo ukubwani.
Poor/Lack of communication skills
 
Mkuu tatizo la kutokuelewa na Kuwa wenye Vichwa vigumu kama monjo si la Watanzania wote bali ni tatizo la mazumbukuku wachache na hao wachache pia wengi wao ni wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi!
 
`Unamwabia mhudumu niletee serengeti lite. Anakuuliza nikikosa je? Unamwambia ulete castle light. Anauliza tena nikikosa je? Unamwambia ulete serengeti lager. Anaenda kule serengeti lager!!! Unauliza lite hakuna? Anasema zipo. k.u.m.a.m.a.e😳😳😳😳
😂😂😂😂😂😂Nimecheka kinomaaaa
 
Back
Top Bottom