Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,187
- 162,689
Kwanza kabisa tunamuomba Lissu ajitokeze na aseme alipelekwa Polisi kwa tuhuma zipi kwani inaonekana tuhuma hizo sio za kawaida unless zimeisha leo leo.
Binafsi nimesoma tweet ya mwandishi mmoja (Halima Gikandi) ambae kafanya mahojiano na Lissu, mahojiano ambayo yamegusia sababu za Lissu kupelekwa Polisi kwa mahojiano.
Tunamuomba Lissu aseme/ athibitishe angali mapema kwani hizi tuhuma n nzito mno hata nikandika hapa mods wanaweza kufuta na ninahakika zitaibua majala mzito sana hapa JF na kwenye mitandao zikiwekwa wazi.
Kama ni kweli Lissu kahojiwa kwa tuhuma hizi, basi tumuombee ingawa bado naamini hizo tuhuma zinaweza kufutwa na ndio maana amewaza hata kuachiwa.