Watanzania tulioko Switzerland

Poa poa kaka...wacha Corona ikiisha tu nianze harakati za pasipoti kisha viza...

Sema huwa naangalia tiiiviii naona askari wenye mbwa wanasimama pembeni na kuwaita abiria na kuwauliza maswali...kama unaenda wapi? Tuone pasipoti yako.

Wengine naona kabisa wanawadepoti (kwenye tivii lakini) nikajua nikifika wataniuliza maana kiingereza sipo vizuri kabisa naweza jichanganya.

Ila kama mambo yataishia Dar aah hawa tutaelewana.
 
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina rafiki au ndugu Ulaya mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…