Mbona dhumuni nishasema huko juu kunilipua mkuuEndapo una Elimu inaweza kukubeba kwa namna fulani.
Lakini inategemea dhumuni ni nini kama utaweza, unaweza kwenda kitalii then mengine yataendelea.
Sawa lakini usikurupuke na vyema kabla ya kuomba gawio uanze kwa kutafuta connection mahala husika.Mbona dhumuni nishasema huko juu kunilipua mkuu
Elimu sina mkuu...
Acha nifanye ya kitalii kuna vin'gombe vya mzee nitaomba gawio nipate fwedha.
Nianzie kwako basi mkuu.Sawa lakini usikurupuke na vyema kabla ya kuomba gawio uanze kwa kutafuta connection mahala husika.
Wewe mchokozi sana!!Naomba kujua tofauti ya Melted Cheese na Cheese Fondue. Juzi Parabora alisema anakula melted Cheese na Cheese Fondue. Tehtehteh
¡Estoy bien! y usted?holla,que tal ustedeth..
HV mkuu ada inaweza kufika kiasi huko kwa coz za afya kama nursing level ya bachelor. Na kama una kama 30m hv kanaweza kutosha kwa kuanzia?Kwa Switzerland experience kwanza jifunze atleast kijerumani,after, tafuta passport then visa ingawa kupata sio issue sana kama unakuja kama mtalii,kama umesoma angalia namna utapata fursa kuja kusoma hapa ukifka sasa kazi ni kwako. But kwanza jikamilishe financial uje kama mtalii baada sasa mengine yafate
But njia pekee itayokufikisha Europe kirahisi kama mtafutaji ni kufanya kazi na mashirika ya kimataifa UN, UNESCO etc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Oke, BroNianzie kwako basi mkuu.
Poa mkuu.Oke, Bro
Ukitaka kujilipua andaa petrol na kiberit alamsikiWakuu nataka kujilipua nipeni direction basi....nipo kijijini mambo ya hati za kusafiri sijui...hivyo atakayenielezea aanzia A-Z.
Nikitaka kujilipua huko ulayani nifanyeje?
Bahati yako tupo mwezi mtukufu....narudia bahati yako.Ukitaka kujilipua andaa petrol na kiberit alamsiki
HV mkuu ada inaweza kufika kiasi huko kwa coz za afya kama nursing level ya bachelor. Na kama una kama 30m hv kanaweza kutosha kwa kuanzia?
Mkuu huo utaratibu was ujenzi kitambo sana sasa tunaangalia mambo mengine ambao hawajafanya wanayo nafasi ya kufanya ivo.Ama kweliiii!!Ningekuwa wewe iyo 30M naitupa kwenye Ujenzi..Yani Ile Paaa!Kiwanja Nachukua Cha Million 5,Hapa Jijini Mwanza,Maujenzi Ujenzi Mengine Yanakamilika Na amia..Wewe weka rehani 30M Bila shuguli Muhimu Uko Uswisi.Utajuta Kucheza Iyo Kamali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakutsogeza sawia kabisaHV mkuu ada inaweza kufika kiasi huko kwa coz za afya kama nursing level ya bachelor. Na kama una kama 30m hv kanaweza kutosha kwa kuanzia?
Kandete moja hii😉
Kweli eeh, lakini unaweza kuta binamu yake baba yake baba yako alilima zaidi ya miaka 25 lakini "kaziba nzuri"😃😃😃.Sasa Phd miaka 7, ukirudi bongo unakuta dogo aliyeingia shamba kupiga jembe katoboa mbaya...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
We unasema tu, kuna kazi inabidi ukaze roho katika public, mfano mchimba makaburiDon't be ashamed of your job
Ama kweliiii!!Ningekuwa wewe iyo 30M naitupa kwenye Ujenzi..Yani Ile Paaa!Kiwanja Nachukua Cha Million 5,Hapa Jijini Mwanza,Maujenzi Ujenzi Mengine Yanakamilika Na amia..Wewe weka rehani 30M Bila shuguli Muhimu Uko Uswisi.Utajuta Kucheza Iyo Kamali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu ngoja hili balaa lipite tujue cha kufanya.