Huyo pimbi achana nae kazi yake kutengeneza thread juu ya JPM huwezi kumkuta anaishauri serkali huu ya kupanda kwa gharama za maisha!Kwa awamu ya sita ndiyo tunadanganywa zaidi. Maana tulidanganywa royal toure italeta watalii lakini matokeo yake ni ziro.Bwawa LA umeme tulidanganywa na hii awamu ya sita ya kuwa hakuna crane iliyotengenezwa kwa sasa itakayotumika JNHEP,tulidanganywa tena kuwa pesa za covid zilizotolewa na WHO zingeboresha uchumu matokeo yake pesa zimepigwa na wachache. Afadhali jpm alijitahidi sana tofauti na wa sasa yeye anajua kusema tu nendeni mkalifanyie kazi
Wewe upo nchi hii lakini ??Kwa awamu ya sita ndiyo tunadanganywa zaidi. Maana tulidanganywa royal toure italeta watalii lakini matokeo yake ni ziro.Bwawa LA umeme tulidanganywa na hii awamu ya sita ya kuwa hakuna crane iliyotengenezwa kwa sasa itakayotumika JNHEP,tulidanganywa tena kuwa pesa za covid zilizotolewa na WHO zingeboresha uchumu matokeo yake pesa zimepigwa na wachache. Afadhali jpm alijitahidi sana tofauti na wa sasa yeye anajua kusema tu nendeni mkalifanyie kazi
We ndiyo zero kuhusu Royal Tour, ni jana tu tuliambiwa kiasi cha watalii walioongezeka. Ulitakiwa ujuaje? kwanza we umejuaje hilo ongezeko la zero.Kwa awamu ya sita ndiyo tunadanganywa zaidi. Maana tulidanganywa royal toure italeta watalii lakini matokeo yake ni ziro.Bwawa LA umeme tulidanganywa na hii awamu ya sita ya kuwa hakuna crane iliyotengenezwa kwa sasa itakayotumika JNHEP,tulidanganywa tena kuwa pesa za covid zilizotolewa na WHO zingeboresha uchumu matokeo yake pesa zimepigwa na wachache. Afadhali jpm alijitahidi sana tofauti na wa sasa yeye anajua kusema tu nendeni mkalifanyie kazi
Wakina Popoma aliyetukuka waliambiwa watapelekwa Marekani,hadi miaka mitatu,,holaahMi nliambiwa mwezi huu wa tisa ntapanda Treni ya umeme Dar - Moro.
Sasa huu wa 10 naona kimyaa
JPM ni jabali watajitahidi kuzunguka weee lakini lazima watarudi kwenye ukweliIla kiukweli kuna maeneo JPM alitupiga sana japo haifuti machache aliyoyafanikisha.
Halafu jinga kama hilo likalamaganda kibudu linaendelea kupewa wadhifa ,ni laana hii au kitu ganiKwa hili la Tril. 360 sasa nimeamini kuwa UTAWALA wa AWAMU ya 5 ulitawaliwa na UONGO kila ENEO.
Rais aliunda Tume ya KUCHUNGUZA Ukwepaji wa kodi uliofanywa na BARRICK inakuja na Matokeo Eti tumeibiwa sana Tril.360. Rais anawahakikishia Watanzania na DUNIA kumbe ni KANYABOYA.
Kumbe hata Susla la WABUNGE 19 waliofukuzwa CHADEMA kusema Chadema ilihusika huenda ni UONGO MWINGINE na ndio Maana Serikali inawapambania Kuficha AIBU hiyo ikiwemo ya Kumtoa Mtuhumiwa GEREZANI usiku wa Manane na kwenda kumwapisha UBUNGE.
Ni AIBU kwa CCM
Kuwa watalii wameongezeka kwa sababu ya royal tour ni kanyaboya jingineWe ndiyo zero kuhusu Royal Tour, ni jana tu tuliambiwa kiasi cha watalii walioongezeka. Ulitakiwa ujuaje? kwanza we umejuaje hilo ongezeko la zero.
Halafu fal@ kama Hilo li Kabudi bado Lina nyadhifa ,hii nchi ni jalalaKwa hili la Tril. 360 sasa nimeamini kuwa UTAWALA wa AWAMU ya 5 ulitawaliwa na UONGO kila ENEO.
Rais aliunda Tume ya KUCHUNGUZA Ukwepaji wa kodi uliofanywa na BARRICK inakuja na Matokeo Eti tumeibiwa sana Tril.360. Rais anawahakikishia Watanzania na DUNIA kumbe ni KANYABOYA.
Kumbe hata Susla la WABUNGE 19 waliofukuzwa CHADEMA kusema Chadema ilihusika huenda ni UONGO MWINGINE na ndio Maana Serikali inawapambania Kuficha AIBU hiyo ikiwemo ya Kumtoa Mtuhumiwa GEREZANI usiku wa Manane na kwenda kumwapisha UBUNGE.
Ni AIBU kwa CCM
Kwa hili la Tril. 360 sasa nimeamini kuwa UTAWALA wa AWAMU ya 5 ulitawaliwa na UONGO kila ENEO.
Rais aliunda Tume ya KUCHUNGUZA Ukwepaji wa kodi uliofanywa na BARRICK inakuja na Matokeo Eti tumeibiwa sana Tril.360. Rais anawahakikishia Watanzania na DUNIA kumbe ni KANYABOYA.
Kumbe hata Susla la WABUNGE 19 waliofukuzwa CHADEMA kusema Chadema ilihusika huenda ni UONGO MWINGINE na ndio Maana Serikali inawapambania Kuficha AIBU hiyo ikiwemo ya Kumtoa Mtuhumiwa GEREZANI usiku wa Manane na kwenda kumwapisha UBUNGE.
Ni AIBU kwa CCM
We ndiyo zero kuhusu Royal Tour, ni jana tu tuliambiwa kiasi cha watalii walioongezeka. Ulitakiwa ujuaje? kwanza we umejuaje hilo ongezeko la zero.
Marehemu alikuwa mtaalamu wa uongo na ukatili.
Wote wananyazifa bado, sio kabudi tuHalafu fal@ kama Hilo li Kabudi bado Lina nyadhifa ,hii nchi ni jalala