Mkono Mkavu
Member
- Dec 22, 2016
- 70
- 70
Inauma sana mkuu tukiendekeza mambo ya siasa tenaFacts!!
Juzi nilipita Diamond Jubilee kuangalia bidhaa walizonazo wale wafanyabiashara wa Syria cha ajabu most of the goods hapo zinapatikana hata hapa hapa tofauti ni quality !! Nikajiuliza hivi inawezekana na sisi tukapata at least one week ya kukaa Syria (sio Allepo/kwenye vita) tukaonyesha bidhaa zetu Kama wao?!