Watanzania tuamke tulitetee Taifa letu

Watanzania tuamke tulitetee Taifa letu

Na Thadei Ole Mushi.

Leo Nchi yetu imefunga mipaka yake na Kenya kwa baadhi ya Mikoa. Habari kubwa Kenya Ni hatua hiyo ya Tanzania... Yaani huko Kenya wamechachawa haswa.

Ipo hivi Kenya walikuwa Wana deal na Corona kwa mission kubwa mbili. Moja kuua kabisa Utalii wa Tanzania kwa kusema kuwa kila Dereva ana Corona that's means kuwa Watalii watakuwa wanaogopa Sana kuja nchini. Wanajua tungefaidika na Utalii kipindi hiki ambacho wao wamejifungia.

Mission ya pili ilikuwa ni kutaka kupata fedha za IMF na kweli wamezipata tayari lakini Kitendo Cha sisi kuendelea na shughuli zetu Kama kawaida kimeonekana kina manufaa zaidi.

Tayari Kenya wameshakopa USD 739 Milioni kwa ajili ya Corona. Hatua hii Tanzania waliikataa wao wameshachukua fedha hili ni deni kwa Taifa na Ni fedha nyingi sana.

Kuna Mwandishi mmoja wa Kenya anaitwa Gordon Opiyo ameandika kuhusu hatua hii ya Tanzania kufunga mipaka ameandika kuwa:-

Tanzania is hitting back. As I have been warning, we should be very careful about this Corona thing.

In my honest opinion, our Government is overreacting.We are over dramatizing Corona. I honestly doubt the figures "50 Tanzanians sent back" how comes Kenyans coming from Tanzania are turning out to be negative, and 90% of Tanzanian drivers are turning out to be positive??????????? Kwani Corona chooses Nationality?????

I think the US and WHO are using us to stigmitize Tanzanians after Magufuli refused to play ball and roll over like a puppy.

Honestly, if things were that bad, even the Truck Drivers arriving from Tanzania would be telling us stories about seeing bodies rotting in the streets...

I honestly think that we can't mess with our biggest trading partners like this, ata kama we are getting some token aid from United States and IMF.

Do you know that Markiti will collapse if we don't get supplies from Tanzania?
Do you know that Onion prices will triple if we do not get supplies from Tanzania?
Do you know that 70%of the Oranges you eat come from Tanzania????

We will face severe shortage, because cartels killed the Agricultural Sector in Kenya.

I would honestly ask all our decision makers to stop the Corona games and start thinking about the economy.
Pesa ya IMF tushapata. Tuwache hiyo mchezo Sasa.

CHA KUSHANGAZA.
Kuna baadhi ya watanzania wanaona kuwa Kenya wanatupenda sana. Wanaona sisi kufunga mipaka ni tatizo... Hapana hili ni la kupongezwa Sana.
Logic ndogo tu.

Dereva wa Kenya akija kuchukua mzigo Tanzania anaweza kukaa Hadi wiki lakini akifika mpakani kwao anaonekana ni Negative lakini wa Tanzania ni positive. Madereva wa Kenya na raia wa Kenya wanaorudi Kenya toka Tanzania hawaonekani wakiwa na Corona kwa maana hiyo Corona inabagua Nationality.

Kuna Mambo hata mtoto wa kidato cha Pili tu anaweza akaona. Cha kushangaza Graduate aliyeshikiwa akili utasikia Tanzania haiwawezi Kenya.
Ole Mushi
0712702602

Maoni ya hii thread ni ya mwandishi na wakati muafaka kuyatafakari na kuyajadili kama kuna kaukweli kokote ama la....Mbase1970
Now I get the point! Mimi nilikuwa najiuliza sana kwa nini viongozi wetu Kenya wanaonekana kuwa kama wanafiki? Kumbe utalii ni mojawapo!
Usikute sasa kunakuwa na hofu pia kwamba Mlima Kilimanjaro utajulikana zaidi katika kipindi hiki kuwa uko wapi, maana kule ambako huwa unasemekana upo, watakuwa wako kwenye lockdown!
 
Na Thadei Ole Mushi.

Leo Nchi yetu imefunga mipaka yake na Kenya kwa baadhi ya Mikoa. Habari kubwa Kenya Ni hatua hiyo ya Tanzania... Yaani huko Kenya wamechachawa haswa.

Ipo hivi Kenya walikuwa Wana deal na Corona kwa mission kubwa mbili. Moja kuua kabisa Utalii wa Tanzania kwa kusema kuwa kila Dereva ana Corona that's means kuwa Watalii watakuwa wanaogopa Sana kuja nchini. Wanajua tungefaidika na Utalii kipindi hiki ambacho wao wamejifungia.

Mission ya pili ilikuwa ni kutaka kupata fedha za IMF na kweli wamezipata tayari lakini Kitendo Cha sisi kuendelea na shughuli zetu Kama kawaida kimeonekana kina manufaa zaidi.

Tayari Kenya wameshakopa USD 739 Milioni kwa ajili ya Corona. Hatua hii Tanzania waliikataa wao wameshachukua fedha hili ni deni kwa Taifa na Ni fedha nyingi sana.

Kuna Mwandishi mmoja wa Kenya anaitwa Gordon Opiyo ameandika kuhusu hatua hii ya Tanzania kufunga mipaka ameandika kuwa:-

Tanzania is hitting back. As I have been warning, we should be very careful about this Corona thing.

In my honest opinion, our Government is overreacting.We are over dramatizing Corona. I honestly doubt the figures "50 Tanzanians sent back" how comes Kenyans coming from Tanzania are turning out to be negative, and 90% of Tanzanian drivers are turning out to be positive??????????? Kwani Corona chooses Nationality?????

I think the US and WHO are using us to stigmitize Tanzanians after Magufuli refused to play ball and roll over like a puppy.

Honestly, if things were that bad, even the Truck Drivers arriving from Tanzania would be telling us stories about seeing bodies rotting in the streets...

I honestly think that we can't mess with our biggest trading partners like this, ata kama we are getting some token aid from United States and IMF.

Do you know that Markiti will collapse if we don't get supplies from Tanzania?
Do you know that Onion prices will triple if we do not get supplies from Tanzania?
Do you know that 70%of the Oranges you eat come from Tanzania????

We will face severe shortage, because cartels killed the Agricultural Sector in Kenya.

I would honestly ask all our decision makers to stop the Corona games and start thinking about the economy.
Pesa ya IMF tushapata. Tuwache hiyo mchezo Sasa.

CHA KUSHANGAZA.
Kuna baadhi ya watanzania wanaona kuwa Kenya wanatupenda sana. Wanaona sisi kufunga mipaka ni tatizo... Hapana hili ni la kupongezwa Sana.
Logic ndogo tu.

Dereva wa Kenya akija kuchukua mzigo Tanzania anaweza kukaa Hadi wiki lakini akifika mpakani kwao anaonekana ni Negative lakini wa Tanzania ni positive. Madereva wa Kenya na raia wa Kenya wanaorudi Kenya toka Tanzania hawaonekani wakiwa na Corona kwa maana hiyo Corona inabagua Nationality.

Kuna Mambo hata mtoto wa kidato cha Pili tu anaweza akaona. Cha kushangaza Graduate aliyeshikiwa akili utasikia Tanzania haiwawezi Kenya.
Ole Mushi
0712702602

Maoni ya hii thread ni ya mwandishi na wakati muafaka kuyatafakari na kuyajadili kama kuna kaukweli kokote ama la....Mbase1970

Mkuu juu na chini ya mada yako pana majina yako yote kamili. Pia hukusahau namba yako ya simu (tigo kama sikosei labda yenye usajili kamili wa NIDA) kwa mawasiliano zaidi. Nadhani malengo ya mawili hayo ni wazi.

Kuhusiana na huyo mwandishi wa Kenya, kwa nini umemchagua huyo peke yake? Vipi hawa wengine kama ambao wamekuwa wa kidai:

1. Magufuli's graveyard is ready
2. Magufuli digging his own grave
3. Nk, nk.

Kama ni mahaba na waandishi wa Kenya, huyo uliyemnukuu kakuvutia nini zaidi kuliko hawa wengine?

Au mkuu ni zile marriages za convenience kuwa angalau alichoandika unaweza tukitumia japo tu kwa sasa ila hao wengine wanakutilia giza tu huko mbele?

Angalau ka ufafanuzi kadogo ka awali mkuu, kabla ya kuzamia kichwa kichwa kwenye mada.
 
Mbona mnalalamika sana , kwaiyo mlitaka muwapelekee corona .

Mimi Niko upande wa Kenya.
kwa hiyo CORONA inachagua uraia siyo? Wakenye wakija Tz kwenye maambukizi hawapati lkn wa Madereva wa TZ wakeinda Kenya wanakuwa na CORONA siyo?
 
Tutee ujinga na upumbavu,wao wamefunga wakiwa na sababu,nyinyi mnafunga eti kuwakomoa si upumbavu Huo,siwezi toka nikatetea MTU aliyefanya ushetani na ameamua aue watu wake Lisa uchumi,sasa akifa na yeye sijui itakuwaje.

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha mhemko, Kwa hiyo corona inachagua uraia wa mtu siyo? wakenya wakija bongo hawapati, lkn watanzania wote wanaumwa. akili km ya baba yako.
 
Tayari washaomba yaishe akili za wakenya bwana ‘act first, think later’.
 
Mkuu juu na chini ya mada yako pana majina yako yote kamili. Pia hukusahau namba yako ya simu (tigo kama sikosei labda yenye usajili kamili wa NIDA) kwa mawasiliano zaidi. Nadhani malengo ya mawili hayo ni wazi.

Kuhusiana na huyo mwandishi wa Kenya, kwa nini umemchagua huyo peke yake? Vipi hawa wengine kama ambao wamekuwa wa kidai:

1. Magufuli's graveyard is ready
2. Magufuli digging his own grave
3. Nk, nk.

Kama ni mahaba na waandishi wa Kenya, huyo uliyemnukuu kakuvutia nini zaidi kuliko hawa wengine?

Au mkuu ni zile marriages za convenience kuwa angalau alichoandika unaweza tukitumia japo tu kwa sasa ila hao wengine wanakutilia giza tu huko mbele?

Angalau ka ufafanuzi kadogo ka awali mkuu, kabla ya kuzamia kichwa kichwa kwenye mada.
Mkuu jitahidi kusoma maandishi yote na uelewe maana yaonekana umekurupuka na hujui mwandishi ni nani na nani kaleta mada hapa.

Hilo tu. Pitia vizuri uzi na uangalie nini maana ya C&P
 
Sikukurupuka hata kidogo. Nilijitanabaisha wazi kabisa ya kwa nini iliniwia vigumu kuusoma uzi ule kwa sababu ambazo niliziweka wazi kabisa.
 
Mbona mnalalamika sana , kwaiyo mlitaka muwapelekee corona .

Mimi Niko upande wa Kenya.
Halafu utataka tuamini wewe ni mzalendo!... PUMBAFU KABISA WEWE!.. Hawa ndo watu wa kupiga risasi za kichwa!.. yaani upo upande wa Kenya wakati matako yapo yapo Tanzania?.... Umejaaa chuki sana ,,,utakufa vibaya wewe
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom